Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Maeneo tajwa hayana maji kwa zaidi ya siku tano sasa, Wahusika wako kimyaaa, jana nimewaona Watendaji WA Dawasco wako kwenye Bajaj wanazunguka Tu. Hii Hali ni hatari, kipindupindu kiko nje nje, mahotel mengi Sana hapa Manzese hayana maji.
Umeme NAO unakatwa kwa zaidi ya masaa SITA Hadi 12 kwa siku, unashindwa hata kupampu maji ya kizima.
Cha ajabu, kuna "Simblisi" ziko mahali zinajiandaa kusherehekea miaka 40+ ya chama kibovu namna hii.
Hii nchi haiishi vituko kila siku.
View attachment 2897528
Hahahmi-CCM iko kimyaaa utadhani CHADEMA ndio wanahusika