inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Mateka wako wapi!?..unamsikiliza netanyahu!?..yeye anataka Vita viendelee ili kesi za ufisadi zimkalie mbali,juzi zimepigwa hapo shifa na Hamas Hadi Israel kakimbia,unasema Hamas wameisha!Israel kafelije Gaza walati kila siku mataifa makubwa wanaiomba isiivamie Gaza kumaliza kabisa zile battalion 5 za Hamas zilizobaki.
Tangu Israel iichakaze Gaza ushaona Hamas wakirusha tena maelfu ya rockets kama walivyokua wakifanya awali?!