Unamuomba wife wako aindelee kupigwa machine ukatafute mashahidi wa 4,, ๐คฃKwhy hapo kwenu Kuna mahakama inayopokea ushahidi wa mtu mmoja,,,akili Hizi hivi huwa mnapeleka wapi
Ni maoni tu mkuu haupaswi kuniamini wala kunishawishi niamin vitabu vya watu wakale waliokuwa hawajastarabika kama watu wa Leo hii.Sawa tunakushukuru kwa mchango wako baki na msimamo wako
Huyu alikuwa ni mke wa Mtume Muhammad (Swalla Allaahu Aleyhi wa salam).Nje ya mada ndugu naomba unikumbushe kisa Cha Ummu Salama (radhiaLLAHU Anhu) baada ya kufiwa na mumeo na jinsi alivyokuja kuolewa na mtume....@Nyoka ..mzee
[emoji23][emoji23][emoji23] Kwanini habb ?Mkuu nyoka kumbe na wewe uko njema.
Allahumma amiin kwa sote habb[emoji1319]Shukran Sana Ndugu Allah akuhifadhi ,,,
Unamuomba wife wako aindelee kupigwa machine ukatafute mashahidi wa 4,, ๐คฃ
Hadith That Sa'd b. 'Ubadah said to the Messenger of Allah (๏ทบ) : What do you think if I find with my wife a man ; should I give him some time until I bring four witnesses ?" He said: "Yes". Sunan Abi Dawud 4533 ,
Ukimfumania mke, Muhammad anasema waombe waendelee ukatafute mashahidi wafike wa4 ๐ ๐คฃ
baby zu pitia hapa ,,mzee wetu anakumbuka hivi visa adhwiim ,,kabisa Kazakh destroyer pita hapaHuyu alikuwa ni mke wa Mtume Muhammad (Swalla Allaahu Aleyhi wa salam).
Huyu mama yetu alikuwa na Mumewe alikuwa akiitwa Abuu Salama. Abuu Salama alikwenda vitani kwaajili ya kuipigania dini tukufu ya kiislam.
Kwa bahati mbaya kwa Abuu Salama akauwawa vitani. Wakati msafara unarudi kutoka vitani farasi aliekuwa akitumiwa na Abuu Salama alionekana anarudi akiwa pekee yake.
Basi Mama yetu Ummu Salama alipomuona tu yule farasi akajua tu kuwa mumewe amekwisha fariki katika vita, na ndugu zangu kawaida mtu akifia vitani anakuwa shahidi na huzikwa hukohuko ktk viwanja vya vita.
Basi Mama yetu Ummu Salama kama kawaida akakaa eda yake hiyo muhimu.
Alipo maliza eda alianza kutafuta mtu wa kuja kuziba nafasi ya mumewe Abuu Salama.
Na kiukweli alipendelea Sana aolewe na kati ya vidume viwili katika uislamu yaani Sayyidna Abubakar Siddiq au Sayyidna Omary bin khatwab (Radhi za Allah ziwe juu yao watukufu hawa).
Wanawake wa zamani walikuwa WachaMungu sana na hivo Mama yetu Ummu Salama aliamua kuwafuata wawili hawa kwa nyakati tofauti na kuwaeleza dhamira yake ya kuhitajia ndoa kutoka kwa mmoja kati yao.
Kiukweli Abubakar na Omar hawakutaka kumuoa Mama yetu huyu japo hawakumtamkia kuwa hawataki lakini walimtumilia lugha yenye hekma.
Basi Mama Ummu Salama baada ya kuona wawili hawa wanampotezea ombi Lake, akaamua kwenda kuwa shitaki kwa mtume Muhammad (Swalla Allaahu Aleyhi wa salam).
Alipo washitaki kwa Mtume na kumueleza mtume kuwa dhamira yake kutaka kuolewa ni kuwa alihiitaji mauti yamkute haliyakuwa ana mume. Mtume (Swalla Allaahu Aleyhi Wa Salam) akamjibu kuwa achana nao hao kama wana kuzungusha na kukupotezea. Mtume akamsihi Mama yetu huyu awe na subra, na akamwambia tulizana Mama Ummu salama huwenda utakuja kuolewa na mtu bora sana katika dunia hii kuliko Abubakar na Omar.
Subhana Allah, je unamjua mtu bora kuliko wote duniani alie kuja kumuoa Mama yetu huyu Ummu salama? Si mwingine ni mtukufu wa darja na kipenzi nambari moja cha Allah Subhana Wa Ta'ala Mtume Muhammad (Swalla Allaahu Aleyhi wa salam).
