Uchaguzi Uganda: Mbona hatuoni Waganda wakichoma, kuharibu miundo mbinu na kuiba mali za watu baada ya matokeo?

Uchaguzi Uganda: Mbona hatuoni Waganda wakichoma, kuharibu miundo mbinu na kuiba mali za watu baada ya matokeo?

Screenshot_20260118-095138.jpg
 
Uchaguzi tayari umeisha Uganda na kuna malalamiko kuwa Yoweri Museni kaiba kura na kuwatesa wapinzani ikiwemo kumkamata Boby Wine jana usiku.

Sasa kwanini Waganda hawatoki na kuanza kuharibu nchi yao, na pia kuiba mali za Waganda wenzao?

Kulikoni Tanzania kwa wale waliojifanya wanaandamana kwa amani ila tukaja kujua kuwa walikuwa ni vikundi vya majambazi, vibaka na wahujumu miundo mbinu ya nchi yetu?
Panya road wamethibitiwa sana kwa hiyo siku ile ya uchaguzi wakajitokeza walipata walichokion ukitaka kuamini hayakua maandamano kuna watu kweli hawakua lkn karibia wote waliovunjwa ukimuuliza ulikua kwenye maandamano anakataa sasa kama yalikua maandamo mbona wanagoma kusema
 
Ndugu mnaongea na kuandika mliyolishwa matango pori na media na wachochezi wa chadema na hao wengine, mimi sio mchama ila lile tukio ninalijua na nalichukia kuliko kawaida kwa sababu zifuatazo.

1. Polisi walikuwa hawana namna ya kuwatofautisha maana wakishakimbia hawana uniform au Identity wanaiba , wanachoma vitu kisha wanaingia kwenye majumba ya watu au waningia kwenye baaa ya mpira wanajifanya walikuwa wanaaangalia mpira , Polisi walikuwa wanataarifa sahihi kwa sababu kuna polisi wengi walimwagwa mtaani hawakuwa na uniform kwa hiyo ni uongo kusema eti walipigwa kwenye banda , ikitokea wa wale nyumbani kweli siwezi kubisha kwa sababu kwa ile panic lazima uwe unamwaga, TENA NAOBA NEXT TIME NTAWAOMBA POLSI NI VULUNTEEE KUWA DEDISHA HAO MBWA NITATANDIKA RISASI MPAKA MUNGU ATANISHIKA MKONO KAMA DAUDI EBU ACHA MAANA WANAKERA NA KUUDHI MPKA BASI,.

Pili. Ishara mbaya ni kufuata mali za watu binafsi kwa kisingizio ni za wana CCM ndio mtu ana haki ya kuchagua chama anachokipenda na kuamua matumizi ya hela yake unanipangiaje kwa kuniibia na kunichomea akina yangu ma juhudi zangu binafsi ambazo wewe mama yako baba yako bibi na babu zako hawajaweza kutengeneza kama mimi kisa wivu tu ? Mfano SHISHI NA BILLNASI ambao wanajulikana kidogo , ni watu wa kawaida sana na bado unawarudisha chini halafu uchekewe ? Mbona vimekufa vilivyokufa na dunia haijasimama . PIGA RISASI SAFI YA KICHWA.

Tatu:
Mimi nisingekaaa kuwachukia kama wangeandamana hata watu milioni moja wakielekea kwenye viwanja au wakifunga majengo ya serikali kushinikiza wasikilizwe kwa amani, au wachome vituo vya kura tu tujue ni issue ya uchaguzi, sasa waowalikuwa wanaingia kwa watu binafsi wanavunja jengo wainaingia ndani wanaiba wakimaliza wanachoma jengo ,mkiwazuia saa sita mchanawanarudi saa 10 , mkiwazuia wanarudi saa 3 usiku , mkiwazuia wanarudi tena saa 7 usiku saa 9 usiku hao tena mpaka u ajiuliza hawa ni majini wametumwa kutufilisi au nini? KUMAAAA MAAAE NINAWATAMANI NAOMBA MUNGU KWELI ITOKEE SIKU NIWEZE KULIPIZA KISASI KWA WALIOBAKI HAI HATA IWE MIAKA 5 MBELENI , YAANI MBWA YEYPTE SIKU AJICHANGANYE NITAPIGA RISASI RSF WA SUDANI WANASUBIRI

4 . Siku ya kwanza tu kabla hawajazima Internet nilionya kuwa aisee hawa jamaa wapigwe risasi haraka sana kabla hawajasabaaa uzembe wa polisi wakawaachia , ile ile 29 October Kimara wangepigwa kama 20 chap chap na magomeni 20 kwishney usingesikia huu upumbavu
Ukweli wanaujua ila wanakaza tu shingo kuna dada mmoja ana duka lake mbagala yeye pia alipigwa risasi ya mguu ila anakumbia kabla ya kupigwa kuna vijana walikuja dukani wakaiba vitu wakataka kuiba friji hao wanaobisha wanaujua ukweli ila ubishi wao usio na maana
 
Kwa
Uchaguzi tayari umeisha Uganda na kuna malalamiko kuwa Yoweri Museni kaiba kura na kuwatesa wapinzani ikiwemo kumkamata Boby Wine jana usiku.

Sasa kwanini Waganda hawatoki na kuanza kuharibu nchi yao, na pia kuiba mali za Waganda wenzao?

Kulikoni Tanzania kwa wale waliojifanya wanaandamana kwa amani ila tukaja kujua kuwa walikuwa ni vikundi vya majambazi, vibaka na wahujumu miundo mbinu ya nchi yetu?
Kwasababu Uganda hawatekwi wala kupotezwa na vyama vya siasa vipo huru kufanya siasa
 
1. Ikitokea mtaani nakoishi mtu akasingiziwa kuwa mwizi halafu nikabaini ana vinasaba vya walioandamana okt 29, basi sitasubiri ukweli ujulikane bali ukweli utajulikana akiwa kuzimu.

