Uchaguzi ujao, Kanda ya Ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais

Kanda ya ziwa imebeba watu wengi wenye utambuzi wa siasa
 
Wewe shoga rais hajaenda Mara? Hapa alikua ameenda kwenye makalio yako?



Hujuilizi Rais kwenye muda wa mwkaa mmoja ametembelea karibu mikoa yote ya Kanda ya Ziwa, umewahi kusikia ameenda mahala mara nyingi hivyo? Huna akili hata macho pia huna?
 
H
Hata kanda zina point tofauti kulingana na idadi ya watu. So bado hilo sio jibu sahihi... kitu sahihi ni mama kusimama kama rais sio legelege, kudeal na maswala yenye masilahi mapana kwa nchi sio petty issues mfano ruzuku ya mafuta ni kaujinga fulani hivi ka maigizo no impact hakuna kilichopungua baada ya bei mpya, mfumuko wa bei lazima udhibitiwe, uuzaji wa nafaka leo hii Dodoma wamejaa wakenya bei ya mahindi imefika 780 mpaka 800/kg na mwaka huu mahindi maeneo mengi yaliuungua kwa jua... hadi Novemba unga utakuwa 1400/kg au zaidi. Baada ya hapo asubiri kurejea madarakani bila pressure ya kanda ya ziwa.
 
Acha uongo kwamba Kanda ya ziwa mna zaidi ya 40% ya kura?? Hakunaga outright majority hiyo. Kingine Kanda ya ziwa haijawahi kupiga kura kama block mfano Kagera,Kigoma na Mara zilipigia upinzani miaka mingi na Geita, Mwanza, shinyanga zikapiga CCM at least kwa data za 2015. Sasa unapodai inaamua Rais nashindwa kuelewa ni mikoa ipi umejumlisha au ni mpaka Tabora na Kigoma?


Source: Nziku (2020)

Hiyo ni population ya Raia wote Kanda ya ziwa out population ya watu karibu million 60!! Don't over estimate kura za Kanda ya ziwa ni kawaida tu unapo zicompare na nchi nzima.
 
20% ya population ya watanzania ni wasukuma : mbona unaumia Kama nyie hamjui kuzaa tulieni
HIi figure unaitoa wapi? Halafu hata kama ni kweli hiyo 20 % ya wasukuma wote ni wale elites au unajumuisha na wale wafugaji wa malinyi mtu mmoja ana ng'ombe buku analala nyumba ya nyasi?
 
Source Nziku?who is Nziku?
Nlijua NBS...heb kua sereous.
Tangu 2012 hakuna sensa iliyofanyika kinachofanyika now ni estimates.
Nway nimeweza kupata doc ya NBS aliyo copy jamaa...ni doc ya 2017 while the total estimates ilikua 51,557,363. Means kanda ya ziwa ni 33.37%.
 
Wazo lake kura zihesabiwe kimkoa ili mtu asishinde au kushindwa kwa sababu ya jimbo moja tu. Pinga ukitoa vigezo kutukana hoja yake. Mtu anaweza kushinda mikoa yote lakini mkoa mmoja wenye kura nyingi ukamdondosha...
Asante kwa ufafanuzi mkuu. Barikiwa.
 
Yule sio mama ni Rais.

Mama kila mtu anaye kwao.

Mnaharibu sana nafasi ya Urais kwa kutumia jina ambalo si mahali pake.
 
Hivi hunjui ukizungumza kanda ya zowa wenye uchumi na influence sio wahaya wala wakurya ni wasukuma! Note that!
Mwanza inatawaliwq hao wakurya na watu wa mkoa wa Mara kwa ujumla.

Kina Gachuma, Ka Kairo na wengine kibao, hadi Wenje akapata Ubunge usukumani wakati ni mkurya tu.
 
Nakuacha kwasababu uelewa wako mdogo.
 
Wewe ndo umandate ya kuwaita kanda ya ziwa mafla
Mwanza inatawaliwq hao wakurya na watu wa mkoa wa Mara kwa ujumla.

