Uchaguzi Uganda: Mbona hatuoni Waganda wakichoma, kuharibu miundo mbinu na kuiba mali za watu baada ya matokeo?

Uchaguzi Uganda: Mbona hatuoni Waganda wakichoma, kuharibu miundo mbinu na kuiba mali za watu baada ya matokeo?

Ukweli wanaujua ila wanakaza tu shingo kuna dada mmoja ana duka lake mbagala yeye pia alipigwa risasi ya mguu ila anakumbia kabla ya kupigwa kuna vijana walikuja dukani wakaiba vitu wakataka kuiba friji hao wanaobisha wanaujua ukweli ila ubishi wao usio na maana
Hivi vijistori vya kijinga
Haviwezi kuhalalisha mauaji ya raia
 
1. Ikitokea mtaani nakoishi mtu akasingiziwa kuwa mwizi halafu nikabaini ana vinasaba vya walioandamana okt 29, basi sitasubiri ukweli ujulikane bali ukweli utajulikana akiwa kuzimu.

2. Nikiwa sehemu nimekaa halafu ikatokea kuna mtu aliandamana tumekaa pamoja au meza moja, basi nitamuomba aondoke au niondoke mimi, maana naweza kumtwisha kichwani chochote.
Ccm wanaopenda kutumia chawa weupe kichwani kama wewe kuhalalisha maovu Yao .
Ungeanza na majambazi ya viongozi yanaiba Kodi za wananchi mabillion

Ccm haiwezi kujisafisha na damu za raia
Hata wakitumia machawa mapumbavu million kama wewe
 
Uchaguzi tayari umeisha Uganda na kuna malalamiko kuwa Yoweri Museni kaiba kura na kuwatesa wapinzani ikiwemo kumkamata Boby Wine jana usiku.

Sasa kwanini Waganda hawatoki na kuanza kuharibu nchi yao, na pia kuiba mali za Waganda wenzao?

Kulikoni Tanzania kwa wale waliojifanya wanaandamana kwa amani ila tukaja kujua kuwa walikuwa ni vikundi vya majambazi, vibaka na wahujumu miundo mbinu ya nchi yetu?
We mpumbavu kweli, kila nchi wananchi wake wana vipaumbele vyao!! Huwezi fananisha waganda na watz au wakenya au Wairan

Sawa Stupid?
 
Wale vibaka wa Gen Inzi hawawezi tena kufanya ule uporaji na kuharibu nchi hii.!
 
Hivi vijistori vya kijinga
Haviwezi kuhalalisha mauaji ya raia
Mjinga ni ww na hao wahuni wenzio yaan ww uharibu mali ya mtu halafu uachwe ilikua haki yao mkiambiwa ukweli hamtaki na ndyo maana mabwana zenu huko magharibi wametulia sasa baada ya mabalozi wao kuonyeshwa zile video za panya road.Mnaleta mambo ya uswahili kwenye mali za watu
 
Ccm wanaopenda kutumia chawa weupe kichwani kama wewe kuhalalisha maovu Yao .
Ungeanza na majambazi ya viongozi yanaiba Kodi za wananchi mabillion

Ccm haiwezi kujisafisha na damu za raia
Hata wakitumia machawa mapumbavu million kama wewe
Narudia tena niwe chawa, niwe kupe niwe chochote unachofikria, nisiwe na akili, niwe mweupe
MSIMAMO WANGU NDO HUO
 
Nyumbu wahalifu waliofanya maandamano uchwara ya wizi na uharibufu wa mali walistahili kuchapwa risasi kama walivyochapwa
 
Mwandiko wako tu inaonyesha ulivyo mweupe kichwani .
Ccm ndo wanaopenda vilaza kama nyie.

Hakuna utetezi wowote wa kuhalalisha mauaji ya raia waliuwawa makusudi kwenye maandamano
Ww ndyo unaonekana mweupe yaan ww uharibu mali ya mtu halafu uachwe nenda kwenye biashara ya mtu kaharibu uone hilo kundu lako watu watakavyolisugua unajua watu wametumia nguvu gani kusimamisha biashara zao halafu ww inaonekana kula kulala bure hama hapo kwa shemeji yako asije akakufanya mke wa pili ***** ww
 
Ndugu mnaongea na kuandika mliyolishwa matango pori na media na wachochezi wa chadema na hao wengine, mimi sio mchama ila lile tukio ninalijua na nalichukia kuliko kawaida kwa sababu zifuatazo.

