Uchaguzi Uganda: Mbona hatuoni Waganda wakichoma, kuharibu miundo mbinu na kuiba mali za watu baada ya matokeo?

Uchaguzi Uganda: Mbona hatuoni Waganda wakichoma, kuharibu miundo mbinu na kuiba mali za watu baada ya matokeo?

Ukweli wanaujua ila wanakaza tu shingo kuna dada mmoja ana duka lake mbagala yeye pia alipigwa risasi ya mguu ila anakumbia kabla ya kupigwa kuna vijana walikuja dukani wakaiba vitu wakataka kuiba friji hao wanaobisha wanaujua ukweli ila ubishi wao usio na maana
ahsante kwa kuongezea mifano hai , nadhani hao wa Dar es salaam na Mwanza ndo wameathirika sana sisi kisehemu kidogo tu lakini impact tumeiona ya hao Majizi majambazi
 
Sio kweli
Leo hii Museveni anaenda kumilikisha mtoto wake nchi, hii zaidi ya uongo na uchochezi unaowekwa mitandaoni na kina mange mnaowasikiliza kuwa watoto wa raisi wana magari ya fahari.
Tatizo la watanzania kila tunaemuona ana mali na utajiri tumeamnishwa ni fisadi na mwizi
Na msitolee mifano ya Bakhresa au Dewji, ilikuwa ni just a matter of time and oppotunity kama wale waaandamanaji ambao ukweli tumejua ni walikuwa ni vibaka na majambazi wangefanikiwa kufika Kariakoo na mpaka city centre, tungeona mali zote kina Bahkresa, Dewji, GSM au hata indigenous tanzanians zingeporwa na kuchomwa moto.
na mida hii tungekuwa kwenye civil war kama ya rwanda miaka hiyo kila mtu anamsaka mbaya wake na mapanga kwa sababu Tz wenye bunduki wachache na risasi zingeisha , hata mimi nimejifunza rifle yangu ilikuwa na risasi 9 tu , toka siku hiyo nimeapa lazima niwe na case ya 1000 bullets ndani kwa tahadhari tu siku wahuni wakijitoa ufahamu nawachapa mpaka ziishe wamekufa 997 najiachia tatu za kujiua
 
Sitegemei maoni tofauti ya haya kutoka Kwa chawa wapumbavu wasiojua umuhimu wa uhai wa raia wenzao

Kama utafanikiwa kuja kumiliki akili utajutia sana
jambazi, jizi, kibaka , jangili hayawani uhai wake ni mzigo kwa jamii na taifa
 
Mmeshotoka Iran kulinganisha maandamano sasa mko Uganda sio

Mnajaribu sana kutafuta waovu kama ninyi Ili muonekane wema ila Hilo haiwezekani

Hakuna utetezi wowote mnaweza kutengeneza kuhalalisha mauaji ya Tarehe 29
Tulieni hukumu iyawafikia tu damu za watu sio maji ya kandoro
Sijaona mada hata moja ikilinganisha matukio ya Iran na hapa
Zaidi nimeona wale waliokuwa wakishangalia kuwa huu ndio mwisho wa Ayatollah, na sasa sijui wamejificha wapi maana wamepotea wote na hizo mada hazipandi tena.
Na hapa hatulinganishi, bali tunauliza kwanini Waganda hachomi nchi yao kama hawa wa kwetu ?

1768738991446.png


1768739112784.png
 
Mjinga ni ww na hao wahuni wenzio yaan ww uharibu mali ya mtu halafu uachwe ilikua haki yao mkiambiwa ukweli hamtaki na ndyo maana mabwana zenu huko magharibi wametulia sasa baada ya mabalozi wao kuonyeshwa zile video za panya road.Mnaleta mambo ya uswahili kwenye mali za watu
yaani inatakiwa hata waliopo hai walioporochoka watafutwe wauwawe mbegu chafu ipotee kabisa ya majambazi
 
Hali ya nchi ilichafuka, tunaposali tumuombe Mungu ile siku isije kujirudia tena nchini mwetu Tanzania.