Kina Gachuma, Ka Kairo na wengine kibao, hadi Wenje akapata Ubunge usukumani wakati ni mkurya tu.
Watu wa Mara wamewekeza mwanza sana ila usijidanganye hapa Gachuma kuwekeza mwanza eti wanaitawala! Fanya utafiti vizuri! Wakurya na Wajaruo ndo wamewekeza Lakini wazawa ndo wako kwa wingi!
 
Why Nziku? Who is Nziku? Umewahi andika research paper uka publish bila citation? Au umezoea kuplagiarize??

Ni vizuri tuheshimu taaluma za watu, estimations zinatumia growth rates ambazo zipo public so hata wewe unaweza predict population ya Tanzania 2050 kwa kutumia historical rates maybe base year ni 2015. Sasa unaposema estimations sio sahihi Una maana gani??

Kama haujui kwa Taarifa za NEC voter turnout ilikua ndogo zaidi Kanda ya ziwa na pia kura zilizoharibika nyingi zilitoka Kanda ya ziwa. So pattern ni nyingi zaidi Zinazo determine Kanda kuamua Rais apart from population kama nilivyotaja hapo juu.

Source: Ripoti ya uchaguzi mkuu NEC (2020)
 
Mkuu umesema pale juu mtu anayefikisha kura 50% percent ndio apewe uongozi, sasa out of 50% kama atapata kura zote za kanda ya Juu ambayo ndio hio 17% huoni hapo Kanda ya Juu ndio imeamua nani awe Rais?!... msinipopoe najifunza eti...
Kama out of 100%, mgombea mmoja akapata kura zote za kanda ya Ziwa, na mwingine akapata kura zote za kanda nyingine, mgombea wa kanda ya Ziwa atapata 17%, wa kanda zilizobakia atapata kura 83%. Huyo anayeungwa mkono na kanda zote, nje ya kanda ya Ziwa, atakuwa ameshinda, atakuwa amepata zaidi ya 50% ya kura zote bila ya kutegemea kura za Kanda ya Ziwa.
 
We naye hujamuelewa!! Yaani kwa US huwezi tangazwa Rais kama ukishinda say California, New York, na Florida itakuhitaji ushinde na majimbo mengine madogo. Ndio maana unaona Clinton alimzidi KURA trump ila zile Electoral votes ndio alizidiwa.

Hii inasaidia kuzuia tyranny of numbers kwamba kundi moja tu linahitaji kupiga kura kupata Rais.

Kenya pia wamezuia hili huwezi kuwa Rais mpaka upate kura kwenye Kaunti 25 ikimaanisha hata upate kura za Wakikuyu na waluhya ambazo ni almost 40% ya kura zote huwezi ukapewa ushindi mpaka uokoteze na kura za makabila mengine.
 
Duh, leo ninakushangaa kwelikweli mkuu Rebecca, kwa huu u-'Great Thinker' wako uliouweka hapa!

Kwani ni nani kakuambia kwamba watu wa sehemu moja ni lazima wote wawe na akili moja tu ya kumchagua mtu?

Haya unayoyaweka hapa ni mwendelezo uleule wa ujinga ulioanza kuota mizizi nchini mwetu, ujinga wa kubaguana kwa kikabila/kikanda. Nawe umejitumbukiza huko kuupalilia ujinga huo.
 
Ndugu Je Dar es Salaam inayochangia zaidi wao je ndio waamue kumpata Rais kwa kigezo chako hicho? Nafikiri unachofikiri sio uhalisia hata kidogo umefanya reseach gani inayoweza kutuhakikishia kanda unayoita ya Ziwa watakuwa na mtazamo mmoja kwenye uchaguzi? Naona hii ni shida zako za kikabila ndio kinachokusumbua. Kweli sasa ndio naona Nyerere alichokuwa ana kipigania kwa miaka yote ya utawala wake kwa kuukemea ukabila na ukanda, sasa tunaenda kuipasua TZ yetu vipande vipande kwani kanda nyingine mnazoziona zipo kimya sasa sinaweza kuja juu na kutoa kuali kama hizi na nchi ikasambaratika.
 
Tatizo rais ni anaetangazwa, sio anaepata kura nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…