Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima ziguswe tembea kwa miguu kama sie.Maskini mimi at least sehemu tajwa huwa siingiagi!
Wakigusia Mwendokasi wamenimaliza maana ndiyo anga zangu huko,watusaidie tu ktk hili maana polisi wetu zaidi ya ku-deal na wakosoaji wa serikali hawana lingine.
Wamepata taarifa za kiitelijensia kuwa uvccm wanaandaa kwenda kulipua mabomu kwenye mikutano ya ChademaSasa Chadema mkiambiwa msikusanye watu mpaka tishio liishe, mtasema mnaonewa, aliyesema ndio moja ya watu wenu. Na mtu wenu akiambiwa asifanye mkutano wa hadhara analia, akiachiwa akadhurika, anaililia serikaliView attachment 2495531
majuzi kuna Uzi uliubuliwaWameanza kuleta taflani
Wao kama wameona kuna viashiria, wakadhiti kabla mambo hayaja haribika
Kwa kutoa au kushirikiana na mamlaka
Taasisi yao ya ujasusi ipo macho masaa 24/7..Yaani jamaa wanajuaje kwamba kuna kuna tukio la ugaidi kama si wao ndo wanalipanga..... the logic is clear
Hiyo mikutano inahudhuriwa na westerners?! Tahadhari imetolewa kwa wazungu, siyo wabongo.Mikutano ya siasa izuiwe kwa muda kwanza ili kuchukua tahadhari
Bas wai prevent mbona juz hapa wamekufa watu 17 kwao na hawasemi ni ugaidi ...... this is bullshit broTaasisi yao ya ujasusi ipo macho masaa 24/7..
Upo nyuma sana update your operating systemYaani jamaa wanajuaje kwamba kuna kuna tukio la ugaidi kama si wao ndo wanalipanga..... the logic is clear
Kuna mada kama huziwezi ni bora ukakaa kimya tu. US ana inteligenc ambayo haijawahi kushuhudiwa toka ulimwengu uwepo, kasome bajet ya ulinzi wa US, Bajet ya Ulinzi pekee inaweza ikawa mara 50 ya bajet nzima ya TZ.Yaani jamaa wanajuaje kwamba kuna kuna tukio la ugaidi kama si wao ndo wanalipanga..... the logic is clear
Embu tufukulie huo uzi mkuumajuzi kuna Uzi uliubuliwa
Una uhusiano wowote?
Kumeiva.
Ha ha ha ha haUpo nyuma sana update your operating system