Ubungo mataa: Trafiki agongwa na pikipiki akikimbilia kusimamisha lori

Ni tukio la Kusikitisha ila linachekesha sana na nimejikuta ninacheka mno hasa uliposema baada ya Kugongwa huko na Pikipiki akaamka na kusimamisha Lori.
Hujaisoma vizuri bosi
 
Hata wale waliopigwa risasi kule Pemba Oktoba 2021 walikuwa binadamu wenye familia. Hata akina Maalim, Jusa, Mazrui wana familia zao pia...
Kumbuka huyo askari ana mke na watoto, hatujafika huko kuombeana mabaya, Yesu alitupenda kama jinsi tulivyo, Mungu angeangalia maovu Yetu hakika hamna ambaye Angepona, tuombeana badala ya kuchukiana
 
Kumbuka huyo askari ana mke na watoto, hatujafika huko kuombeana mabaya, Yesu alitupenda kama jinsi tulivyo, Mungu angeangalia maovu Yetu hakika hamna ambaye Angepona, tuombeana badala ya kuchukiana
Kwani hao wanaobambikiwa kesi na kufungwa kila siku na hao hao askari hawana familia?!!unao sikia baadhi yao wameuawa eti walikuwa majambazi wanalushiana risasi na polisi hawana familia?ACHA UNAFIKI!!
 
Njia ya goba mbezi na mbezi kinyerezi kuna dada m1trafiki bonge sura ngumu yan huyo ni rushwa tu!
 
Hasira hasara. Kama ni kweli hiyo ndege hakuipanda!
 
Lakini tuwe wakweli jamani. Waswahili bila kubanwabanwa wanajisahau sana.
Bila hivyo, itakuwa shida sana barabarani!
Mtu anaendesha gari usiku akimulikiwa na tochi, huku yuko chakali!
 
Iendeshwe oparesheni angalau mara mbili kwa mwaka kuvikamata hivi vipikipiki .unakuta pkpkkp mbovu sana.kelele,mpira kipara,haina site mirroow na dereva sio timamu.

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3] alimfikisha mpaka wapi !
 
yeah mkuu,alikuwa na watalii toka Mikumi ,na ametoka mikumi anawawahisha ndege ya jioni
Daa masikini jamani sasa ndiyo kutafuta sifa tena zakijinga
 
Hasira hasara. Kama ni kweli hiyo ndege hakuipanda!
jamaa aliwekewa barrier mikese,tajiri akapigiwa simu,watalii wakawahishwa airport na mtu mwingine ila jamaa alibawekwa ndani kwanza,ila kwenye kesi baadaye jamaa alikuja kushinda
 
Kumbuka huyo askari ana mke na watoto, hatujafika huko kuombeana mabaya, Yesu alitupenda kama jinsi tulivyo, Mungu angeangalia maovu Yetu hakika hamna ambaye Angepona, tuombeana badala ya kuchukiana

Mbowe hana mke na watoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…