Mwamba 777
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 2,780
- 4,504
Samiah acha kujitetea jiandae kujibu kesi mama lakeSisi hatukuwa na waandamanaji tulikuwa na majabazi, majizi, majangili , mahayawani, wezi, vibaka, wahaiini na majibwa mashenzi
Samiah acha kujitetea jiandae kujibu kesi mama lakeSisi hatukuwa na waandamanaji tulikuwa na majabazi, majizi, majangili , mahayawani, wezi, vibaka, wahaiini na majibwa mashenzi
Sisi tunawaiga Waganda? Je huko Uganda unaona wapinzani wakienguliwa na kuzuiwa kushiriki uchaguzi, ili tuone mfanano wako uko kwenye nini? Museveni kapqta kura 30 na ngapi milioni?Uchaguzi tayari umeisha Uganda na kuna malalamiko kuwa Yoweri Museni kaiba kura na kuwatesa wapinzani ikiwemo kumkamata Boby Wine jana usiku.
Sasa kwanini Waganda hawatoki na kuanza kuharibu nchi yao, na pia kuiba mali za Waganda wenzao?
Kulikoni Tanzania kwa wale waliojifanya wanaandamana kwa amani ila tukaja kujua kuwa walikuwa ni vikundi vya majambazi, vibaka na wahujumu miundo mbinu ya nchi yetu?
lakini pia wahuni wamejifunza namna ya kufikisha malalamiko yao sio kufanya ujambazi tenaHakuna kinachozidi maisha ya binadamu. Muuaji Samia kaanza kuteka na kuua vijana wanaomkosoa kabla hata ya uchaguzi. Kuchoma ilikuwa ni lazima. Yes, aliua watu wengi wengi wakati wa vurugu lakini Tanzania haitakuwa tena kama zamani. Nina uhakika ni suala la muda tu Samia atalipia mauaji aliyofanya, tena wazalendo walio ndani ya serikali ndiyo wataongoza ili haki itendeke. Tuombe Mungu, atupe uzima muda utaamua.
Hili mbona ni kawaida sana. Watawala wauaji kama Samia hupenda kuita wanaopigania haki ni ''wahuni''. Lakini suala la kujua wahuni wa kweli ni kundi gani, huwa linaamuliwa na muda.lakini pia wahuni wamejifunza namna ya kufikisa malalamiko yao sio kufanya ujambazi tena
Mpaka leo wanaendelea kulialia kila mahali wanapoweza kuandika chochote, kwamba mauaji ya kinyama yalifanyika Tanzania.Uchaguzi tayari umeisha Uganda na kuna malalamiko kuwa Yoweri Museni kaiba kura na kuwatesa wapinzani ikiwemo kumkamata Boby Wine jana usiku.
Sasa kwanini Waganda hawatoki na kuanza kuharibu nchi yao, na pia kuiba mali za Waganda wenzao?
Kulikoni Tanzania kwa wale waliojifanya wanaandamana kwa amani ila tukaja kujua kuwa walikuwa ni vikundi vya majambazi, vibaka na wahujumu miundo mbinu ya nchi yetu?
So hicho ndo kilisababisha hasira za kufanya mloyafanya??? Basi kumbe tuna vichaaa wengi na hatujuiMain opposition leader hajawekwa rumande na chama chake hakijazuiwa kufanya siasa, second popular politician among the opposition leaders naye jina lake halikukatwa ili asishiriki uchaguzi. Kwa factors hizo muhimu ni use*nge kulinganisha repercussions za TZ na UG.
Wahuni wa kweli waliokata watu vidole kisa wametumia haki yao ya kupiga kura.Hili mbona ni kawaida sana. Watawala wauaji kama Samia hupenda kuita wanaopigania haki ni ''wahuni''. Lakini suala la kujua wahuni wa kweli ni kundi gani, huwa linaamuliwa na muda.
The guilty are always afraidTafuta mtu akupende mkuu, huwezi kuwa miserable kiasi cha ku_trigger hisia za watu usiku mzito kiasi hiki.
Ndiyo maana nikasema muda ndiyo utaamua ni nani wahuni wa kweli. Tukiendelea kuzozana hapa kila mtu atavutia upande wake...Wahuni wa kweli waliokata watu vidole kisa wametumia haki yao ya kupiga kura.
Wahuni wa kweli waliochoma biashara za watu kwa kigezo cha kubuni kwamba hao wamiliki wa mali wanaisaidia CCM.
Wahuni wa kweli waliopora bidhaa maduka ya watu sinza na kinondoni wakati wa ule ushenzi (hayakuwa maandamano yale).