2. Nikiwa sehemu nimekaa halafu ikatokea kuna mtu aliandamana tumekaa pamoja au meza moja, basi nitamuomba aondoke au niondoke mimi, maana naweza kumtwisha kichwani chochote.
 
So hicho ndo kilisababisha hasira za kufanya mloyafanya??? Basi kumbe tuna vichaaa wengi na hatujui
Have you ever hear the term 'demonstrations turned into riots' before?
All these bullshits ni upuuzi though the good part ni kwamba shankupe minyonyo anaishi kama digidigi, anahangaika sasa mpaka kutumia mamilioni ya walipa kodi kuhonga makampuni ya Marekani yamsafishe(you can Google to verify this) lakini hiyo ni kwamba anazidi kuidhihirishia dunia kuwa aliua Watanganyika kwa makusudi. She is about to face the consequences.
 
Uchaguzi tayari umeisha Uganda na kuna malalamiko kuwa Yoweri Museni kaiba kura na kuwatesa wapinzani ikiwemo kumkamata Boby Wine jana usiku.

Sasa kwanini Waganda hawatoki na kuanza kuharibu nchi yao, na pia kuiba mali za Waganda wenzao?

Kulikoni Tanzania kwa wale waliojifanya wanaandamana kwa amani ila tukaja kujua kuwa walikuwa ni vikundi vya majambazi, vibaka na wahujumu miundo mbinu ya nchi yetu?
Mmeshotoka Iran kulinganisha maandamano sasa mko Uganda sio

Mnajaribu sana kutafuta waovu kama ninyi Ili muonekane wema ila Hilo haiwezekani

Hakuna utetezi wowote mnaweza kutengeneza kuhalalisha mauaji ya Tarehe 29
Tulieni hukumu iyawafikia tu damu za watu sio maji ya kandoro
 
Umeona walivyomfanya Bobi Wine jana usiku?
Ina maana Waganda japo wanamchukia Museveni, lakini kila kilicho nchini kwao wanakithamani na kukipenda kama mali za Uganda, hawawezi kuwa wajinga kama hawa wa kwetu wa kuchoma na kuharibu miundo mbinu wanayotumia wenyewe na sio Museveni anatumia hata kama serikali yake imejenga
Kwani shida nini mkuu? Watu si walichoma kodi zao pia waliamini Biashara nyingi wamiliki ni vigogo wa Serikalini....yaani unakuta Kigogo anamiliki Duka la Matv au Sheli halafu maabara shule za Kata hazina vitendea kazi...mwendo kasi badara ya kuwa tija kwa wananchi ikawa kero kupindukia....kwa namna hii unadhani watu wataacha kuteketeza...
 
Mimi nilishangaa nilioona karakana ya Mchaga mmoja imeibiwa matairi na na vifaa vya kazi na kuchomwa moto, Mttu mzima kabisa alikuwa analia kama mtoto kwa jinsi walivyomlostisha
Hukuna utetezi wa kuhalalisha mauaji ya Tarehe 29
Acheni upuuzi
 
Najua nyumbu wanasoma na wanapita kushoto
Hukuna nyumbu kuzidi wanaojaribu kuhalalisha mauaji ya raia wenzao tarehe 29
Nyumbu wenyewe hawawezi kufurahia mauji ya nyumbu mwenzao Kwa hiyo nyumbu Wana nafuu upstairs kuliko machawa
 
aiseee hata huku kwetu walitusafisha kipumbavu sana mimi nilipona lakini marafiki na majirani mpaka leo wanamsongo sana wa mawazo kwa hasara walizopata kutoka kwa hawa mbwa majizi na wameachiwa madeni na haya mashenzi sijui kwa nini walioponea chupu chupu wameachiwa
Huna akili ya kumiliki chochote Cha maana
So acha ujinga wa kufananisha mali na uhai wa watu
 
Wewe punga usijitie midole na kujinusisha huku ukiona hainuki kwa kuwa imetoka mkunduni kwao
Huna hata ulichoongea kina make sense, soma kwa ufahamu na ujibu kwa ufahu sio unashoboka kama umeukalia
Ndio nyinyi vibaka mlikuwa mnazuzura mitaani na mlivyofatwa huko na kufumuliwa vichwa mnalialia mlifatwa majumbani
Waganda wako very educated kulonganisha na nyinyi walugaluga mliovamia miji mikubwa na sasa mnafanywa nyumbu na wanaharakati wa mitandaoni ambao hata hawaishi na nyinyi choka mbovu huko uswekeni
Kichwa ambacho hakina akili ni mzigo kwa mwili familia na nchi pia

Hakuna chochote Cha kuhalalisha mauaji ya raia waliuwawa makusudi kwenye maandamano 29
 
Panya road wamethibitiwa sana kwa hiyo siku ile ya uchaguzi wakajitokeza walipata walichokion ukitaka kuamini hayakua maandamano kuna watu kweli hawakua lkn karibia wote waliovunjwa ukimuuliza ulikua kwenye maandamano anakataa sasa kama yalikua maandamo mbona wanagoma kusema
Mwandiko wako tu inaonyesha ulivyo mweupe kichwani .
Ccm ndo wanaopenda vilaza kama nyie.

Hakuna utetezi wowote wa kuhalalisha mauaji ya raia waliuwawa makusudi kwenye maandamano
 
Back
Top Bottom