Ule uharamia unatokea sana DRC na Somalia, Lissu alipoongelea kukinukisha alimaanisha ushenzi wote uliotokea tarehe 29 October.
Ndo maana bado simpendi sana Rais samia kwa sababu namuona kama anawaremba sana wahuni toka 2023 nilishashauri zile kauli za tutafanya sias aza nginja nginja ingekuwa mimi ningeshawafanya mbolea long time kitambo na leo wasingesikika tena , WALIMTIKISA SANA MZEE MPOLE KIKWETE MWAMBA ALIWANYOOSHA KWELI KWELI SAMIA AKAANZA KUWAPAKA PODA
 
Lucha yupo genuine wanoongea ongea uhai wa watu ni vi diaspora vya kwenye key board akitoka kuosha wazee anapunguza stress kwa kumsikiliza mange na kujibu humu, real street situations ya r=tarehe 29 hawaijui
Mim mwenyew nilkuwa sjui ila baada ya kutembea sehem mbali mbali na kujionea uharibifu,hasa hasa wa mali za raia niliumia
 
Kama ndilo lililotokea ni ukatili kulisapoti na lazima wapo ambao waliamua kuifanya hiyo operation kwa kuzidisha sifa na pasipo kutumia weledi, wachunguzwe, wasalitiwe washtakiwe hata kama waliahidiwa ulinzi ili vizazi vijavyo viwe na rejea ya ni nini matokeo ya jambo kama hilo ndani ya ardhi ya Tanzania. Likiachwa rejea ikabaki ni kumwachia MUNGU sidhani kama ni sahihi.

Mara nyingi ukiwapa kundi la watu kazi lazima kuna kiherehere atakayefanya kupitiliza pasipo ulazima, sasa kwenye hili kupitiliza ina maana kupoteza maisha, hata kama waliahidiwa ulinzi, wasalitiwe, washtakiwe.
hayo yanaitwa makosa kazini wanatakiwa waongezewe mishahara na kupandishwa cheo , ningekuwa mimi ningewajengea nyumba kabisa zawadi kwani sh ngapi bana ? wameokoa maisha na mali nyingi sana . MUHIMU KULIKO VYOTE CCTV iangaliwe kwa utulivu waliopo hai wote watafutwe wauwawe
 
Mim mwenyew nilkuwa sjui ila baada ya kutembea sehem mbali mbali na kujionea uharibifu,hasa hasa wa mali za raia niliumia
hapo kuna wastaafu ndo wamefungua vi biashara vyao, kuna maskini ana mikopo kama yote kaibiwa na marejesho yapo pale pale , kuna aliyejipata kidogo kesharudishwa nyuma km 10 halafu kuna watu wanasema uhai wa mtu?

YAANI ANAYETETEA UHAI WA MAJAMBAZI WALE NA YEYE BWA KABISA , WATU WAMEKUFA WEMA WANGAPI NA DUNIA IPO TU KWA NINI TUUMIE KIFO CHA JAMBAZI, SHENZI, KIBAKA, JANGILI, JIZI HAYAWANI? TENA HATA VIZAZI VYAO IKIBIDI NAVYO VIFUATILIWE VISIJE KURITHI UWIZI
 
hapo kuna wastaafu ndo wamefungua vi biashara vyao, kuna maskini ana mikopo kama yote kaibiwa na marejesho yapo pale pale , kuna aliyejipata kidogo kesharudishwa nyuma km 10 halafu kuna watu wanasema uhai wa mtu?

YAANI ANAYETETEA UHAI WA MAJAMBAZI WALE NA YEYE BWA KABISA , WATU WAMEKUFA WEMA WANGAPI NA DUNIA IPO TU KWA NINI TUUMIE KIFO CHA JAMBAZI, SHENZI, KIBAKA, JANGILI, JIZI HAYAWANI? TENA HATA VIZAZI VYAO IKIBIDI NAVYO VIFUATILIWE VISIJE KURITHI UWIZI
Na kwa dunia ya sasa tukubali tukatae,mali ni muhimu kuliko uhai
 
Mnajaribu kuweka mantiki kwenye hizo kauli za huruma kuhusiana na vifo vya ndugu zetu.

