Uchaguzi Uganda: Matokeo ya awali kutoka sehemu mbalimbali. Museveni anaongoza

Uchaguzi Uganda: Matokeo ya awali kutoka sehemu mbalimbali. Museveni anaongoza

Mseveni amejichokea hata hvyo ni aibu nchi kuongozwa na msanii , ni hapo Tu wenzetu wazungu wanapotuchapia fimbo ....wanahakikisha wagonbea wote ni presidentially material Kwanza ...
Aibu kubwa zaidi kwa binadamu wa leo ni kutokujua maana ya neno msanii kwa mujibu wa maana ya sanaa,shule si kuelewa.
 
Wanamtight asitoe hata pua nje, wanajua akitoa mguu nje nchi inawaka moto.

👉Soma hapo chini kutoka tweet ya Kyagulanyi.

Mu7 nae bado ajaiva,mpaka sasa mwamuziki ajakimbilia ubalozini tu?
Screenshot_20210115_195613.jpg
 
IMG_8434.JPG

Nipo hapa nyumbani naangalia NBS tv ya Uganda. Robert Kyagulanyi (Bobi Wine) anadai kwenye baadhi ya majimbo karatasi za kupigia kura zilikua tayari zimeshapigiwa kwa Yoweri Museveni. Watu waliokua wanafika walikua wanaambiwa wapige kura za wabunge tu.

Upande mwingine: Makamu wa Rais, Edward Sekandi ameshindwa kutetea kiti chake cha Ubunge ambacho amekikalia tangu 1996. Mawaziri 17 kwa sasa wameshindwa kutetea viti vyao vya Ubunge.
 
Kama utalinganisha mafanikio aliyopata Tundu Lissu kwenye uchaguzi mkuu uliopita na Bob Wine utagundua kuwa Chadema walifeli sana.

Kwa mujibu wa BBC chama cha Bob Wine tayari kimewaangusha mawaziri zaidi ya wanne kwenye ubunge akiwemo waziri wa habari na Waziri wa Utalii.
Kadhalika wamemgaragaza kinara wa wabunge wa chama tawala.

Chadema wanapaswa kujifunza kwa Bob Wine ni aibu chama kikuu cha upinzani kupata mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mzee bila ya kuitaja cdm hujisiki burdan
Cdm yenyewe sahv ipo ipo tu haina makali
Nashangaa kutwa cdm cdm
Ukilalaga unaiotaga pia
Kwanza uchaguz umekwisha fanyeni kazi sasa

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Afrika hakunaga uchaguzi na maigizo tu nakupotezeana muda. Vyama vilivyo madarakani havitaki kutoka madarakani
 
Kama utalinganisha mafanikio aliyopata Tundu Lissu kwenye uchaguzi mkuu uliopita na Bob Wine utagundua kuwa Chadema walifeli sana....
Acha unaa yaliyofanyika kwetu,usiyafananishe na kokote,Susi tunajuana,ila ni ngumu kuwa jua wengine wa mbali
 
Mkuu kumbuka urais ni taasisi, so hata wewe unaweza kuwa Rais but ukichukua hicho kiti ndipo utajua kuna nini ndani, hutabaki kuwa muuza karanga bali protokali.

Hata hao wakoloni kuna nchi wananchi walimpa mchekeshaji urais na mpaka sasa anafanya vizuri sana.
Sure nahisi ni UKRAINE.
 
Upande mwingine: Makamu wa Rais, Edward Sekandi ameshindwa kutetea kiti chake cha Ubunge ambacho amekikalia tangu 1996. Mawaziri 17 kwa sasa wameshindwa kutetea viti vyao vya Ubunge.
Pamoja na kumpoka kiti cha urais ikiwa atachukua wabunge nusu ya viti vya Ubunge nadhani itakuwa vizuri zaidi hasa kwenye vikao vya bunge.
 
Mkuu kumbuka urais ni taasisi, so hata wewe unaweza kuwa Rais but ukichukua hicho kiti ndipo utajua kuna nini ndani, hutabaki kuwa muuza karanga bali protokali.

Hata hao wakoloni kuna nchi wananchi walimpa mchekeshaji urais na mpaka sasa anafanya vizuri sana.
Nchi hiyo nadhani ni Ukraine
 
Back
Top Bottom