Baada ya kuolewa, Mama yetu Ummu salama akawauliza Abubakar na Omar, "ninyi wawili kwanini mlikuwa hamtaki kunioa mimi?โ
Wakamjibu "tulimsikia mtume akikutaja kwa Khery sasa tukaamua kukaa kimya ili tusije kuharibu alipopenda kipenzi cha umma".
Mama yetu huyu aliposkia hayo alifurahi Sana na hapo akapata kuwaelewa Abubakar na Omar.
Hahahah.[emoji23][emoji23][emoji23] Kwanini habb ?
mkuu Nyoka mzee ameupiga mwingi, allah amlipe kheri.baby zu pitia hapa ,,mzee wetu anakumbuka hivi visa adhwiim ,,kabisa Kazakh destroyer pita hapa
Ma shaa allah, kisa kizuri mno sikuwa nakijua, Ya Allah tujalie tuwe wazuri wa tabiababy zu pitia hapa ,,mzee wetu anakumbuka hivi visa adhwiim ,,kabisa Kazakh destroyer pita hapa
Ma shaa allahHuyu alikuwa ni mke wa Mtume Muhammad (Swalla Allaahu Aleyhi wa salam).
Huyu mama yetu alikuwa na Mumewe alikuwa akiitwa Abuu Salama. Abuu Salama alikwenda vitani kwaajili ya kuipigania dini tukufu ya kiislam.
Kwa bahati mbaya kwa Abuu Salama akauwawa vitani. Wakati msafara unarudi kutoka vitani farasi aliekuwa akitumiwa na Abuu Salama alionekana anarudi akiwa pekee yake.
Basi Mama yetu Ummu Salama alipomuona tu yule farasi akajua tu kuwa mumewe amekwisha fariki katika vita, na ndugu zangu kawaida mtu akifia vitani anakuwa shahidi na huzikwa hukohuko ktk viwanja vya vita.
Basi Mama yetu Ummu Salama kama kawaida akakaa eda yake hiyo muhimu.
Alipo maliza eda alianza kutafuta mtu wa kuja kuziba nafasi ya mumewe Abuu Salama.
Na kiukweli alipendelea Sana aolewe na kati ya vidume viwili katika uislamu yaani Sayyidna Abubakar Siddiq au Sayyidna Omary bin khatwab (Radhi za Allah ziwe juu yao watukufu hawa).
Wanawake wa zamani walikuwa WachaMungu sana na hivo Mama yetu Ummu Salama aliamua kuwafuata wawili hawa kwa nyakati tofauti na kuwaeleza dhamira yake ya kuhitajia ndoa kutoka kwa mmoja kati yao.
Kiukweli Abubakar na Omar hawakutaka kumuoa Mama yetu huyu japo hawakumtamkia kuwa hawataki lakini walimtumilia lugha yenye hekma.
Basi Mama Ummu Salama baada ya kuona wawili hawa wanampotezea ombi Lake, akaamua kwenda kuwa shitaki kwa mtume Muhammad (Swalla Allaahu Aleyhi wa salam).
Alipo washitaki kwa Mtume na kumueleza mtume kuwa dhamira yake kutaka kuolewa ni kuwa alihiitaji mauti yamkute haliyakuwa ana mume. Mtume (Swalla Allaahu Aleyhi Wa Salam) akamjibu kuwa achana nao hao kama wana kuzungusha na kukupotezea. Mtume akamsihi Mama yetu huyu awe na subra, na akamwambia tulizana Mama Ummu salama huwenda utakuja kuolewa na mtu bora sana katika dunia hii kuliko Abubakar na Omar.
Subhana Allah, je unamjua mtu bora kuliko wote duniani alie kuja kumuoa Mama yetu huyu Ummu salama? Si mwingine ni mtukufu wa darja na kipenzi nambari moja cha Allah Subhana Wa Ta'ala Mtume Muhammad (Swalla Allaahu Aleyhi wa salam).
Baada ya kuolewa, Mama yetu Ummu salama akawauliza Abubakar na Omar, "ninyi wawili kwanini mlikuwa hamtaki kunioa mimi?โ
Wakamjibu "tulimsikia mtume akikutaja kwa Khery sasa tukaamua kukaa kimya ili tusije kuharibu alipopenda kipenzi cha umma".
Mama yetu huyu aliposkia hayo alifurahi Sana na hapo akapata kuwaelewa Abubakar na Omar.
