Ubalozi wa Iran umeshambuliwa Damascus kiongozi wa revolutionary Guard Corps amefariki

Israel kafelije Gaza walati kila siku mataifa makubwa wanaiomba isiivamie Gaza kumaliza kabisa zile battalion 5 za Hamas zilizobaki.

Tangu Israel iichakaze Gaza ushaona Hamas wakirusha tena maelfu ya rockets kama walivyokua wakifanya awali?!
Mateka wako wapi!?..unamsikiliza netanyahu!?..yeye anataka Vita viendelee ili kesi za ufisadi zimkalie mbali,juzi zimepigwa hapo shifa na Hamas Hadi Israel kakimbia,unasema Hamas wameisha!
 
Sahihi kabisa.
Pia siku hiyo hiyo Israel wameua maafisa wa Hizbollah.
Tutegemee double retaliation kama ile ya kulipua kambi ya Galilee.
Maana Hizbollah nao wameapa kulipiza kisasi
Watachomeka vibaya
 
Hahahahaha hivi habari zenu hua mnatoa wapi?! Israel kakimbia Shifa au kamaliza operation yake ya kusafisha magaidi hapo Shifa?!

Senior Hamas commander killed in Al Shifa raid​

Faiq Mabhouh senior member of the Hamas internal security police, believed responsible for the execution of a northern Gaza clan leader after reports Israel reached out to the clan to oversee food distributionSenior Hamas commander killed in Al Shifa raid

IDF raids Gaza’s Shifa Hospital again, kills 40 gunmen including senior commander
Soldier killed during operation; military says it had ‘concrete intelligence’ terror operatives regrouped in Strip's largest medical center; 200 suspects captured
https://www.timesofisrael.com/idf-t...ospital-battle-hamas-members-holed-up-inside/
 
Source times of Israel siyo!!..yaani gazeti la uhuru na habari za CCM,au Tanzania daima na chadema
 
Military base kubwa ya kwanza Israel,ya pili misri,tatu Korea kusini..au huoni silaha zinavyopelekwa kwa taifa teule!?..mpaka bunge linafanya sessions za kupeleka silaha, Israel kafeli malengo Gaza kaenda kupiga ubalozi,pure frustration
Taja jina la military basr ya USA iliyopo Israeli na Egypt...na weka ukubwa wake tulinganishe na zilizopo Saudia arabia na Jordan na UAE...!!!
MZEE WA KUSWEKWA ORODHESHA HAPA TUANGALIE IPI KUBWA????
USIKIMBIE TU
 
Kobaz bhana mlivyoishambulia Israel kwa kushtukiza huku mkimsifu allah wenu kwa shambulizi la kushtukiza mlitegemea nini?
Walikua wanacheka October 07 leo wanavua nguo za kijeshi na kujificha nyuma ya wanawake na watoto......waarabu ngonjera nyingi vita hawaviwezi 🤣🤣
 
Sahihi kabisa.
Pia siku hiyo hiyo Israel wameua maafisa wa Hizbollah.
Tutegemee double retaliation kama ile ya kulipua kambi ya Galilee.
Maana Hizbollah nao wameapa kulipiza kisasi
Lini tutegemee mkuu......maana makamanda Hezbollah mpaka sasa wamekufa wangapi.....na kiongozi wa Hezbollah si ndio yule mwenye ngonjera nyingi....afu kajificha.
Mpaka hotuba anarekodi kwenye tv
🤣🤣🤣🤣🤣
Tutegemee lini?????
Maneno au vitendo????
 
Taja jina la military ya USA iliyopo Israeli...na weka ukubwa wake tulinganishe na zilizopo Saudia arabia na Jordan na UAE...!!!
MZEE WA KUSWEKWA ORODHESHA HAPA TUANGALIE IPI KUBWA????
USIKIMBIE TU
Nchi ya Israel ni military base ya marekani na uingereza kule middle east,ndiyo maana wanaisaidiabkwa Hali na Mali,inalinda maslahi yao mapana middle east,ukiondoa Israel middle east panatulia na watu wanakua wamoja
 
Mateka wako wapi!?..unamsikiliza netanyahu!?..yeye anataka Vita viendelee ili kesi za ufisadi zimkalie mbali,juzi zimepigwa hapo shifa na Hamas Hadi Israel kakimbia,unasema Hamas wameisha!
Mzee wa kuswekwa 🤣🤣🤣🤣 kweli kichapo cha gaza kinawatia aibu waislamu na waarabu.
Hapo shifa unajua kilichowapata wapiganaji wa hamas???
🤣🤣🤣🤣🤣
Acha kujifariji waulize waarabu
 
Nchi ya Israel ni military base ya marekani na uingereza kule middle east,ndiyo maana wanaisaidiabkwa Hali na Mali,inalinda maslahi yao mapana middle east,ukiondoa Israel middle east panatulia na watu wanakua wamoja
Jibu swali acha porojo????
Nitajie majina ya kambi za kijeshi za USA zilizopo Israel na Egypt????
Acha porojo
 
Mzee wa kuswekwa 🤣🤣🤣🤣 kweli kichapo cha gaza kinawatia aibu waislamu na waarabu.
Hapo shifa unajua kilichowapata wapiganaji wa hamas???
🤣🤣🤣🤣🤣
Acha kujifariji waulize waarabu
Ukiona netanyahu anakubali kukaa mezani wakati alikua na operation huko Gaza ikiendelea,Kama hiyo shifa,ujue kwenye operation maji ya shingo tayari
 
Jibu swali acha porojo????
Nitajie majina ya kambi za kijeshi za USA zilizopo Israel na Egypt????
Acha porojo
Tatizo una akili nzito,nchi nzima ya Israel ni military base ninekwambi,walianzisha wao na wanaiendeleza,yaani jeshi la IDF ni brigade ya us army,mossad ni tawi la CIA,umeelewa!?
 
Back
Top Bottom