KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,159
- 5,070
Kuna waganga wa aina nyingi. Wapo wale ambao tunawaona katika vituo vya afya na wale ambao hujulikana kama waganga wa kienyeji. Nadhani katika maelezo yako hapo juu unawaasa wote ambao wataona dalili za pumzi kukatika waende vituo vya afya kuonana na waganga waliopo katika vituo hivyo. Pia umewaonya wanaougua wasiende kwa hao wajulikanao kama waganga wa kienyeji. Asante.Safii ni ukamilikaji kwa ilani ya chama cha mapinduzi.
Tuoshe mikono na tuvae barakoa ukiona dalili usiache kwenda kituo cha afya usinde kwa mganga!
Kwa hiyo ?Serikali ikiongozwa na Rais Jemedari Dr. John Magufuli leo tarehe 24/2/2021 imempatia heshima ya kipekee aliyekuwa Mkuu wa Utumishi wa Umma Hayati Balozi Mhandisi John Kijazi
Daraja la Juu la kipekee Nchini Tanzania lililoko mkoani Dar es Salaam ambalo limezinduliwa leo litaitwa *KIJAZI INTERCHANGE
Siyo FLYOVER tena ?Serikali ikiongozwa na Rais Jemedari Dr. John Magufuli leo tarehe 24/2/2021 imempatia heshima ya kipekee aliyekuwa Mkuu wa Utumishi wa Umma Hayati Balozi Mhandisi John Kijazi
Daraja la Juu la kipekee Nchini Tanzania lililoko mkoani Dar es Salaam ambalo limezinduliwa leo litaitwa *KIJAZI INTERCHANGE
Hii inchi inaendeshwa na mihemko ya MTU mmoja yaani huyu angekuwa rafiki wa HAMORAPA tungesikia hiyo interchnage imepewa jina la.HARMORAPAAina maana alikuwa hali hakufanya hivyo ni unafiki tu.
Tumezoea mganga anakua wa kienyeji nikitaka kusema mganga wa hospital lazima ningesema bwana mganga ahsante!Kuna waganga wa aina nyingi. Wapo wale ambao tunawaona katika vituo vya afya na wale ambao hujulikana kama waganga wa kienyeji. Nadhani katika maelezo yako hapo juu unawaasa wote ambao wataona dalili za pumzi kukatika waende vituo vya afya kuonana na waganga waliopo katika vituo hivyo. Pia umewaonya wanaougua wasiende kwa hao wajulikanao kama waganga wa kienyeji. Asante.
Wacha uchochezi wewe ,hapa kwetu hakuna coronaSafii ni ukamilikaji kwa ilani ya chama cha mapinduzi.
Tuoshe mikono na tuvae barakoa ukiona dalili usiache kwenda kituo cha afya usinde kwa mganga!
Ikibidi hata mara 10Mbona Wakati Kampain za uchaguzi Mkuu zilivyopamba moto Tuliona yule Rais wa Zambia/Malawi Akaja Kufungua, so Ufunguzi unafanyika mara ngapi?
Kwishaaaaa hakuna tenaAlikuja kuzindua siyo kufungua!
Labda zile made in Muhimbili zimekwisha maana hatutaki kutumia za kutoka kwa mabeberuWaongoza msafara na mfunguzi wa hayo majengo hana barakoa!
Akikujibu una bahati ya mtendeTofauti ni nini?
Hahahaaaa...... Kwani wewe bwashee hujui jawabu?Akikujibu una bahati ya mtende
Lazima upongeze maana ndiyo kazi inakuingizia mkate wako wa kila siku.Ni jambo jema.
Aliye lifanyia taifa mambo mengi ni marehemu baba wa taifa mwl JK Nyerere.Safi sana kama Daraja limeitwa KIJAZI, Huyo Mzee amelifanyia mengi Taifa hivyo anapaswa kuenziwa.
Ahaaa. Ngoja nifurahi.Lazima upongeze maana ndiyo kazi inakuingizia mkate wako wa kila siku.
Pamoja unaishi kwa shemeji yako