1. Polisi walikuwa hawana namna ya kuwatofautisha maana wakishakimbia hawana uniform au Identity wanaiba , wanachoma vitu kisha wanaingia kwenye majumba ya watu au waningia kwenye baaa ya mpira wanajifanya walikuwa wanaaangalia mpira , Polisi walikuwa wanataarifa sahihi kwa sababu kuna polisi wengi walimwagwa mtaani hawakuwa na uniform kwa hiyo ni uongo kusema eti walipigwa kwenye banda , ikitokea wa wale nyumbani kweli siwezi kubisha kwa sababu kwa ile panic lazima uwe unamwaga, TENA NAOBA NEXT TIME NTAWAOMBA POLSI NI VULUNTEEE KUWA DEDISHA HAO MBWA NITATANDIKA RISASI MPAKA MUNGU ATANISHIKA MKONO KAMA DAUDI EBU ACHA MAANA WANAKERA NA KUUDHI MPKA BASI,.

Pili. Ishara mbaya ni kufuata mali za watu binafsi kwa kisingizio ni za wana CCM ndio mtu ana haki ya kuchagua chama anachokipenda na kuamua matumizi ya hela yake unanipangiaje kwa kuniibia na kunichomea akina yangu ma juhudi zangu binafsi ambazo wewe mama yako baba yako bibi na babu zako hawajaweza kutengeneza kama mimi kisa wivu tu ? Mfano SHISHI NA BILLNASI ambao wanajulikana kidogo , ni watu wa kawaida sana na bado unawarudisha chini halafu uchekewe ? Mbona vimekufa vilivyokufa na dunia haijasimama . PIGA RISASI SAFI YA KICHWA.

Tatu:
Mimi nisingekaaa kuwachukia kama wangeandamana hata watu milioni moja wakielekea kwenye viwanja au wakifunga majengo ya serikali kushinikiza wasikilizwe kwa amani, au wachome vituo vya kura tu tujue ni issue ya uchaguzi, sasa waowalikuwa wanaingia kwa watu binafsi wanavunja jengo wainaingia ndani wanaiba wakimaliza wanachoma jengo ,mkiwazuia saa sita mchanawanarudi saa 10 , mkiwazuia wanarudi saa 3 usiku , mkiwazuia wanarudi tena saa 7 usiku saa 9 usiku hao tena mpaka u ajiuliza hawa ni majini wametumwa kutufilisi au nini? KUMAAAA MAAAE NINAWATAMANI NAOMBA MUNGU KWELI ITOKEE SIKU NIWEZE KULIPIZA KISASI KWA WALIOBAKI HAI HATA IWE MIAKA 5 MBELENI , YAANI MBWA YEYPTE SIKU AJICHANGANYE NITAPIGA RISASI RSF WA SUDANI WANASUBIRI

4 . Siku ya kwanza tu kabla hawajazima Internet nilionya kuwa aisee hawa jamaa wapigwe risasi haraka sana kabla hawajasabaaa uzembe wa polisi wakawaachia , ile ile 29 October Kimara wangepigwa kama 20 chap chap na magomeni 20 kwishney usingesikia huu upumbavu
Polisi wamefundishwa mwizi akiingia kwenye nyumba unaua wote uliowakuta kwenye hiyo nyumba? Mbona mna argument za kitoto hivi?
 
Have you ever hear the term 'demonstrations turned into riots' before?
All these bullshits ni upuuzi though the good part ni kwamba shankupe minyonyo anaishi kama digidigi, anahangaika sasa mpaka kutumia mamilioni ya walipa kodi kuhonga makampuni ya Marekani yamsafishe(you can Google to verify this) lakini hiyo ni kwamba anazidi kuidhihirishia dunia kuwa aliua Watanganyika kwa makusudi. She is about to face the consequences.
Mnajaribu kuweka mantiki kwenye hizo kauli za huruma kuhusiana na vifo vya ndugu zetu.

Lakini akiwa mkuu wa nchi ana kila sababu ya kufanya alivyofanya, labda uweke wazi wewe ungekuwa kwenye nafasi yake siku ile ungechukua maamuzi yapi?.

Lawama huwa kitu cha kawaida sana, tujaribu kuvaa viatu vya huyo tunayemlaumu tuuone ugumu wa maamuzi aliyoyafanya.
 
kuna habari unazisikia unatamani ziwe ni uongo, mfano habari ya DW kuhusu raia ambao hawakuwa kwenye maandamano au vurugu kupangwa mstari kwa kulazwa chini na kuuliwa unatamani ziwe ni za uongo. Isije ikawa kilichofanyika ni kudhibiti vurugu kwa kuua wasio na hatia ili kutengeneza woga, maana itakuwa ni ukatili usiostahili kuungwa mkono.
 
