Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Rais anakimbia wananchi wake? Anashindwaje kuwashughulikia?
Nchi za Kiafrica kiongozi ndio huonwa kama "mungu mtu" asiyekosea wala kukosolewa na hii imani ndio CCM wameweza kuipanda kwa miaka 60 na watanzamia wameishi nayo miaka nenda rudi..

CCM wameweza kutengeneza katiba inayokataza kiongozi kushitakiwa ilhali ni binadamu...

Najivunia baada ya miaka 19 mbele tangu nimetoka nyumbani na kuja ugenini nimejifunza vitu vingi vipya na kuachana na dhana potofu!

Mwisho niseme tu kama ulitaka uhuru awakamate wakosoaji angekamata wangapi? Uliwahi kupita katika ukurasa wa Trump ukaona anavyoonjeshwa joto ya jiwe? Angekamata wangapi ? Magereza yangetosha! Think twice!
 
Kenya wanamsema mpaka Rais wao mpk kafunga account tweeter, sembuse mwendazake ,? Thubutu tuone Kama ajafurumishwa na virago vyake ,mwafikili kila taifa laendesha Mambo Kama ilivyokua KWA mwendazake,
 
Kenya wanamsema mpaka Rais wao mpk kafunga account tweeter, sembuse mwendazake ,?
Kumsema na kumtukana ni mambo mawili tofauti kabisa. Alafu wao ni Kenya na sisi ni Tanzania. Waambie hao Wakenya michezo kama hii na sisi tunaijua na tunaweza kuicheza...
 
Blah blah...ile dhihaka ndio ilikua "legacy" ya kikwete?

Unajua maana ya Legacy?

Post-presidency Kikwete ana A japo hata hajafa.....

Magufuli ana F japo kashafariki of which people tend to sympathize na the deceased

Use your brain nigga
Kama Ze Utamu ilikuwa sahihi kwanini ilifungiwa. Waambie hao Wakenya michezo kama hii na sisi tunaijua na tunaweza kuicheza.
 
sasa shida hapa ni nini? sioni shida yoyote kwani kuwa au endapo alikuwa na mama wa kikikuyu ni dhambi?
Hayati Rais John Magufuli alikuwa anamheshimu sana mke wake na kamwe asingeweza kufanya uchafu huu. Wanamsingizia hawa Wakenya.
 
Back
Top Bottom