Ubalozi wa Marekani: Mbowe ameshambuliwa kikatili, wakumbushia pia shambulio la Tundu Lissu huku kukiwa hakuna hatua zilizochukuliwa

Ameshambuliwa au haku shambuliwa !?.Ameumizwa au hakuumizwa !?
 
Hawa ubalozi wa Marekani kwa nini wanatusonta sana sisi huku kwao kuna uvunjwaji haki za binadamu zaidi ya sisi.
Tanzania ni nchi huru
Rais wetu mpendwa chapa kazi tuko pamoja na wewe
 
RPC amesema Mbowe kashambuliwa na watu watatu.
Mbweha wa Lumumba hujaona hii ?
 
Kwa sababu chama cha mashetani (CCM) ndio kiko madarakani, basi ushetani wote unahusishwa moja kwa moja na CCM pamoja na serikali yake ya kishetani!
 
Sasa huko Marekani matukio kama hilo la Floyd yamejaa, polisi kukupiga pingu na kuanza kukupiga yapo sana. Kuna video moja nilishindwa kumaliza kuangali yani njemba moja polisi amempiga pingu mdada(black) kisha kamkalia juu anamvuta mkono wake kama anataka kumvunja na pembeni katoto cha huyo dada kinalia anaona mama ake anavyofanyiwa. Matukio ya polisi huku Bongo mengi mambo ya maandamano.
 
Wenzako wanaona mbali sio mambulula kama ccm na wakuda wengine
 
Unawezaje kusikitika ilihali hauna akili?
Mpaka mtu asikitike ina maana ana akili za kutafakari kwa kina na kupata majibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…