Uchaguzi ni sayansi: Lissu anaenda kugaragazwa vibaya sana na Mbowe

Amejaa mwenyewe kwenye mfumo! In short, Lissu anatafuta sababu za kuondoka CHADEMA ili amfuate Msigwa! Atasema uchaguzi umehujumiwa kwa pesa ya mama Abdul!
 
Sio mbaya kama ana sifa japo kwa tafsiri ya demokrasia wanayoipigania dhidi ya CCM ni sawa na kutaka ndugu yako afanye kiti ambacho hutaki kukifanya. Yani yeye afuate ukomo Ila wewe ukomo wa madaraka hutaki .. Ila ndio siasa zetu
 
Mbowe kajiimarosha sana karibu kanda zote. Viongozi wote wa kanda team mbowe. Lisu anachezea kichapo mapema na mpasuko mkubwa unatokea
Mbowe ana mizizi ndani ya Jumuia zote za chama kingine kinachombeba ni busara - hakurupuki kurupuki na hii ndiyo sifa ya kiongozi bora.

Kule msibani Tanga kwa Mzee kibao angekuwa kiongozi mwingine yangetokea maafa pale.
 
Kwanini umetumia hiyo picha? Ungeweza kuleta video za na Mbowe akiwa Tungi pia kusawazisha mambo.
 
Sio mbaya kama ana sifa japo kwa tafsiri ya demokrasia wanayoipigania dhidi ya CCM ni sawa na kutaka ndugu yako afanye kiti ambacho hutaki kukifanya. Yani yeye afuate ukomo Ila wewe ukomo wa madaraka hutaki .. Ila ndio siasa zetu
Kichekesho sana mkuu. Wao ukomo hamna ila wanataka ukomo kwa wenzao na nchi kwa ujumla.
 
H
uenda purukushani zote hizi ni vitu ambavyo vimesetiwa ili kuvunja yale madai kwamba ndani ya Chadema hakuna Demokrasia ??! 😳

Don’t you see it makes sense ??? ! 😳
 
Haahaa Kwa maneno ya mbowe ya kusema miaka 20 ni ya kukomaa, dah binafsi ninawasiwasi Sana mbowe angepata urais
 
Kwa hiyo demokrasia ni Lissu aachiwe kiti bila uchaguzi?

Anataka nafasi basi apambane hakuna ushindi wa mezani.
Ndo jambo la msingi, kwa sasa lissu ndo wa kumezingatiwa zaidi, maana atakayeshindana naye ameshakaa uongozini miaka 20
 
Mbowe anaenda kumsattafisha siasa bwana mdogo Lissu sababu aambiliki akasikia.

Kama anafikri kujenga chama ni rahisi amuulize zitto
Haahaa akishinda kihalali ndo demokrasia boss, tofauti na Lumumba fomu moja tu ya mwenyekiti
 
Amejaa mwenyewe kwenye mfumo! In short, Lissu anatafuta sababu za kuondoka CCM amfuate Msigwa! Atasema uchaguzi umehujumiwa kwa pesa ya mama Abdul!
Haahaa safari hii takukuru wataingia mpaka uchaguzi wa chadema, Haki inayoombwa wanapopambana na ccm lazima ionekane inatendeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…