Ubalozi wakanusha habari za uongo zinazodai kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo

Ubalozi wakanusha habari za uongo zinazodai kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo

Wazungu tunawategemea ila kutwa kuwasimanga kwa kuwaita mabeberu! Kuweni na shukurani na sio kuleta kejeli na dharau huku watu wenyewe sisi ni tegemezi.

Kwa jinsi tunavyowakejeli, wazungu hawa wangekuwa na mavichwa kama yetu, hata hiyo misaada na mikopo wangeshaisitisha, ila wamegundua baadhi ya watu wetu ni wajinga na wameamua kuwapuuza ili kusaidia masikini wa hii nchi wasio na hatia.

Isitoshe kwa hapa JF, uzi uliopo unaongelea kamati na si Bunge zima.

Alafu elezeni pia mlikopeleka hela za Covid.

Sisi tunasubiri taarifa rasimi ya hilo Bunge ila mpaka sasa teyari ni aibu tosha kwani hatukwahi kuwa na status mbovu na mbaya kiasi hiki.

Awamu hii ni shida tupu!

No wonder hata JK aliwahi sema watu waache "kujimwambafai."
Unawategemea wewe na mmeo lema
 
Ubalozi wa Tanzani Ubelgiji umekanusha habari za uongo zinazoenezwa mitandaoni kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo.

Ubalozi umeeleza kuwa ni wabunge watano tu kati ya wabunge 71 wa Kamati ya Mambo ya Nje ndiyo walitoa mawazo yao na hakuna azimio lolote lililowekwa dhidi ya Tanzania na Kamati hiyo. Imeelezwa kuwa Mbunge yeyote anaweza kutoa mawazo yake binafsi na na siyo kila wazo binafsi la Mbunge ni azimio la Bunge.

Bunge lote la Ulaya lina wabunge 705 na waliotoa mawazo yao binafsi walikuwa ni wabunge watano (5) tu. S
Sikiliza clip hii

View attachment 1630332
Unatetea mabeberu wewe
 
Wazungu tunawategemea ila kutwa kuwasimanga kwa kuwaita mabeberu! Kuweni na shukurani na sio kuleta kejeli na dharau huku watu wenyewe sisi ni tegemezi.

Kwa jinsi tunavyowakejeli, wazungu hawa wangekuwa na mavichwa kama yetu, hata hiyo misaada na mikopo wangeshaisitisha, ila wamegundua baadhi ya watu wetu ni wajinga na wameamua kuwapuuza ili kusaidia masikini wa hii nchi wasio na hatia.

Isitoshe kwa hapa JF, uzi uliopo unaongelea kamati na si Bunge zima.

Alafu elezeni pia mlikopeleka hela za Covid.

Sisi tunasubiri taarifa rasimi ya hilo Bunge ila mpaka sasa teyari ni aibu tosha kwani hatukwahi kuwa na status mbovu na mbaya kiasi hiki.

Awamu hii ni shida tupu!

No wonder hata JK aliwahi sema watu waache "kujimwambafai."
Hamkosi la kusema ila mnaanza kuumbuka.Mambo ya siasa za kimataifa jamani siyo ya kuyaingia na pua na midomo juu juu.
 
Wazungu tunawategemea ila kutwa kuwasimanga kwa kuwaita mabeberu! Kuweni na shukurani na sio kuleta kejeli na dharau huku watu wenyewe sisi ni tegemezi.

Kwa jinsi tunavyowakejeli, wazungu hawa wangekuwa na mavichwa kama yetu, hata hiyo misaada na mikopo wangeshaisitisha, ila wamegundua baadhi ya watu wetu ni wajinga na wameamua kuwapuuza ili kusaidia masikini wa hii nchi wasio na hatia.

Isitoshe kwa hapa JF, uzi uliopo unaongelea kamati na si Bunge zima.

Alafu elezeni pia mlikopeleka hela za Covid.

Sisi tunasubiri taarifa rasimi ya hilo Bunge ila mpaka sasa teyari ni aibu tosha kwani hatukwahi kuwa na status mbovu na mbaya kiasi hiki.

Awamu hii ni shida tupu!

No wonder hata JK aliwahi sema watu waache "kujimwambafai."
Natamani tuwekewe vikwazo kwa kutosha tuione hii nchi tajiri
 
Kwa akili yako ulitaka hao wabunge 71 wachangie kwa siku moja? Hao watano wamewakilisha mawazo ya wenzao, subiri vikwazo vinakuja mlipie dhuluma yenu
Azimio liko wapi? Weka hapa tulione?
 
