Ubalozi wa Marekani: Mbowe ameshambuliwa kikatili, wakumbushia pia shambulio la Tundu Lissu huku kukiwa hakuna hatua zilizochukuliwa

Ubalozi wa Marekani: Mbowe ameshambuliwa kikatili, wakumbushia pia shambulio la Tundu Lissu huku kukiwa hakuna hatua zilizochukuliwa

Hatimaye tunaowaita kuwa ni mabeberu wazidi kuunguruma dhidi ya matukio ya kihuni ya kushambuliwa viongozi wa upinzani yanayoshamiri nchini.
View attachment 1473622
Jamaa hawajasahau.
Magu akiondoka hata kama atasema Mkuu wa mkoa makonda awekewe kinga y kutoshtakiwa. Tunaiondoa.
Haki haipotei inacheleweshwa tu
 
Kweli waafrika ni wapumbavu Sana!! Yanayotokea Marekani hamyawekei uzi ila ya ki Africa mnayawekea mikazo ambayo hao hao wanaoua Waafrika kwao wanawaunga mkono vichwa vinajaa , we have long ways to go!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Hatimaye tunaowaita kuwa ni mabeberu wazidi kuunguruma dhidi ya matukio ya kihuni ya kushambuliwa viongozi wa upinzani yanayoshamiri nchini.
View attachment 1473622
Waambie wamshauri aache pombe na ufusika ndiyo uliomsababishia aanguke na kuvunjika mguu. Hili tukio wameigizwa chaka.
 
Tahadhari kwa MODS; Msiue Uhuru wa mawazo kwa kuondoa hii kuficha ukweli.

Baada ya bunge la JMT Leo hii kuleta mijadala ya wazi kumshambulia Mbowe kuwa ni mlevi na kwamba hakushambuliwa na yeyote bali alianguka kwa ulevi ubalozi wa US umetoa tamko.
Hii ni kuonyesha kuwa imedharau mijadala ya wabunge wetu kuwa ni ujinga tuu uliokuwa unajadiliwa lakini ukweli ni kuwa ameshambuliwa.
Mapema Jumuia ya ulaya nayo ilitoa tamko kulaani pia tukio hilo.
Jambo hili ni aibu kwa Bunge letu pia kwa taifa. Inasikitisha tukio la kishenzi linatokea mataifa ya nje yaliyo jaa ustaarabu yanalaani sisi wanaojiita "WAHESHIMIWA" wanakejeli na kufurahia!
Ukweli Ndugai ni Mtanzania wa kwanza kulidhalilisha bunge kwa kiwango cha juu hadi kufanana na kusanyiko lisilo heshima.View attachment 1473738
Sitaki kuwa upande unaobeza kuwa mh Mbowe alikuwa amelewa au la
Lakini USA sio nchi ambayo ina uthubutu kukemea au kunyoshea nchi nyingine kidole hana MORAL AUTHOULITY. Issue ya askari kuua mtu hadharani na kuondolewa tu kazini ndio imeleta vurugu dunia nzima kwa jinsi alivyolichukulia . Ni wabaguzi wa rangi.
Nashangaa Balozi wetu nchini Marekani hakutoa tamko
 
Balozi was UK naye kalaani, lakini Spika wa bunge na wabunge wake wanachekelea. Kweli tuna viongozi mazwazwa
IMG_20200610_062215.jpg
 
June 9, 2020
Dar es Salaam, Tanzania

Statement of Concern about Attack Against Freeman Mbowe
The Embassy of the United States of America is shocked and appalled by the brutal and unprovoked June 9 attack on Member of Parliament and Chadema party Chairman Freeman Mbowe. The Embassy calls for an immediate, thorough, and impartial investigation, and for the rapid apprehension and prosecution of this assault’s perpetrators.

The Embassy notes that this senseless attack on an opposition leader is only the latest in a long series of disturbing acts of violence and harassment perpetrated against members of the opposition. The Embassy notes as well that one of those heinous acts, the September 7, 2017, attempted murder of Member of Parliament and opposition leader Tundu Lissu remains unsolved and again urges the identification, apprehension, and prosecution of those responsible.

The Embassy offers its sympathy to Member of Parliament Mbowe and his family at this difficult hour and wishes him a complete and speedy recovery.

Source : Statement of Concern about Attack Against Freeman Mbowe | U.S. Embassy in Tanzania
Ya kwao yamewashinda huko USA
 
Kuna makabila mengine hayapo duniani kwa lengo la kutawala, kuongoza na kushika nyadhifa za juu kiutendaji Mfano ni kabila na kiongozi wa mhimili wa bunge na mhimili mkuu, na ndio mana hata katika uumbajj mungu Alliumba wanyama kama pundamilia, swala na nyumbu wakawa wengi kuliko Chui na Simba lakini akawapa nguvu na ufalme hao wachache ili wawatawale wengi vivyo hivyo hawa watani zangu wasuKUMA na wagogo is more like ya kundi la wanyama walioumbwa wengi sana huko mbugani yalifanyika makosa somewhere kukabidhi ufamle kwa Pundamilia na nyumbu
Inaonesha watani zako wamekupanda mgongoni safari hii unafurukuta kwa kuzungusha kiuno tu halafu wao wanaamini unatoa ushirikiano wamalize goli la pili fasta
 
Ila ya kwetu tumeyaweza. Hiyo haitakuwa ni akili bali ni matope.
Sasa mtu anaanguka kwa ulevi wake eti wanasema ameshambuliwa!! Wamshauri aache pombe na ufusika umri umeenda!!
 
Hivi mna uhakika gani kama ni pombe?? Na hizo pombe kwani kaanza kunywa jana??
Pombe hajaanza kunywa Jana. Ila ajali hutokea wakati wowote
Utakuta dereva kaendesha gari miaka 20 Kuna siku akapata ajali hawezi kukataa eti hajaanza kuendesha Jana. Mbowe nae asisumbue serikali na pombe za usiku na huyo Mchungaji mlevi asiye na kanisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Nzuri
Reactions: UCD
Back
Top Bottom