Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Jamaa hawajasahau.Hatimaye tunaowaita kuwa ni mabeberu wazidi kuunguruma dhidi ya matukio ya kihuni ya kushambuliwa viongozi wa upinzani yanayoshamiri nchini.
View attachment 1473622
Black life Matter.Hatimaye tunaowaita kuwa ni mabeberu wazidi kuunguruma dhidi ya matukio ya kihuni ya kushambuliwa viongozi wa upinzani yanayoshamiri nchini.
View attachment 1473622
Wao wako salama sababu hawakumis kwenye ngazi wakaanguka.Kwahiyo?
Kwanini wao wako salama?
Luckman1
Waambie wamshauri aache pombe na ufusika ndiyo uliomsababishia aanguke na kuvunjika mguu. Hili tukio wameigizwa chaka.Hatimaye tunaowaita kuwa ni mabeberu wazidi kuunguruma dhidi ya matukio ya kihuni ya kushambuliwa viongozi wa upinzani yanayoshamiri nchini.
View attachment 1473622
Sitaki kuwa upande unaobeza kuwa mh Mbowe alikuwa amelewa au laTahadhari kwa MODS; Msiue Uhuru wa mawazo kwa kuondoa hii kuficha ukweli.
Baada ya bunge la JMT Leo hii kuleta mijadala ya wazi kumshambulia Mbowe kuwa ni mlevi na kwamba hakushambuliwa na yeyote bali alianguka kwa ulevi ubalozi wa US umetoa tamko.
Hii ni kuonyesha kuwa imedharau mijadala ya wabunge wetu kuwa ni ujinga tuu uliokuwa unajadiliwa lakini ukweli ni kuwa ameshambuliwa.
Mapema Jumuia ya ulaya nayo ilitoa tamko kulaani pia tukio hilo.
Jambo hili ni aibu kwa Bunge letu pia kwa taifa. Inasikitisha tukio la kishenzi linatokea mataifa ya nje yaliyo jaa ustaarabu yanalaani sisi wanaojiita "WAHESHIMIWA" wanakejeli na kufurahia!
Ukweli Ndugai ni Mtanzania wa kwanza kulidhalilisha bunge kwa kiwango cha juu hadi kufanana na kusanyiko lisilo heshima.View attachment 1473738
Nyie vijana mtakuwa mna mapepo au mtakuwa na mashetani kamili.Hapana, Ila Jana alijaribu kuikomoa pombe
Ya kwao yamewashinda huko USAJune 9, 2020
Dar es Salaam, Tanzania
Statement of Concern about Attack Against Freeman Mbowe
The Embassy of the United States of America is shocked and appalled by the brutal and unprovoked June 9 attack on Member of Parliament and Chadema party Chairman Freeman Mbowe. The Embassy calls for an immediate, thorough, and impartial investigation, and for the rapid apprehension and prosecution of this assault’s perpetrators.
The Embassy notes that this senseless attack on an opposition leader is only the latest in a long series of disturbing acts of violence and harassment perpetrated against members of the opposition. The Embassy notes as well that one of those heinous acts, the September 7, 2017, attempted murder of Member of Parliament and opposition leader Tundu Lissu remains unsolved and again urges the identification, apprehension, and prosecution of those responsible.
The Embassy offers its sympathy to Member of Parliament Mbowe and his family at this difficult hour and wishes him a complete and speedy recovery.
Source : Statement of Concern about Attack Against Freeman Mbowe | U.S. Embassy in Tanzania
Hatimaye tunaowaita kuwa ni mabeberu wazidi kuunguruma dhidi ya matukio ya kihuni ya kushambuliwa viongozi wa upinzani yanayoshamiri nchini.
View attachment 1473622
Waache walaani tu wameshaingizwa chaka hao mabalozi ni aibu kubwa kwao.Balozi was UK naye kalaani, lakini Spika wa bunge na wabunge wake wanachekelea. Kweli tuna viongozi mazwazwaView attachment 1473785
Inaonesha watani zako wamekupanda mgongoni safari hii unafurukuta kwa kuzungusha kiuno tu halafu wao wanaamini unatoa ushirikiano wamalize goli la pili fastaKuna makabila mengine hayapo duniani kwa lengo la kutawala, kuongoza na kushika nyadhifa za juu kiutendaji Mfano ni kabila na kiongozi wa mhimili wa bunge na mhimili mkuu, na ndio mana hata katika uumbajj mungu Alliumba wanyama kama pundamilia, swala na nyumbu wakawa wengi kuliko Chui na Simba lakini akawapa nguvu na ufalme hao wachache ili wawatawale wengi vivyo hivyo hawa watani zangu wasuKUMA na wagogo is more like ya kundi la wanyama walioumbwa wengi sana huko mbugani yalifanyika makosa somewhere kukabidhi ufamle kwa Pundamilia na nyumbu
Ila ya kwetu tumeyaweza. Hiyo haitakuwa ni akili bali ni matope.Ya kwao yamewashinda huko USA
Hata floyd kashambuliwa pia.Hatimaye tunaowaita kuwa ni mabeberu wazidi kuunguruma dhidi ya matukio ya kihuni ya kushambuliwa viongozi wa upinzani yanayoshamiri nchini.
View attachment 1473622
kuna kila dalili ya mtu "kugadafiwa" siku si nyingi.Hatimaye tunaowaita kuwa ni mabeberu wazidi kuunguruma dhidi ya matukio ya kihuni ya kushambuliwa viongozi wa upinzani yanayoshamiri nchini.
View attachment 1473622
Sasa mtu anaanguka kwa ulevi wake eti wanasema ameshambuliwa!! Wamshauri aache pombe na ufusika umri umeenda!!Ila ya kwetu tumeyaweza. Hiyo haitakuwa ni akili bali ni matope.
Pombe hajaanza kunywa Jana. Ila ajali hutokea wakati wowoteHivi mna uhakika gani kama ni pombe?? Na hizo pombe kwani kaanza kunywa jana??
Utaendelea kuota mpaka mwisho was dunia.kuna kila dalili ya mtu "kugadafiwa" siku si nyingi.
yetu macho na masikio.