watu kama hao unawazuiaje ? unawabembeleza? IGP kawabembeleza hawakusikia , CDF kawabembeleza hawakusikia ulidhani wangemsikia nani zaidi ya chuma? mbona toka siku hiyo wamesikiaWaliua watu sababu wamechoma vitu moto?
watu kama hao unawazuiaje ? unawabembeleza? IGP kawabembeleza hawakusikia , CDF kawabembeleza hawakusikia ulidhani wangemsikia nani zaidi ya chuma? mbona toka siku hiyo wamesikiaWaliua watu sababu wamechoma vitu moto?
Jibu ni kwamba kilichotokea oct 29 Tanzania ni ukomo wa uvumilivu kwa kipindi kirefu kutokana na mambo mengi na si kwamba kilichotokea kilihusiana na tukio la uchaguzi, ndio maana maandamano yalishapangwa kufanywa siku hiyo ya uchaguzi na yalianza kufanyika wakati huo huo ambao walitakiwa kwenda kupiga kura.Umeona walivyomfanya Bobi Wine jana usiku?
Ina maana Waganda japo wanamchukia Museveni, lakini kila kilicho nchini kwao wanakithamani na kukipenda kama mali za Uganda, hawawezi kuwa wajinga kama hawa wa kwetu wa kuchoma na kuharibu miundo mbinu wanayotumia wenyewe na sio Museveni anatumia hata kama serikali yake imejenga
Kwani, waganda ni Watanzania na matatizo yetu ni sawa?Uchaguzi tayari umeisha Uganda na kuna malalamiko kuwa Yoweri Museni kaiba kura na kuwatesa wapinzani ikiwemo kumkamata Boby Wine jana usiku
Sasa kwanini Waganda hawatoki na kuanza kuharibu nchi yao, na pia kuiba mali za Waganda wenzao?
Kulikoni Tanzania kwa wale waliojifanya wanaandamana kwa amani ila tukaja kujua kuwa walikuwa ni vikundi vya majambazi, vibaka na wahujumu miundo mbinu ya nchi yetu?
Kwahiyo polisi walikuwa wanazuia huo uhalifu au walikuwa wanaua hao wahalifu?Ndugu mnaongea na kuandika mliyolishwa matango pori na media na wachochezi wa chadema na hao wengine, mimi sio mchama ila lile tukio ninalijua na nalichukia kuliko kawaida kwa sababu zifuatazo.
1. Polisi walikuwa hawana namna ya kuwatofautisha maana wakishakimbia hawana uniform au Identity wanaiba , wanachoma vitu kisha wanaingia kwenye majumba ya watu au waningia kwenye baaa ya mpira wanajifanya walikuwa wanaaangalia mpira , Polisi walikuwa wanataarifa sahihi kwa sababu kuna polisi wengi walimwagwa mtaani hawakuwa na uniform kwa hiyo ni uongo kusema eti walipigwa kwenye banda , ikitokea wa wale nyumbani kweli siwezi kubisha kwa sababu kwa ile panic lazima uwe unamwaga, TENA NAOBA NEXT TIME NTAWAOMBA POLSI NI VULUNTEEE KUWA DEDISHA HAO MBWA NITATANDIKA RISASI MPAKA MUNGU ATANISHIKA MKONO KAMA DAUDI EBU ACHA MAANA WANAKERA NA KUUDHI MPKA BASI,.
Pili. Ishara mbaya ni kufuata mali za watu binafsi kwa kisingizio ni za wana CCM ndio mtu ana haki ya kuchagua chama anachokipenda na kuamua matumizi ya hela yake unanipangiaje kwa kuniibia na kunichomea akina yangu ma juhudi zangu binafsi ambazo wewe mama yako baba yako bibi na babu zako hawajaweza kutengeneza kama mimi kisa wivu tu ? Mfano SHISHI NA BILLNASI ambao wanajulikana kidogo , ni watu wa kawaida sana na bado unawarudisha chini halafu uchekewe ? Mbona vimekufa vilivyokufa na dunia haijasimama . PIGA RISASI SAFI YA KICHWA.
