HaiwezekaniWadau naomba kuuliza swali. Ipo hivi walioomba nafasi ya assistant lecturer Kwa vyuo vya UDOM, SUA, MUCE, DUCE na MUHAS wapo wawili (na nafasi hapo Kwa kila chuo ni 2 post) na watu hao wameappear huko kote alaf nasikia wote wameconfirm DUCE. hivyo vyuo vyote vilivyobaki vinakosa hao assistant lecturers na hizo nafasi kuwa wazi.
Je utumishi hawawezi kuchukua wale walioomba kama Tutorial Assistant ili walau wawaendeleze baadae wawe assistant lecturers?
Au nafasi zitatangazwa upya?
Muongozo tafadhariπ
π³π³π³Haiwezekani
Tutumie tangazo tujiridhishe.Kwenye post zote zilizopitia utumishi nilizoziona mimi ni kwamba kwa vyuo vikuu undergraduate GPA iwe 3.8 na masters GPA 4.0 na kwa Taasisi nyingine kama TIA kwa undergraduate GPA iwe 3.5+ na masters ni GPA 4.0+ nadhani hizo ndo ranks za serikali sijawahi kuona kazi ya kufundisha kwenye Hivi vyuo au Taasisi ya serikali vinataka GPA.3.9+ kwa masters sidhani kwakweli.
Hio GPA 3.8 ni kama umesoma internationally reputable institutionKwenye post zote zilizopitia utumishi nilizoziona mimi ni kwamba kwa vyuo vikuu undergraduate GPA iwe 3.8 na masters GPA 4.0 na kwa Taasisi nyingine kama TIA kwa undergraduate GPA iwe 3.5+ na masters ni GPA 4.0+ nadhani hizo ndo ranks za serikali sijawahi kuona kazi ya kufundisha kwenye Hivi vyuo au Taasisi ya serikali vinataka GPA.3.9+ kwa masters sidhani kwakweli.
Bado sijakupata fresh mkuu ? Kwamba wewe unadhani kuwa ukiwa na GPA ya 3.8+ kwa undergraduate uliyoipata kwa vyuo vikuu hapa Tz na masters una GPA ya 4.0+ uliyoipata hapa Tz, huwezi kuwa assistant lecture kwa vyuo vikuu hapa Tz ?Hio GPA 3.8 ni kama umesoma internationally reputable institution
Labda sijaelewa mnachobishana lakini, Kwa vyuo kama IFM, CBE, IAE, DIT, NIT, TIA, na baadhi ya taasisi nyengine, assistant lecturers wanatakiwa kuwa na 3.5 Kwa bachelor na 3.8 master. Na Tutorial Assistant anatskiwa kuwa na 3.5 tu au zaidi ktk bachelor yake.Bado sijakupata fresh mkuu ? Kwamba wewe unadhani kuwa ukiwa na GPA ya 3.8+ kwa undergraduate uliyoipata kwa vyuo vikuu hapa Tz na masters una GPA ya 4.0+ uliyoipata hapa Tz, huwezi kuwa assistant lecture kwa vyuo vikuu hapa Tz ?
Sikia boss vyuo vikuu vyote vya Tanzania ni Internationally reputable na ndyo maana unaweza chukua degree UDOM/UDSM halafu masters ukaenda kichukua nje ya nchi kwenye chuo chochote kikubwa maana Hivi vyuo vyote vinatambulika kimataifa na lazima vifikie standard fulani ndo viwe qualified kuwa vyuo vikuu, labda ni kiingereza kimekuchanganya (no offense) boss wangu, huoni hata hapo kwenye Tutorial Assistant wamekuwekea hiyo hiyo 3.8+ from an internationally reputable higher learning Institution kwahiyo na yenyewe utasema kwamba aliyepata GPA ya 3.8+ kwa vyuo vya Tz hawezi kuwa TA hapo UDSM ?
Anyway ndo hivyo bhana inabidi tueleweshane Ili fursa zikitokea tusizikose ila ndo Iko hivyo ukipata Undergraduate GPA 3.8+ kwenye chuo chochote kikuu Tanzania na pia ukawa na Postgraduate/masters GPA 4.0+ kwenye chuo kikuu chochote Tanzania, wewe unaweza kuomba kazi ya Assistant Lecture kwenye chuo chochote Tanzania hizo ndo standards za hapa TZ kaka labda kama Kuna chuo private kije na systems zake but so far hakuna kazi ambayo imeshatangazwa na kupingana na hivyo vigezo.
Nshalewa tutajadiliana kesho π π π»Bado sijakupata fresh mkuu ? Kwamba wewe unadhani kuwa ukiwa na GPA ya 3.8+ kwa undergraduate uliyoipata kwa vyuo vikuu hapa Tz na masters una GPA ya 4.0+ uliyoipata hapa Tz, huwezi kuwa assistant lecture kwa vyuo vikuu hapa Tz ?
Sikia boss vyuo vikuu vyote vya Tanzania ni Internationally reputable na ndyo maana unaweza chukua degree UDOM/UDSM halafu masters ukaenda kichukua nje ya nchi kwenye chuo chochote kikubwa maana Hivi vyuo vyote vinatambulika kimataifa na lazima vifikie standard fulani ndo viwe qualified kuwa vyuo vikuu, labda ni kiingereza kimekuchanganya (no offense) boss wangu, huoni hata hapo kwenye Tutorial Assistant wamekuwekea hiyo hiyo 3.8+ from an internationally reputable higher learning Institution kwahiyo na yenyewe utasema kwamba aliyepata GPA ya 3.8+ kwa vyuo vya Tz hawezi kuwa TA hapo UDSM ?
