Uchaguzi 2020 Ubunge Arusha sasa upo wazi kwa Godbless Lema

Arusha tutaongozwa na mtu mwenye asili ya arusha.
 
Mmachame na arusha wapi na wapi asee...... Jua kwamba tangia mwaka 1995 arusha wabunge wake wote hawajawahi kuwa wazawa wa arusha
Makongoro, mrema, na sasa lema wote sio watu wa asili ya arusha
 
Lema siasa zake za kutegemea kubwebwa na wachaga wenzake zimegonga mwamba safari hii, wamasai, waarusha, waislam wote wanamsapoti gambo, lema hatoboi
Huyo muuza vitumbua wa ilala labda ashinde ubunge hapo ccm mkoa,chamani hawamtaki yupo kama yatima...anahudhuria mpka mbesi za wamama sijui nae ni mama
 
binafsi sikudhani Gambo angekuja kukosa mvuto kiasi hiki! kabla hata ya mchakato wa ubunge wengi tulidhani Gambo ndie mtu sahihi kwa chuga, ila mambo naona yamebadilika kiasi kwamba hatuoni Gambo akitoboa kwa Lema. kwanza hata kampeni zake huwa sijui anafanyiaga wapi maana kapooza kweli kweli
 
Mmachame na arusha wapi na wapi asee...... Jua kwamba tangia mwaka 1995 arusha wabunge wake wote hawajawahi kuwa wazawa wa arusha
Makongoro, mrema, na sasa lema wote sio watu wa asili ya arusha
Gambo jee wa Arusha
 
Kwahiyo Gambo ndiye wa Ars?
 
binafsi sikudhani Gambo angekuja kukosa mvuto kiasi hiki! kabla hata ya mchakato wa ubunge wengi tulidhani Gambo ndie mtu sahihi kwa chuga, ila mambo naona yamebadilika kiasi kwamba hatuoni Gambo akitoboa kwa Lema. kwanza hata kampeni zake huwa sijui anafanyiaga wapi maana kapooza kweli kweli

..Gambo ni mtu mpole na mwenye aibu.

..hawezi kufanya siasa za kwenye majukwaa.
 
Sisi wakazi wa Arusha mjini hatutaki utopolo,kura kama zote ni kwa Lema,huyo mwingine asubirie uteuzi.
Mtu kama wewe bila hata kujua ni nani; Ni mchaga! Na haya ndo nayasema. Munadhani mukiwapa support kabila lenu basi mutapita uchaguzi, wakati munajua population haiwapi nafasi hiyo.
 
Mwambie Lema akavizie tena stendi kuna abiria awapigie kampeni.huyo kwisha kabisa
 
CCM iliamini na kujiaminisha kwamba Mrisho Mashaka Gambo angewavusha salama katika uchaguzi mkuu, hapakuwemo mgombea mwingine wa kumzidi yeye.
Kulikuwa na dogo mmoja hivi alikuwa anagombea lakini wakajifanya hawamuoni. Mi niko zangu hapa Levolosi nawa-zoom tu
 
Back
Top Bottom