Tatu:
Mimi nisingekaaa kuwachukia kama wangeandamana hata watu milioni moja wakielekea kwenye viwanja au wakifunga majengo ya serikali kushinikiza wasikilizwe kwa amani, au wachome vituo vya kura tu tujue ni issue ya uchaguzi, sasa waowalikuwa wanaingia kwa watu binafsi wanavunja jengo wainaingia ndani wanaiba wakimaliza wanachoma jengo ,mkiwazuia saa sita mchanawanarudi saa 10 , mkiwazuia wanarudi saa 3 usiku , mkiwazuia wanarudi tena saa 7 usiku saa 9 usiku hao tena mpaka u ajiuliza hawa ni majini wametumwa kutufilisi au nini? KUMAAAA MAAAE NINAWATAMANI NAOMBA MUNGU KWELI ITOKEE SIKU NIWEZE KULIPIZA KISASI KWA WALIOBAKI HAI HATA IWE MIAKA 5 MBELENI , YAANI MBWA YEYPTE SIKU AJICHANGANYE NITAPIGA RISASI RSF WA SUDANI WANASUBIRI
4 . Siku ya kwanza tu kabla hawajazima Internet nilionya kuwa aisee hawa jamaa wapigwe risasi haraka sana kabla hawajasabaaa uzembe wa polisi wakawaachia , ile ile 29 October Kimara wangepigwa kama 20 chap chap na magomeni 20 kwishney usingesikia huu upumbavu
walizuia uhalifu kwa kuwapunguza wahalifu na kuwapunguzia intention, njia pekee iliyopo kutokana na idadi yao ni kuwapiga risasi za moto ili wasikie joto kidogoKwahiyo polisi walikuwa wanazuia huo uhalifu au walikuwa wanaua hao wahalifu?
Kwahiyo polisi walikuwa wanazuia huo uhalifu au walikuwa wanaua hao wahalifu?
Wangeandamana kwa kuchoma vituo vya kupigia kura tu , kwa nini waliingia kuiba na kufilisi watu huo ni uchungu au ujambazi , ujangili?Jibu ni kwamba kilichotokea oct 29 Tanzania ni ukomo wa uvumilivu kwa kipindi kirefu kutokana na mambo mengi na si kwamba kilichotokea kilihusiana na tukio la uchaguzi, ndio maana maandamano yalishapangwa kufanywa siku hiyo ya uchaguzi na yalianza kufanyika wakati huo huo ambao walitakiwa kwenda kupiga kura.
Kwahiyo naweza kusema haupo sahihi kwa kuangalia tukio la uchaguzi huko Uganda na kuhitimisha kuwa waganda hawawezi kufanya kama walichofanya watanzania kisa tu hakujatokea vurugu katika hiyo siku ya uchaguzi.
Waliwatambuaje hao wahalifu katikati ya waandamanaji na hata ambao hawakuwa waandamanaji?walizuia uhalifu kwa kuwapunguza wahalifu na kuwapunguzia intention, njia pekee iliyopo kutokana na idadi yao ni kuwapiga risasi za moto ili wasikie joto kidogo
Maswali yako ni ya kijinga tu.Uchaguzi tayari umeisha Uganda na kuna malalamiko kuwa Yoweri Museni kaiba kura na kuwatesa wapinzani ikiwemo kumkamata Boby Wine jana usiku
Sasa kwanini Waganda hawatoki na kuanza kuharibu nchi yao, na pia kuiba mali za Waganda wenzao?
Kulikoni Tanzania kwa wale waliojifanya wanaandamana kwa amani ila tukaja kujua kuwa walikuwa ni vikundi vya majambazi, vibaka na wahujumu miundo mbinu ya nchi yetu?
kwa kuokoa muda na raia wema kutokana na idadi ya watu ni kuwachapa waliopo barabari watapelekeana salamuWaliwatambuaje hao wahalifu katikati ya waandamanaji na hata ambao hawakuwa waandamanaji?
