Uchaguzi 2020 Ubungo, Dar: Boniface Jacob wa CHADEMA aenguliwa kugombea Ubunge

Mwaka 2015 aliyekuwa mgombea wa ccm kule Kasulu Kusini Daniel Nsanzugwanko alijaza formu kuwa alizaliwa tarehe 3/8/2015.

Alipowekewa pingamizi hakuenguliwa kwa sababu kosa la kukosea tarehe ya kuzaliwa kama hilo siyo fatal kiasi hicho.

Reasonableness ya common man mtu mwenye siku tisa tu anaweza kugombea ?

Kumuengua mtu kwa kosa la namna hili siyo sawa hata kidogo.
 
Hayo Makosa madogo wanafanya Upinzani tu
Ni makosa madogo kwa wafuasi wa CHADEMA ambao wanashangilia mgombea wao anapotoa maneno ya kuhamsisha uvunjifu wa amani. Hayo ni mbadala wa kuwaambia WaTz kama ataendeleza miradi ya maendeleo ulyopo (SGR, Madaraja, Barabara, Meli, Umeme, Maji, Huduma za afya, nk) as u ataifitilia mbali?
 
Ukiwa Chadema ukakosea ndo imekula kwako. Kosa kama hilo halimuengui mtu kama wakiamua kutumia utu na si sheria. Ndo maana ukijaza hakikisha umerudia kuisoma hata mara tano mida tofauti.
 
Amezaliwa 2020 hesabu ndogo kabisa inamaana hajafikisha umri unaotambulika kisheria ili awe mgombea.
 
Ukiwa Chadema ukakosea ndo imekula kwako. Kosa kama hilo halimuengui mtu kama wakiamua kutumia utu na si sheria. Ndo maana ukijaza hakikisha umerudia kuisoma hata mara tano mida tofauti.
Umekimbia
 
Ukiwa Chadema ukakosea ndo imekula kwako. Kosa kama hilo halimuengui mtu kama wakiamua kutumia utu na si sheria. Ndo maana ukijaza hakikisha umerudia kuisoma hata mara tano mida tofauti.
Ni kweli wagombea wanatakiwa kuavoid hizi petty mistakes

Tume haiko fair na imedhamiria kukibeba chama tawala hata hila.
 
Tahadhari ilishatolewa mapema na Mimi nikaileta humu several times Jiwe katoa maelekezo wateule wake wapite bila kupingwa.
 
Tatizo nini bwana Jacob? Ulikosea nini kwenye form? Haisadii sana “kulialia” bila kutoa sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…