Balozi angekaa kimya, angesubiria bunge limalize vikao na maazimio yapite ndiyo aje na press!

Amekuja kukanusha ilhali hawajamaliza vikao kulijadili hili. Naelewa anatetea ugali ila daah! Ila boss aweza mfyekelea mbali, maana anakiri tunapokea MISAADA YA BEBERU!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Nimemsikiliza. Ni kilaza. Yuko kisiasa zaidi. Nafasi aliyopo hana uwezo nayo.
Kasema bunge la ulaya halijatoa hayo maazimio zaidi ya maoni ya wabunge wachache.

Vipi wewe una hilo azimio tulione hapa?
 
Kamati hiyo ndiyo ina kazi za kufanya chunguzi na kutoa ripoti na mapendekezo. Sasa huyu kilaza anabeza? Au anajipendekeza tu kwa kujidai eti ni mzalendo. Kilaza!
Weka hayo maazimio ya bunge la ulaya hapa tuyaone dogo
 
Taarifa nilizoziona, ni kutoka kwa “McAllister” Kama sikosei ndiye mwenyekiti wa kamati hiyo. Na yeye ndiye anayeleta maazimio hayo kwenye bunge! Huyu jamaa ni kilaza tu angenyamaza. Au kama kuna ukweli, angeomba wahusika wakanushe! Ile ni tweet ya mwenyekiti wa hiyo kamati! Lakini ukweli kwamba kuna wabunge watano kwenye kamati waliotoa maoni hasi, siyo suala la kupuuza eti kwasababu hao wengine 70 na ushee hawakuzungumza. Ndiyo maana nasema ni kilaza. Pia hiyo nafasi inaonyesha ni kwa namna gani ccm hawako competitive kwenye kuleta vichwa vya kutuwakilisha kwa manufaa ya Taifa na si chama.
Acha uzwazwa tunataka ulete maazimio ya bunge la ulaya tuyaone humu!

Mbona umekomaa tu,?

Yule ni mbunge katoa maoni yake kama kina Lema wakivyokuwa wanatokwa povu bungeni
 
Hivi kulikuwa na haja ya Balozi kufanya hivi? Au hofu yake ni kutumbuliwa na mzee Jiwe?

Angesubiri tu aone hilo Bunge zima litaamuaje baada ya kukaa kikao
 
Mi nilijua akiyekanusha ni ubalozi wa ujerumani Nchini Tanzania kumbe sisi wenyewe ndio tunakanusha.

Hahaha hii ni sawa na kujampa mwenyewe kisha uteme mate mwenyewe.
 
mimi nataka facts kuumia kufurahia sijui ni ujinga gani huo ,kasema balozi wa ubelgiji kapinga kamati ya bunge la ulaya?unajua EU parliament waliweka kabisa kwenye schedule yao issue ya Tanzania na iliruka live?halafu balozi wa nchi moja anajibu kama nani wakati EU wana mwakilishi wao hapa nchini,naomba mnijibu hilo
Bunge lolote linataratibu zake.

Kila kikao kinatoka na azimio, vipi azimio la hicho kikako kuhusu tz ni nini?
 
mgogoro wa ethiopia ni wa karne na karne kuna watu wako adis ababa wankimbia nchi iliyojaa ma flyover na ma ethiopian airlines lakini ahat mzunguko wa hela hakuna,the issue ya ukabila goes back centuries tundu lissu anaingiaje hapo?
EU wamefanyaje kuhusu hiyo migogoro?
 
Balozi angekaa kimya, angesubiria bunge limalize vikao na maazimio yapite ndiyo aje na press!

Amekuja kukanusha ilhali hawajamaliza vikao kulijadili hili. Naelewa anatetea ugali ila daah! Ila boss aweza mfyekelea mbali, maana anakiri tunapokea MISAADA YA BEBERU!

Everyday is Saturday............................... 😎
Atakuwa amechanganyikiwa
 
Hakuna azimio lililowekwa ila wanejadili kwa msisitizo msimamo wao juu ya Tanzania na kupropose njia ya kuchukua. Na hike ndo kamati yenyewe. Kinachofuata ni bunge kupokea mapendekezo ya kamati na kufanya maamuzi. Kama kamati wamewajadili vibaya vile, unategemea bunge litaamua tofauti???? Au unadhani lile ni bunge la ndugai wewe kilaza wa lumumba???
Amesema hakuna azimio hata moja lililowekwa. Mkuu, kilikuwa kikao tu cha kubadilishana mawazo. Ni kweli ukifuatilia majadiliano hakuna azimio lolote lililowekwa
 
Back
Top Bottom