Lakini akiwa mkuu wa nchi ana kila sababu ya kufanya alivyofanya, labda uweke wazi wewe ungekuwa kwenye nafasi yake siku ile ungechukua maamuzi yapi?.

Lawama huwa kitu cha kawaida sana, tujaribu kuvaa viatu vya huyo tunayemlaumu tuuone ugumu wa maamuzi aliyoyafanya.
Are you literally this childish or you're just pretending to be one? Unauliza "ungekuwa wewe kwenye nafasi yake ungefanyaje siku ile?" as if mambo yote hayo from nowhere yaliibuka tu siku hiyo. Kwa sensible na responsible leader hawezi deliberately kutengeneza mazingira ya kusabanisha Watanganyika kwa caliber yao wafikie hasira za ku-react kiasi kile, dhulma, mateso, udhalilishaji wa kingono(this includes ulawiti) na muuaji among other things vimekuwa vikifanyika kwa muda mrefu mioyo ya Watanganyika ikiumia ndani kwa ndani. Watu kunyimwa uhuru na platforms za kutapika nyongo(kusema kwa uhuru bila kuhofia kutekwa pale wanapokosoa uozo unaofanywa na viongozi), combination ya mambo mengi ambayo kwa kiongozi mwenye busara tusingefika huko kulikoleta matokeo ya riots hivyo huyo mkuu wako hakuwa na sababu ya kutufikisha huko kwenye vurugu.
 
What are you on ? buffoonery?
I raised the query ! and you suppose to counterargue with facts rather than be discombobulated with your higgledy piggledy responses.
Are these👆🏾 your hard solid facts whatsoever?
 
Mke wangu na watoto wanatosha sana kunipenda, na ukongezea Mama yangu na ndugu zangu wa tumbo moja ambao tuko 8, na ukiongezea na nieces na nephew, nina kijiji kizima
Lengo lako ni kujustify mauaji ya watanzania wenzetu.Mkeo (kama kweli yupo), watoto wako na hao ndugu zako...wana ndugu wa hovyo sana
 
Sio kweli
Leo hii Museveni anaenda kumilikisha mtoto wake nchi, hii zaidi ya uongo na uchochezi unaowekwa mitandaoni na kina mange mnaowasikiliza kuwa watoto wa raisi wana magari ya fahari.
Tatizo la watanzania kila tunaemuona ana mali na utajiri tumeamnishwa ni fisadi na mwizi
Na msitolee mifano ya Bakhresa au Dewji, ilikuwa ni just a matter of time and oppotunity kama wale waaandamanaji ambao ukweli tumejua ni walikuwa ni vibaka na majambazi wangefanikiwa kufika Kariakoo na mpaka city centre, tungeona mali zote kina Bahkresa, Dewji, GSM au hata indigenous tanzanians zingeporwa na kuchomwa moto.
Uzuri ni kuwa kama wasemavyo waungwana ''damu ya mtu haifunikwi kwa mchanga''..... ni suala la muda tu..
 
Msenge wewe Kazi ya hap ******* ni kuua ? Hata IMA wakechoma ikulu mbwa ninyi ,Kazi ya polisi ni kuua watu wasio na silaha za moto ? ,pumbavu zenu ...Hamna mabomu ya machozi na zana na kutuliza fujo na kuwakamata wafabya fujo mpaka watu wauawe kiasi kile ? ,eti jambazi ,pumbavu wewe ......mnajua maana ya jambazi ? ,ninyi ******* wanufaika wa mfumo dhalimu dawa yenu inachemka na soon mtakiona cha mtema kuni mbwa koko ninyi , mnavamia nyumba za watu na kubaka ,halafu mnaua waandamanaji kwa kisingizio cha waporaji ,kvma ninyi
Hahahahahaha
Ulibakwa au babako aligongwa?

Mlichokuwa mnakitafuta ndo hcho
 
Back
Top Bottom