mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Habari ya kijinga haipaswi kufuatiliwa na watu wenya akili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi za Kiafrica kiongozi ndio huonwa kama "mungu mtu" asiyekosea wala kukosolewa na hii imani ndio CCM wameweza kuipanda kwa miaka 60 na watanzamia wameishi nayo miaka nenda rudi..Rais anakimbia wananchi wake? Anashindwaje kuwashughulikia?
Aliijita jiwe wewe ni nani uje kuniambia sio Jiwe?Huyu sio jiwe huyu ni Rais Magufuli
Mimi sijawahi kusikia kama aliwahi kujiita kuwa yeye ni JiweAliijita jiwe wewe ni nani uje kuniambia sio Jiwe?
Tofautisha kukosoa na kutukanaMwishp niseme tu kama ulitaka uhuru awakamate wakosoaji angekamata wangapi?
Ndugulile alisema kujifukiza hakuna faida yoyote kitaalam kupambana na UVIKO..Tofautisha kukosoa na kutukana
Video iko hapo au gharama za bundle ni mtihani kwa wanyonge?Mimi sijawahi kusikia kama aliwahi kujiita kuwa yeye ni Jiwe
Kukosoa ni sahihi lakini kutukana ni jinaiTofautisha kukosoa na kutukana
Kumsema na kumtukana ni mambo mawili tofauti kabisa. Alafu wao ni Kenya na sisi ni Tanzania. Waambie hao Wakenya michezo kama hii na sisi tunaijua na tunaweza kuicheza...Kenya wanamsema mpaka Rais wao mpk kafunga account tweeter, sembuse mwendazake ,?
Waambie hao Wakenya michezo kama hii na sisi tunaijua na tunaweza kuicheza.Waacheni wenzetu wana uhuru wa vyombo vya hbr sisi vya kwetu vimewekwa mfukon
Wakimfurusha wetu na sisi tunamfurusha waoThubutu tuone Kama ajafurumishwa na virago vyake ,mwafikili kila taifa laendesha Mambo Kama ilivyokua KWA mwendazake,
Kama Ze Utamu ilikuwa sahihi kwanini ilifungiwa. Waambie hao Wakenya michezo kama hii na sisi tunaijua na tunaweza kuicheza.Blah blah...ile dhihaka ndio ilikua "legacy" ya kikwete?
Unajua maana ya Legacy?
Post-presidency Kikwete ana A japo hata hajafa.....
Magufuli ana F japo kashafariki of which people tend to sympathize na the deceased
Use your brain nigga
You Kenyans are s.t.u.p.i.dUtamu ilikua sahihi?
Are you insane?
Yaani Utamu ilikua sahihi?
Hebu ngoja nimuulize jamaa yangu MkomavuMimi ninaona tatizo lako bado lipo na linazidi kuwa kubwa "as days go by"
Ze Utamu nao walikuwa wapumbavu kama Chadema tuKama Ze Utamu ilikuwa sahihi kwanini ilifungiwa. Waambie hao Wakenya michezo kama hii na sisi tunaijua na tunaweza kuicheza.
Hayati Rais John Magufuli alikuwa anamheshimu sana mke wake na kamwe asingeweza kufanya uchafu huu. Wanamsingizia hawa Wakenya.sasa shida hapa ni nini? sioni shida yoyote kwani kuwa au endapo alikuwa na mama wa kikikuyu ni dhambi?