Anyway ndo hivyo bhana inabidi tueleweshane Ili fursa zikitokea tusizikose ila ndo Iko hivyo ukipata Undergraduate GPA 3.8+ kwenye chuo chochote kikuu Tanzania na pia ukawa na Postgraduate/masters GPA 4.0+ kwenye chuo kikuu chochote Tanzania, wewe unaweza kuomba kazi ya Assistant Lecture kwenye chuo chochote Tanzania hizo ndo standards za hapa TZ kaka labda kama Kuna chuo private kije na systems zake but so far hakuna kazi ambayo imeshatangazwa na kupingana na hivyo vigezo.
Mkuu ungeambatisha na tangazo au hata chochote ukitoa sifa zaLabda sijaelewa mnachobishana lakini, Kwa vyuo kama IFM, CBE, IAE, MNMA, TIA, na baadhi ya taasisi nyengine, assistant lecturers wanatakiwa kuwa na 3.5 Kwa bachelor na 3.8 master. Na Tutorial Assistant anatskiwa kuwa na 3.5 tu au zaidi ktk bachelor yake.
Hiyo 3.8 Kwa bachelor na 4.0 Kwa masters ni kigezo kinachotumika vyuo vikuu (universities) kama UDOM, SUA, UDSM, ARU, n.k.
Tafuta nafasi ya Assistant Lecturer (Material Science and Engineering) Utumishi. Angalia walioitwa interview ni wangapi. Fuatilia waliofanya usaili ni wangapi pia. Utanielewa mimi naona GPA sio tatizo wala usaili. Tatizo ni kazi yenyewe na umbali pia.Hicho kinanifanya nimuone muongo. Hiyo idadi ni ndogo sana. Kuna nafasi 4 waliitwa watu 100
Universities ni vyuo vinavyotoa programmes mbalimbali from nearly all fields of knowledge. Unakuta chuo kinatoa programs za elimu, Sheria, udaktari, biashara, informatics na earth science & engineering n.k mfano UDOM, UDSM, Mzumbe n.k. Hapa ili uwe academician ni lazima upate GPA ya 3.8 Kwa undergrad na 4.0 Kwa master degree.Mkuu ungeambatisha na tangazo au hata chochote ukitoa sifa za
1. Universities
2. Non Universities qualifications kwa a)Tutorials assistants na
B)Assistant lectures
AdiΓ³s
Mkuu mtu anayefundisha NTA6 (diploma ) π π π π π huyo tutagombania hata mimi mwenye 3.9 japo siku-opt huko nikakimbilia kwenye HR, Japo hakuna diliUniversities ni vyuo vinavyotoa programmes mbalimbali from nearly all fields of knowledge. Unakuta chuo kinatoa programs za elimu, udaktari, biashara, informatics na earth science and engineering n.k mfano UDOM, UDSM, mzumbe n.k. Hapa ili uwe academician ni lazima upate GPA ya 3.8 Kwa undergrad na 4.0 Kwa master degree.
Institute mara nyingi hutoa fani katika field Moja mfano IFM ni finance, CBE na TIA ni mambo ya business, IAE ni education tu, DIT ni technologies, NIT ni transport n.k. Na ili uwe academician ktk hizi taasisi wanataka GPA kuanzia 3.5 Kwa undergrad na 3.8 Kwa master degree.
Ili chini ni tangazo la IAE
View attachment 2401218View attachment 2401219
Yap mkuu iko Hivi mi nilidhani na kwa Taasisi nako masters wanataka 4.0 but kumbe wao ni 3.8+Universities ni vyuo vinavyotoa programmes mbalimbali from nearly all fields of knowledge. Unakuta chuo kinatoa programs za elimu, udaktari, biashara, informatics na earth science and engineering n.k mfano UDOM, UDSM, mzumbe n.k. Hapa ili uwe academician ni lazima upate GPA ya 3.8 Kwa undergrad na 4.0 Kwa master degree.
Institute mara nyingi hutoa fani katika field Moja mfano IFM ni finance, CBE na TIA ni mambo ya business, IAE ni education tu, DIT ni technologies, NIT ni transport n.k. Na ili uwe academician ktk hizi taasisi wanataka GPA kuanzia 3.5 Kwa undergrad na 3.8 Kwa master degree.
Ili chini ni tangazo la IAE
View attachment 2401218View attachment 2401219
Kwa taasisi master ni 3.8Yap mkuu iko Hivi mi nilidhani na kwa Taasisi nako masters wanataka 4.0 but kumbe wao ni 3.8+
sanaaUzi umeanza kunona madini.
Safi sana
Sawa, ila kafundishe makolo wenzio!Ona hii takataka. Kwa vile tunashabikia mpira unadhani tupo level 1. Mimi sio mwenzio bro
Sijalielewa vizuri swali lakoMkuu mtu anayefundisha NTA6 (diploma ) π π π π π huyo tutagombania hata mimi mwenye 3.9 japo siku-opt huko nikakimbilia kwenye HR, Japo hakuna dili
Tuendelee kupeana mioyo tuUzi umeanza kunona madini.
Safi sana
Naona tu unanichekea, punguza kunikenulia menoSawa, ila kafundishe makolo wenzio!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu wewe unahitaji mapambano ya kiimani zaidi kuna kitu katika imani kinakushambulia maana kwa point hizo ulipaswa uwe anga nyingine kabisa.BSc 4.1, Masters 4.21
Niliitwa Nelson Mandela ila tulikua wengi. Watu 13 walihitaji watu wa nne. Nikaamua kutulia kimya.