Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania watoa tahadhari ya uwepo wa tishio la shambulio la kigaidi

Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania watoa tahadhari ya uwepo wa tishio la shambulio la kigaidi

Maskini mimi at least sehemu tajwa huwa siingiagi!

Wakigusia Mwendokasi wamenimaliza maana ndiyo anga zangu huko,watusaidie tu ktk hili maana polisi wetu zaidi ya ku-deal na wakosoaji wa serikali hawana lingine.
Lazima ziguswe tembea kwa miguu kama sie.
 
Sasa Chadema mkiambiwa msikusanye watu mpaka tishio liishe, mtasema mnaonewa, aliyesema ndio moja ya watu wenu. Na mtu wenu akiambiwa asifanye mkutano wa hadhara analia, akiachiwa akadhurika, anaililia serikaliView attachment 2495531
Wamepata taarifa za kiitelijensia kuwa uvccm wanaandaa kwenda kulipua mabomu kwenye mikutano ya Chadema
 
Wamepata taarifa za kiitelijensia kuwa uvccm wanaandaa kwenda kulipua mabomu kwenye mikutano ya Chadema
Some says kwamba Chadema wanaandaa tukio ili Lissu apate sababu ya kurudi kwa mabwana zake
 
Yaani jamaa wanajuaje kwamba kuna kuna tukio la ugaidi kama si wao ndo wanalipanga..... the logic is clear
Kuna mada kama huziwezi ni bora ukakaa kimya tu. US ana inteligenc ambayo haijawahi kushuhudiwa toka ulimwengu uwepo, kasome bajet ya ulinzi wa US, Bajet ya Ulinzi pekee inaweza ikawa mara 50 ya bajet nzima ya TZ.

Chukua bajet ya ulinzi ya UK, France, Russia, Italy, German n.k ukijumlisha kwa pamoja, hawafiki nusu ya bajeti ya ulinzi ya US.
 
Back
Top Bottom