Ubungo, Mabibo, Mburahati, Manzese hakuna maji siku zaidi ya tano sasa

mi-CCM iko kimyaaa utadhani CHADEMA ndio wanahusika
Hahah
 
Mkome kuita wasioishi Dar eti wa mikoani, mji una Karaha kama zote yani.
 
True..nakubaliana na wewe kwenye hili
 
Kwasasa nimebaki na Kero ya Umeme, Kuna jamaa nimempa kazi ya ku-design Solar Panels system za kuweza kuwasha taa/Tv/Friji/Mota ya Pampu/Feni n.k
Hapa itakuwa umeepukana na haya makumanyoko CCM...

Sema so Kila mtanzania Ana uwezo huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…