Parvovirus
JF-Expert Member
- May 24, 2020
- 268
- 188
Mkuu ww ni resident wa arusha????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ww ni resident wa arusha????
Kampeni zilizinduliwa na waziri mkuu... Pinda wala hayupo arusha... Shida ww sio mkazi wa arusha ni ushabiki tuu unaokuendesha...Minzengo Pinda aka Mzee wa kulia lia.
Lema anaasili ya arushaArusha tutaongozwa na mtu mwenye asili ya arusha.
ndio.Lema anaasili ya arusha
Mmachame na arusha wapi na wapi asee...... Jua kwamba tangia mwaka 1995 arusha wabunge wake wote hawajawahi kuwa wazawa wa arushandio.
Huyo muuza vitumbua wa ilala labda ashinde ubunge hapo ccm mkoa,chamani hawamtaki yupo kama yatima...anahudhuria mpka mbesi za wamama sijui nae ni mamaLema siasa zake za kutegemea kubwebwa na wachaga wenzake zimegonga mwamba safari hii, wamasai, waarusha, waislam wote wanamsapoti gambo, lema hatoboi
Gambo hata wana ccm wenzake hawamtakiHuyo muuza vitumbua wa ilala labda ashinde ubunge hapo ccm mkoa,chamani hawamtaki yupo kama yatima...anahudhuria mpka mbesi za wamama sijui nae ni mama
Gambo jee wa ArushaMmachame na arusha wapi na wapi asee...... Jua kwamba tangia mwaka 1995 arusha wabunge wake wote hawajawahi kuwa wazawa wa arusha
Makongoro, mrema, na sasa lema wote sio watu wa asili ya arusha
Kabisa akiwa RC alikua anawatisha wamuabudu,sasa hivi ni paka wa bar
Kwahiyo Gambo ndiye wa Ars?Mmachame na arusha wapi na wapi asee...... Jua kwamba tangia mwaka 1995 arusha wabunge wake wote hawajawahi kuwa wazawa wa arusha
Makongoro, mrema, na sasa lema wote sio watu wa asili ya arusha
Yaleyale... watu wasimtupe mtoto wao kwa sababu ya mpitanjia!!!Ngongo,
Mzaramo kuwa mbunge wa chuga hii itakua ni dharau ya hali ya juu kabisa
Watu sasa hivi wanamuona kama joka la kibisa tuKabisa akiwa RC alikua anawatisha wamuabudu,sasa hivi ni paka wa bar
binafsi sikudhani Gambo angekuja kukosa mvuto kiasi hiki! kabla hata ya mchakato wa ubunge wengi tulidhani Gambo ndie mtu sahihi kwa chuga, ila mambo naona yamebadilika kiasi kwamba hatuoni Gambo akitoboa kwa Lema. kwanza hata kampeni zake huwa sijui anafanyiaga wapi maana kapooza kweli kweli
Mtu kama wewe bila hata kujua ni nani; Ni mchaga! Na haya ndo nayasema. Munadhani mukiwapa support kabila lenu basi mutapita uchaguzi, wakati munajua population haiwapi nafasi hiyo.Sisi wakazi wa Arusha mjini hatutaki utopolo,kura kama zote ni kwa Lema,huyo mwingine asubirie uteuzi.
..Gambo ni mtu mpole na mwenye aibu.
..hawezi kufanya siasa za kwenye majukwaa.
Kulikuwa na dogo mmoja hivi alikuwa anagombea lakini wakajifanya hawamuoni. Mi niko zangu hapa Levolosi nawa-zoom tuCCM iliamini na kujiaminisha kwamba Mrisho Mashaka Gambo angewavusha salama katika uchaguzi mkuu, hapakuwemo mgombea mwingine wa kumzidi yeye.