baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 6,063
- 12,808
Eh mkuu wewe naona upo tu na propaganda za wahindi, mpaka site za West kibao zimereport. Nimekupa ushahidi before Reuters Wamereport Ndege 3, Usa kareport ndege 2 na Cnn kareport atleast Rafael 1. Ukumbuke hawa wana report Ndege zao za Magharibi, Claim ya Jeshi la Pakistan ni Ndege 5, 3 rafael, mbili za kirusi.Rafale imeangushwa moja ambayo inaonekana bawa lake tu, other parts sijui ziko wapi. Wewe hizo Rafale zako 6 unazoota hata picha ya moshi huna. Wakati India inashambulia kambi za kigaidi, airbase na bandari za Pakistan.
Pakistan maskini jeuri hana hela anakopa IMF akaanzishe vita. Wana njaa kichwani.
Jana Pakistan Wametoa video kuonesha waliowapiga vipi, kifupi ni kwamba India Walikua hacked kuanzia server zao za email hadi Satelite zao, wame release hadi voice baina ya Marubani na Jeshi, so walitegwa vizuri tu wenzao wakijua kila coordinates zao ndio maana imekuwa rahisi kushusha hizo ndege.Basi Pakistan wametisha na jamaa wapo chap sana..
Maana nilichokuwa nashangaa hio kasi waliotumia ilikuwa si mchezo.. maana unaposhambuliwa kuna ule muda unabaki umepigwa butwaa kwanza ukitafakari adui kajipanga vipi na namna gani ujibu..
Lakini katika muda huo huo wanarusha fighter jets, na kujibu mapigo kabla ndege za adui hazijaingia anga la India... na wanafanikiwa...
Basi Pakistan wapo vizuri sana. Lakini nikitafakari kuna uwezekano hizo ndege zilipigwa na ADs..
Jana Pakistan Wametoa video kuonesha waliowapiga vipi, kifupi ni kwamba India Walikua hacked kuanzia server zao za email hadi Satelite zao, wame release hadi voice baina ya Marubani na Jeshi, so walitegwa vizuri tu wenzao wakijua kila coordinates zao ndio maana imekuwa rahisi kushusha hizo ndege.
Rafale inazizidi mbali F-16 walizonazo Pakistan.Yeah!...nakubaliana na hili.
Rafale nadhani zina ubora mzuri sana huenda hata kuliko F-16, ila hapo kwenye experience ya kuzitumia ni muhimu sana.
Training hours ni muhimu sana kwenye eneo hilo.
T14 Armata
Assad alishapanga kuondoka,aliandaa mazingira urusi, Iran alimsihi asiondoke ataleta jeshi,ikashindikana, ndiyo maana uliona jeshi lake halikupambana Bali lilirudi nyuma tu,Leo hii uturuki ndiyo great player Syria,Arab spring ilishajifia siku nyingi,hukuona urusi alianza ondoa rasilimali zake Syria kabla Assad hajaondoka!?Assad aliondoka kwa ushauri wa turkey?
Stfu man, that not the truth, reality is collapse of his leadership started during arab spring in 2011, by then there was anti gov protest, he responds by killing many of them
That crack started there, including civil wars, ethinic wars leading to economic collapse
He failed big time
Safari hii umejitetea sana kuliko hata Wahindi wenyewe waliokubali kipigo.Rafale inazizidi mbali F-16 walizonazo Pakistan.
Su-30MKI inazizidi F-16 Block waliyonayo Pakistan, pia inaizidi JF-17 Block III.
Vilevile Rafale inaizidi J-10CE ya Pakistan.
Tofauti inayokuja ni kwamba India iliingia anga la Pakistan kabla ya vita na ikafanya airstrikes. Anayekuwa nyumbani ana option ya kuwasha early warning radars, air defense systems, AEW aircrafts na akatumia missile interceptors au jets zenye AAM. Anayekuwa anga la kigeni yeye ana ndege zake angani tu so ana disadvantage.
Na vilevile kwa sababu India alienda kufanya airstrikes basi alibeba mabomu ya kushambulia ardhini, meanwhile Pakistan alipoingia angani alienda na air to air missiles tu. Kwahiyo India hakuwa na namna ya fighting back.
Ingekuwa Pakistan wameingia anga la India matokeo yangekuwa mabaya zaidi ya hapa. Na Pakistan huwa hawapeleki ndege zao anga la India sababu watapata hasara kubwa. Kitendo cha India kuingia anga la Pakistan ni sababu wanajua wanawamudu. Vita ikianza zikatokea dogfights expect zitatokea anga la Pakistan na sio anga la India maana Pakistan ana chance ndogo ya kujaribu kuingia India kwa ndege.
Next encounters India wakitaka kufanya airstrikes watakuwa na resources maana tiyari ni kama si kificho vita itaanza, na watafanya SEAD kwanza.
Na ukiwapeleka neutral ground, Indian pilots are more trained than Pakistan counterparts. Vilevile French pilots are more experienced with Rafale than Indians.
Hii encounter moja isipumbaze watu.
Mchina ni mtu wa ku-copy na ku-paste.Kumbe china ana siraha bora hivyo bt ameshndwa kukanyaga taiwan, cha ajabu china anaiba tech ya mrusi ya ndege vita na anatumia injini za ndege vita za urusi. Ajabu china na urusi huwa inawachukua miaka mingi sn kujbu au kutengeneza ndege vita inayokuwa imetengenezwa na marekani sasa kataa hili upewe data ya generation za ndege vita za marekani zmetoka mwaka gn na china na urusi imewachukua miaka mingapi nao kutengeneza.
