Are you literally this childish or you're just pretending to be one? Unauliza "ungekuwa wewe kwenye nafasi yake ungefanyaje siku ile?" as if mambo yote hayo from nowhere yaliibuka tu siku hiyo. Kwa sensible na responsible leader hawezi deliberately kutengeneza mazingira ya kusabanisha Watanganyika kwa caliber yao wafikie hasira za ku-react kiasi kile, dhulma, mateso, udhalilishaji wa kingono(this includes ulawiti) na muuaji among other things vimekuwa vikifanyika kwa muda mrefu mioyo ya Watanganyika ikiumia ndani kwa ndani. Watu kunyimwa uhuru na platforms za kutapika nyongo(kusema kwa uhuru bila kuhofia kutekwa pale wanapokosoa uozo unaofanywa na viongozi), combination ya mambo mengi ambayo kwa kiongozi mwenye busara tusingefika huko kulikoleta matokeo ya riots hivyo huyo mkuu wako hakuwa na sababu ya kutufikisha huko kwenye vurugu.