Kwanini wachome vituo vya kupiga kura tu pekee yake?Wangeandamana kwa kuchoma vituo vya kupigia kura tu , kwa nini waliingia kuiba na kufilisi watu huo ni uchungu au ujambazi , ujangili?
Hoja zako na sababu zako zote ni sahihi asilimia 100% ni kichaaa tu atakayekubishia, sema utaratibu wa kulalamikia hayo ndo ulitekwa na majambazi , Mimi nilikuwa namuunga mkono sana Polepole alikuwa anaonyesha matobo na kuelezea na alikuwa na lugha za staha, hata aliposhikwa mpaka kesho namlaumu sana Dr Samia kwa hilo kuna watu wanakosoa kwa kukuonyesha udhaifu wako hao ni watu wema sana sio wa kuonewa ni kubishana nao kwa hoja na kuonyesha ukweli , mfamo kujilimbikizia Mali kuna story za uongo nyingi sana pia zinasambazwa kwa nia ya chuki tu mfano zamani utajiri wa Lowassa au Ridhiwani, Nilishaambiwa Lowassa enzi hizo eti kanunua nyumba zote za AICC pale soweto kumbe wala hata , mara nyumba zote PPF njiro ni zake kumbe sio , hivyo hivyo na ridhiwani kuna saa akina Mange wanatumika kukutengenezea chuki na wananchi , kuhusu umaskini na ajira nitakuja soon kuelezea effort zilizofanyikaMaswali yako ni ya kijinga tu.
Kilichotokea tarehe 29 Oktoba, ni kitendo cha wananchi kufikia ukomo wa uvumilivu baada ya kunyimwa haki zao nyingi za msingi, na pia kuchoshwa na vitendo vya dhuluma na uonevu uliokithiri kutoka kwa watawala wa ccm.
Ngoja nikutajie baadhi ya madudu yenu ambayo yalichangia kutokea kwa maandamano ya Oktoba 29, 2025;
1. Ufisadi, rushwa na kujilimbikizia mali kunakofanywa na viongozi wengi wa ccm na familia zao.
2. Ugumu wa maisha, ukosefu mkubwa wa ajira kwa vijana, na ukosefu wa misingi bora ya serikaliya kuwawezesha wananchi kujiajiri kwenye kilimo, biashara, nk.
3. Kuwaengua wagombea wa vyama vya upinzani kwenye uchaguzi. (Na huu upumbavu uliasisiwa na Magufuli, na huyu mama yenu ameendelea nao).
4. Kuwatangaza wagombea wa ccm kushinda uchaguzi hata kama hawakushinda.
5. Kugomea mabadiliko machache na muhimu ya sheria za uchaguzi, na ambayo chama kikuu cha upinzani CHADEMA waliyaweka hadharani. Na lengo lilikuwa ni zu tu ka kutaka kuwepo na uchaguzi huru na wa haki. Na hapa ndipo ilipozaliwa kampeni iliyoungwa mkono na mamilioni ya wananchi kote nchini ya No reforms, no election (nyinyi maccm kwa akili zenu butu, mliipuuza hii kampeni! Na matokeo yake mliyaona)
6. Kumfunga Mh. Tundu Lissu kwa hila tangu April, 2025!
7. Kuharibu mchakato wa ndani ya chama chenu cha ccm, wa kumpata mgombea wa kiti cha urais!
8. Na mengineyo mengi!
Je, haya madudu yote niliyo yataja hapo juu 👆na Uganda yalikuwepo? Je, ni kweli kuna wananchi milioni 31+ waliojitokeza kwenye vile vituo vyenu tupu siku ile ya Oktoba 29? Je, Rais wenu alishinda kwa 97.66? Haya madudu yenu sasa ndiyo yanasababisha wananchi kujichukulia sheria mikononi mwao. Kama ulikuwa hujui.
si labda ndo cause ya complaints ? mali za watu binafsi zinahusikaje na hasira zako ?Kwanini wachome vituo vya kupiga kura tu pekee yake?