Nyumbu wahalifu waliofanya maandamano uchwara ya wizi na uharibufu wa mali walistahili kuchapwa risasi kama walivyochapwa
Hizi habari za watu kufuatwa majumbani ni sahihi? Watu walipewa taarifa wabaki ndani, wasitoke, waliotii hiyo amri walibaki salama au kuna waliouwawa ilihali wametii amri ya kubaki ndani?
 
Mke wangu na watoto wanatosha sana kunipenda, na ukongezea Mama yangu na ndugu zangu wa tumbo moja ambao tuko 8, na ukiongezea na nieces na nephew, nina kijiji kizima
Toka hapa wewe unatigoshagwa na Mwigulu Nchemba nakujua sana tu.Kaa Kwa kutulia nitapandisha VIDEO yako hapa ukifanywa.. uhuuu?!
 
kuna habari unazisikia unatamani ziwe ni uongo, mfano habari ya DW kuhusu raia ambao hawakuwa kwenye maandamano au vurugu kupangwa mstari kwa kulazwa chini na kuuliwa unatamani ziwe ni za uongo. Isije ikawa kilichofanyika ni kudhibiti vurugu kwa kuua wasio na hatia ili kutengeneza woga, maana itakuwa ni ukatili usiostahili kuungwa mkono.
Hali ya nchi ilichafuka, tunaposali tumuombe Mungu ile siku isije kujirudia tena nchini mwetu Tanzania.

Ule uharamia unatokea sana DRC na Somalia, Lissu alipoongelea kukinukisha alimaanisha ushenzi wote uliotokea tarehe 29 October.
 
Hizi habari za watu kufuatwa majumbani ni sahihi? Watu walipewa taarifa wabaki ndani, wasitoke, waliotii hiyo amri walibaki salama au kuna waliouwawa ilihali wametii amri ya kubaki ndani?
Katika lile kundi la waandamanaji wahalifu kulikua na nyumbu wenye silaha hao ndo walikua wanafata watu ndani kuwauwa
 
Hali ya nchi ilichafuka, tunaposali tumuombe Mungu ile siku isije kujirudia tena nchini mwetu Tanzania.

Ule uharamia unatokea sana DRC na Somalia, Lissu alipoongelea kukinukisha alimaanisha ushenzi wote uliotokea tarehe 29 October.
Kama ndilo lililotokea ni ukatili kulisapoti na lazima wapo ambao waliamua kuifanya hiyo operation kwa kuzidisha sifa na pasipo kutumia weledi, wachunguzwe, wasalitiwe washtakiwe hata kama waliahidiwa ulinzi ili vizazi vijavyo viwe na rejea ya ni nini matokeo ya jambo kama hilo ndani ya ardhi ya Tanzania. Likiachwa rejea ikabaki ni kumwachia MUNGU sidhani kama ni sahihi.

Mara nyingi ukiwapa kundi la watu kazi lazima kuna kiherehere atakayefanya kupitiliza pasipo ulazima, sasa kwenye hili kupitiliza ina maana kupoteza maisha, hata kama waliahidiwa ulinzi, wasalitiwe, washtakiwe.
 
All these craps expose your level of stupidity, can you at least try to deal straight with the menu at hand?
What are you on ? buffoonery?
I raised the query ! and you suppose to counterargue with facts rather than be discombobulated with your higgledy piggledy responses.
 
Kwa sababu Museveni hateki na kuua raia wake kama Samia. Kwa sababu Museveni hajauza nchi kwa waarabu kama Tanzania. Kwa sababu Museveni hajafanya ufisadi kwa kujimilikisha magari ya kifahari kama Tanzania. Mbona miaka ya nyuma Tanzania tulikuwa tunafanya chaguzi bila vurugu kama ilivyotokea kwa Samia?
Sio kweli
Leo hii Museveni anaenda kumilikisha mtoto wake nchi, hii zaidi ya uongo na uchochezi unaowekwa mitandaoni na kina mange mnaowasikiliza kuwa watoto wa raisi wana magari ya fahari.
Tatizo la watanzania kila tunaemuona ana mali na utajiri tumeamnishwa ni fisadi na mwizi
Na msitolee mifano ya Bakhresa au Dewji, ilikuwa ni just a matter of time and oppotunity kama wale waaandamanaji ambao ukweli tumejua ni walikuwa ni vibaka na majambazi wangefanikiwa kufika Kariakoo na mpaka city centre, tungeona mali zote kina Bahkresa, Dewji, GSM au hata indigenous tanzanians zingeporwa na kuchomwa moto.
 
Back
Top Bottom