Ubalozi wakanusha habari za uongo zinazodai kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo

Unawategemea wewe na mmeo lema
 
Unatetea mabeberu wewe
 
Hamkosi la kusema ila mnaanza kuumbuka.Mambo ya siasa za kimataifa jamani siyo ya kuyaingia na pua na midomo juu juu.
 
Natamani tuwekewe vikwazo kwa kutosha tuione hii nchi tajiri
 
Kwa akili yako ulitaka hao wabunge 71 wachangie kwa siku moja? Hao watano wamewakilisha mawazo ya wenzao, subiri vikwazo vinakuja mlipie dhuluma yenu
Azimio liko wapi? Weka hapa tulione?
 
Balozi angekaa kimya, angesubiria bunge limalize vikao na maazimio yapite ndiyo aje na press!

Amekuja kukanusha ilhali hawajamaliza vikao kulijadili hili. Naelewa anatetea ugali ila daah! Ila boss aweza mfyekelea mbali, maana anakiri tunapokea MISAADA YA BEBERU!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Nimemsikiliza. Ni kilaza. Yuko kisiasa zaidi. Nafasi aliyopo hana uwezo nayo.
Kasema bunge la ulaya halijatoa hayo maazimio zaidi ya maoni ya wabunge wachache.

Vipi wewe una hilo azimio tulione hapa?
 
Kamati hiyo ndiyo ina kazi za kufanya chunguzi na kutoa ripoti na mapendekezo. Sasa huyu kilaza anabeza? Au anajipendekeza tu kwa kujidai eti ni mzalendo. Kilaza!
Weka hayo maazimio ya bunge la ulaya hapa tuyaone dogo
 
Acha uzwazwa tunataka ulete maazimio ya bunge la ulaya tuyaone humu!

Mbona umekomaa tu,?

Yule ni mbunge katoa maoni yake kama kina Lema wakivyokuwa wanatokwa povu bungeni
 
Hivi kulikuwa na haja ya Balozi kufanya hivi? Au hofu yake ni kutumbuliwa na mzee Jiwe?

Angesubiri tu aone hilo Bunge zima litaamuaje baada ya kukaa kikao
 
Mi nilijua akiyekanusha ni ubalozi wa ujerumani Nchini Tanzania kumbe sisi wenyewe ndio tunakanusha.

Hahaha hii ni sawa na kujampa mwenyewe kisha uteme mate mwenyewe.
 
Bunge lolote linataratibu zake.

Kila kikao kinatoka na azimio, vipi azimio la hicho kikako kuhusu tz ni nini?
 
mgogoro wa ethiopia ni wa karne na karne kuna watu wako adis ababa wankimbia nchi iliyojaa ma flyover na ma ethiopian airlines lakini ahat mzunguko wa hela hakuna,the issue ya ukabila goes back centuries tundu lissu anaingiaje hapo?
EU wamefanyaje kuhusu hiyo migogoro?
 
Atakuwa amechanganyikiwa
 
Hakuna azimio lililowekwa ila wanejadili kwa msisitizo msimamo wao juu ya Tanzania na kupropose njia ya kuchukua. Na hike ndo kamati yenyewe. Kinachofuata ni bunge kupokea mapendekezo ya kamati na kufanya maamuzi. Kama kamati wamewajadili vibaya vile, unategemea bunge litaamua tofauti???? Au unadhani lile ni bunge la ndugai wewe kilaza wa lumumba???
Amesema hakuna azimio hata moja lililowekwa. Mkuu, kilikuwa kikao tu cha kubadilishana mawazo. Ni kweli ukifuatilia majadiliano hakuna azimio lolote lililowekwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…