Daah, kwahiyo China ana tech kubwa ya silaha kuzidi America?Maeneo mengi duniani katika uwanja wa vita, silaha zilizotamalaki na kunesha usitahimilivu na ufanisi ni za China na Urusi.
Hao mabepari wa magharibi wanajua kukuza bei tu.
Ndiyo maana vita ya Ukraine Urusi anawachapa washirika wa ukraine na silaha zao.
Tatizo China tunamchukulia poa. Silaha bei poa na ufanisi mzuri.
Daah, kwahiyo China ana tech kubwa ya silaha kuzidi America? MpambMaeneo mengi duniani katika uwanja wa vita, silaha zilizotamalaki na kunesha usitahimilivu na ufanisi ni za China na Urusi.
Hao mabepari wa magharibi wanajua kukuza bei tu.
Ndiyo maana vita ya Ukraine Urusi anawachapa washirika wa ukraine na silaha zao.
Tatizo China tunamchukulia poa. Silaha bei poa na ufanisi mzuri.
Ha ha ha haKumbe china ana siraha bora hivyo bt ameshndwa kukanyaga taiwan, cha ajabu china anaiba tech ya mrusi ya ndege vita na anatumia injini za ndege vita za urusi. Ajabu china na urusi huwa inawachukua miaka mingi sn kujbu au kutengeneza ndege vita inayokuwa imetengenezwa na marekani sasa kataa hili upewe data ya generation za ndege vita za marekani zmetoka mwaka gn na china na urusi imewachukua miaka mingapi nao kutengeneza.
Sio AI tu, a lot of techs zimeanzia kwa wazungu huko.Mchina ni mtu wa ku-copy na ku-paste.
Anasubiri wengine waumize kichwa, wafanye research na fedha kisha mchina anatoa copy yake
Bila mzungu kuvumbua na kutengeneza, mchina hana cha kutengeneza.
Kwanini Mchina hakuwa wa kwanza kutengeneza AI?
Assad nchi ilimshinda, imagine mshahara wa wanajeshi ulikua dola 50,so kwa ushauri wa turkey akaamua aondoke,maana vikwazo,vita nchi ikawa inategemea dawa za kulevya kujiendesha
Kwa upande wa Iran hakuna ndege ya israel na washirika wake iliyoingia Iran,walishambulia toka anga la Iraq
Kama kuandika tu hujui utaweza kuelewa kweli.Mkuu iyo Rafale mbona nakumbuka ata Houthi waliisalimia moja salam aleykum nayo ikajibu waleykum Salam au nachanganya mambo.
We jamaaa mpiga propaganda wa Israel usielipwa ata O Iran kapigwa wapi mbona atuoni Ushaid?
Hata Urusi husema Ukraine ndo alianza kushambulia Urusi , ila ukwel unaujuaKwa hiyo Pakistan walipokiri kuwa India ndio ilianza kuwashambualia unekubaliana nao sio?
Ila PM wa Pakistan anaposema kuwa Pakistan wametungua ndege za India na hata senior intelligenece officer wa Ufaransa amekiri ni habari za uongo si ndio?
Umejiona jinsi matatizo yako ya uelewa yanapoanzia?
Kwa hiyo wewe unakubaliana tu na habari za Pakistan ambazo zina mlengo chanya kwa India?
Marekani waliondoka lini Iraq?..Ndege ziliingia kushambulia. Iraq wasingekubali Israel itumie anga lake kushambulia Iran maana ingeweza leta vita nyumbani kwao pia. Na Iraq hawana uhusiano huo na Israel.
Assad alikimbia baada ya jamaa kumfurumusha na alikosa msaada toka Russia, Turkey and China.
Period.
Leo mnadai source ?Weka source Putin aliposema kwamba special operation ndani ya Ukraine itakuwa ya saa 72
Sio kwel Pakistan wamekuwa wanawatunza hao magaid , India ilishambulia kamb za magaid ili Serikali ya Pakistan inawakingia kifua na kujibu kwa niaba yaoTatizo nyinyi ndio mko kishabiki
Baada ya yale mashambulizi Pakistan ilikuwa tayari ufanyike uchunguzi huru na wa kina
Ila India ikakataa na kuanza kuishutumu Pakistan na kuanza kushambulia
Unafikiri hapo Pakistan ingefanya nini? Kama sio kudungua Rafale za Muhindi
Sasa hv wameenda India na kupiga picha kipande cha bati cha hiyo ndegeRafale 6 zimeenda kushambulia pakistani zote zimeangushwa ila zimeangukia india hapa kuna walakinI yani haiaminiki kabisaaa
Ina maaa hakuna hata moja iliyoangukia pakistan? Ina maana ndege za rafale zina uwezo wa kujikongioja na kuchagua pa kuangukia baada ya kupigwa kombora?
Hata Urusi husema Ukraine ndo alianza kushambulia Urusi , ila ukwel unaujua
Sio kwel Pakistan wamekuwa wanawatunza hao magaid , India ilishambulia kamb za magaid ili Serikali ya Pakistan inawakingia kifua na kujibu kwa niaba yao
Yaani mpk India anajua locations za kambi zao ila Pakistan mweny nchi hana time
Lete sourceLeo mnadai source ?