HahahahKaaa mi nsmajua we mwanamke[emoji1787]
Hahahah dah!SubhanaLLAH Mimi na ndugu yangu Kazakh destroyer Ni wanaume
Allahumma amiin kwa sote Habb [emoji1319]mkuu Nyoka mzee ameupiga mwingi, allah amlipe kheri.
Shukran habbt[emoji1319]Ma shaa allah
Kaka Nyoka_mzee Nakuomba utupe faida kidogo juu ya kifo Cha swahaba Jaffar (radhiaLLAHU Anhu) ambaye aliuawa Vita,,na kauli ya mtume juu ya kuwafanyia Hisani wafiwa..Shukran habbt[emoji1319]
Akhy samahani nimepata shida kidogo kukujulisha PM ili urekebishe, nadhani system inashida.Huyu alikuwa ni mke wa Mtume Muhammad (Swalla Allaahu Aleyhi wa salam).
Huyu mama yetu alikuwa na Mumewe alikuwa akiitwa Abuu Salama. Abuu Salama alikwenda vitani kwaajili ya kuipigania dini tukufu ya kiislam.
Kwa bahati mbaya kwa Abuu Salama akauwawa vitani. Wakati msafara unarudi kutoka vitani farasi aliekuwa akitumiwa na Abuu Salama alionekana anarudi akiwa pekee yake.
Basi Mama yetu Ummu Salama alipomuona tu yule farasi akajua tu kuwa mumewe amekwisha fariki katika vita, na ndugu zangu kawaida mtu akifia vitani anakuwa shahidi na huzikwa hukohuko ktk viwanja vya vita.
Basi Mama yetu Ummu Salama kama kawaida akakaa eda yake hiyo muhimu.
Alipo maliza eda alianza kutafuta mtu wa kuja kuziba nafasi ya mumewe Abuu Salama.
Na kiukweli alipendelea Sana aolewe na kati ya vidume viwili katika uislamu yaani Sayyidna Abubakar Siddiq au Sayyidna Omary bin khatwab (Radhi za Allah ziwe juu yao watukufu hawa).
Wanawake wa zamani walikuwa WachaMungu sana na hivo Mama yetu Ummu Salama aliamua kuwafuata wawili hawa kwa nyakati tofauti na kuwaeleza dhamira yake ya kuhitajia ndoa kutoka kwa mmoja kati yao.
Kiukweli Abubakar na Omar hawakutaka kumuoa Mama yetu huyu japo hawakumtamkia kuwa hawataki lakini walimtumilia lugha yenye hekma.
Basi Mama Ummu Salama baada ya kuona wawili hawa wanampotezea ombi Lake, akaamua kwenda kuwa shitaki kwa mtume Muhammad (Swalla Allaahu Aleyhi wa salam).
Alipo washitaki kwa Mtume na kumueleza mtume kuwa dhamira yake kutaka kuolewa ni kuwa alihiitaji mauti yamkute haliyakuwa ana mume. Mtume (Swalla Allaahu Aleyhi Wa Salam) akamjibu kuwa achana nao hao kama wana kuzungusha na kukupotezea. Mtume akamsihi Mama yetu huyu awe na subra, na akamwambia tulizana Mama Ummu salama huwenda utakuja kuolewa na mtu bora sana katika dunia hii kuliko Abubakar na Omar.
Subhana Allah, je unamjua mtu bora kuliko wote duniani alie kuja kumuoa Mama yetu huyu Ummu salama? Si mwingine ni mtukufu wa darja na kipenzi nambari moja cha Allah Subhana Wa Ta'ala Mtume Muhammad (Swalla Allaahu Aleyhi wa salam).
Baada ya kuolewa, Mama yetu Ummu salama akawauliza Abubakar na Omar, "ninyi wawili kwanini mlikuwa hamtaki kunioa mimi?โ
Wakamjibu "tulimsikia mtume akikutaja kwa Khery sasa tukaamua kukaa kimya ili tusije kuharibu alipopenda kipenzi cha umma".
Mama yetu huyu aliposkia hayo alifurahi Sana na hapo akapata kuwaelewa Abubakar na Omar.
Hahaha hawa jamaa wamenichekesha kwa hiyo scenario hapo juu.Hahahah eti barobaro wa kisunna
Eti miaka bilioni.Hizo tamaduni za mababu zako zimeendikwa kitabu gani? Na wewe unafuata zipi?
Humu ndani sometimes kuna vituko sana.Hahaha hawa jamaa wamenichekesha kwa hiyo scenario hapo juu.