Padre Kitima anawatetea akisema wale ni waandamanaji akisema ni vijana wanaotetea haki zao!.Ndugu mnaongea na kuandika mliyolishwa matango pori na media na wachochezi wa chadema na hao wengine, mimi sio mchama ila lile tukio ninalijua na nalichukia kuliko kawaida kwa sababu zifuatazo.
1. Polisi walikuwa hawana namna ya kuwatofautisha maana wakishakimbia hawana uniform au Identity wanaiba , wanachoma vitu kisha wanaingia kwenye majumba ya watu au waningia kwenye baaa ya mpira wanajifanya walikuwa wanaaangalia mpira , Polisi walikuwa wanataarifa sahihi kwa sababu kuna polisi wengi walimwagwa mtaani hawakuwa na uniform kwa hiyo ni uongo kusema eti walipigwa kwenye banda , ikitokea wa wale nyumbani kweli siwezi kubisha kwa sababu kwa ile panic lazima uwe unamwaga, TENA NAOBA NEXT TIME NTAWAOMBA POLSI NI VULUNTEEE KUWA DEDISHA HAO MBWA NITATANDIKA RISASI MPAKA MUNGU ATANISHIKA MKONO KAMA DAUDI EBU ACHA MAANA WANAKERA NA KUUDHI MPKA BASI,.
Pili. Ishara mbaya ni kufuata mali za watu binafsi kwa kisingizio ni za wana CCM ndio mtu ana haki ya kuchagua chama anachokipenda na kuamua matumizi ya hela yake unanipangiaje kwa kuniibia na kunichomea akina yangu ma juhudi zangu binafsi ambazo wewe mama yako baba yako bibi na babu zako hawajaweza kutengeneza kama mimi kisa wivu tu ? Mfano SHISHI NA BILLNASI ambao wanajulikana kidogo , ni watu wa kawaida sana na bado unawarudisha chini halafu uchekewe ? Mbona vimekufa vilivyokufa na dunia haijasimama . PIGA RISASI SAFI YA KICHWA.
Tatu:
Mimi nisingekaaa kuwachukia kama wangeandamana hata watu milioni moja wakielekea kwenye viwanja au wakifunga majengo ya serikali kushinikiza wasikilizwe kwa amani, au wachome vituo vya kura tu tujue ni issue ya uchaguzi, sasa waowalikuwa wanaingia kwa watu binafsi wanavunja jengo wainaingia ndani wanaiba wakimaliza wanachoma jengo ,mkiwazuia saa sita mchanawanarudi saa 10 , mkiwazuia wanarudi saa 3 usiku , mkiwazuia wanarudi tena saa 7 usiku saa 9 usiku hao tena mpaka u ajiuliza hawa ni majini wametumwa kutufilisi au nini? KUMAAAA MAAAE NINAWATAMANI NAOMBA MUNGU KWELI ITOKEE SIKU NIWEZE KULIPIZA KISASI KWA WALIOBAKI HAI HATA IWE MIAKA 5 MBELENI , YAANI MBWA YEYPTE SIKU AJICHANGANYE NITAPIGA RISASI RSF WA SUDANI WANASUBIRI
4 . Siku ya kwanza tu kabla hawajazima Internet nilionya kuwa aisee hawa jamaa wapigwe risasi haraka sana kabla hawajasabaaa uzembe wa polisi wakawaachia , ile ile 29 October Kimara wangepigwa kama 20 chap chap na magomeni 20 kwishney usingesikia huu upumbavu
Tupo pamoja kiongozi.Ndiyo maana nikasema muda ndiyo utaamua ni nani wahuni wa kweli. Tukiendelea kuzozana hapa kila mtu atavutia upande wake...
Yeah!...angalau Museveni alikuwa akichuana na washindani wake wakubwa.Wamejifunza Tanzania wakazima internet mapema sana, pia dikteta Museveni hana machawa wanaokera na kuamsha hisia kali za raia kama mama yenu.
Hatuko pamoja hata kidogo....Tupo pamoja kiongozi.
Kwa nini una “abuse” majina ya wenzio?Tupo pamoja kiongozi.
Jina gani kwa mfano?.Kwa nini una “abuse” majina ya wenzio?
Jumapili njema.Hatuko pamoja hata kidogo....
MaCCM yalishindwa kujiongeza yamuachie hata Mpina kidogo, yaliiba kijinga sana.Yeah!...angalau Museveni alikuwa akichuana na washindani wake wakubwa.
hakuwa mgombea pekee kama kule nchi ya Kusadikika.