Acha uongo kwamba Kanda ya ziwa mna zaidi ya 40% ya kura?? Hakunaga outright majority hiyo. Kingine Kanda ya ziwa haijawahi kupiga kura kama block mfano Kagera,Kigoma na Mara zilipigia upinzani miaka mingi na Geita, Mwanza, shinyanga zikapiga CCM at least kwa data za 2015. Sasa unapodai inaamua Rais nashindwa kuelewa ni mikoa ipi umejumlisha au ni mpaka Tabora na Kigoma?
View attachment 2256260
Source: Nziku (2020)
Hiyo ni population ya Raia wote Kanda ya ziwa out population ya watu karibu million 60!! Don't over estimate kura za Kanda ya ziwa ni kawaida tu unapo zicompare na nchi nzima.