Unataka watu wakeshe na wewe saa saba usiku! Mjomba punguza msongo wa mawazo.Najua nyumbu wanasoma na wanapita kushoto
Kumbe hauna uhakika na sababu zipi hasa zilizo pelekea hadi watu kufikia kuchoma vitu, mkuu yale maandamano hayakuwa kwa ajiri ya kuhusu uchaguzi tu bali watu walikuwa wakionyesha hisia zao kutokana mfululizo wa mambo mengi yanayoendelea nchini hivyo kilichotokea ni ukomo wa uvumilivu wa hayo mambo.si labda ndo cause ya complaints ? mali za watu binafsi zinahusikaje na hasira zako ?
sio sahihi billnass , shishi , devoice na watu binafsi wengi unaenda kuwafilisi kwa sababu gani kusingizia ni mafisadi? magari mnayoyakuta gas stations zimepaki usiku mnazichoma huo ni uchungu? utajuaje ni mjasiriamali au ni ya fisadi? Fisadi hapaki sheli yeye ana electric fence , ATM za NMB na CRDB ni fisadi ? msitafute excuse please wale walikuwa MAJAMBAZIKumbe hauna uhakika na sababu zipi hasa zilizo pelekea hadi watu kufikia kuchoma vitu, mkuu yale maandamano hayakuwa kwa ajiri ya kuhusu uchaguzi tu bali watu walikuwa wakionyesha hisia zao kutokana mfululizo wa mambo mengi yanayoendelea nchini hivyo kilichotokea ni ukomo wa uvumilivu wa hayo mambo.
Kwa sababu Museveni hateki na kuua raia wake kama Samia. Kwa sababu Museveni hajauza nchi kwa waarabu kama Tanzania. Kwa sababu Museveni hajafanya ufisadi kwa kujimilikisha magari ya kifahari kama Tanzania. Mbona miaka ya nyuma Tanzania tulikuwa tunafanya chaguzi bila vurugu kama ilivyotokea kwa Samia?Uchaguzi tayari umeisha Uganda na kuna malalamiko kuwa Yoweri Museni kaiba kura na kuwatesa wapinzani ikiwemo kumkamata Boby Wine jana usiku.
Sasa kwanini Waganda hawatoki na kuanza kuharibu nchi yao, na pia kuiba mali za Waganda wenzao?
Kulikoni Tanzania kwa wale waliojifanya wanaandamana kwa amani ila tukaja kujua kuwa walikuwa ni vikundi vya majambazi, vibaka na wahujumu miundo mbinu ya nchi yetu?
Hakuna kinachozidi maisha ya binadamu. Muuaji Samia kaanza kuteka na kuua vijana wanaomkosoa kabla hata ya uchaguzi. Kuchoma ilikuwa ni lazima. Yes, aliua watu wengi wengi wakati wa vurugu lakini Tanzania haitakuwa tena kama zamani. Nina uhakika ni suala la muda tu Samia atalipia mauaji aliyofanya, tena wazalendo walio ndani ya serikali ndiyo wataongoza ili haki itendeke. Tuombe Mungu, atupe uzima muda utaamua.sio sahihi billnass , shishi , devoice na watu binafsi wengi unaenda kuwafilisi kwa sababu gani kusingizia ni mafisadi? magari mnayoyakuta gas stations zimepaki usiku mnazichoma huo ni uchungu? utajuaje ni mjasiriamali au ni ya fisadi? Fisadi hapaki sheli yeye ana electric fence , ATM za NMB na CRDB ni fisadi ? msitafute excuse please wale walikuwa MAJAMBAZI
Samiah tulia acha kujitetea mama, ukiuwa Kwa upanga utauliwa Kwa upanga ishaandikwa hiyo wee jiandae tuu mama lakeUmeona walivyomfanya Bobi Wine jana usiku?
Ina maana Waganda japo wanamchukia Museveni, lakini kila kilicho nchini kwao wanakithamani na kukipenda kama mali za Uganda, hawawezi kuwa wajinga kama hawa wa kwetu wa kuchoma na kuharibu miundo mbinu wanayotumia wenyewe na sio Museveni anatumia hata kama serikali yake imejenga