Muanzisha uzi aje asome hapa afu akojoe akalaleKanda ya ziwa haiamui nani awe raisi, kwanza hakuna free and fair elections, anayeamua nani awe raisi ni aliyeshika dola.
Hata ssh alivyokuwa no.2 alisema hata mfanyeje, ccm ndio itashika dola so kibongobongo no one determines who's gonna win it, ni dola, ni mahakama, ni tume ya uchaguzi...hao watatu kwa ujumla wao ndio wanatuletea raisi. You only vote coz it's your constitutional right, not coz your vote counts.
Sabab ya ushamba wao hawawez kujua.I dont care unaniitaje, bado hujaniambia kwa nini wasukuma wanamtishia mama wakati wanajua kuna 'deep state'..?
Wewe usiyejua hata kichwa cha habari kinahusu nini, si upite kwani lazima kila thread uchangie na kuonyesha upumbavu wako??? bora ungekua hata mtu wa kuuliza..unaandika mashudu kwa kutoelewa kwako...embu chukua time, wacha watu wadiscuss , nenda thread nyingine, tuondolee shombo hapa! 😡 😡 😡 😡 😡Me na ww nani anaandika ujinga....unafungulia thread upuuzi wako
Wewe ni sawa na ngedereKakojoe ulale
Hawa ndio wale waliofukuzwa fb wakakimbilia Jf. Huku std 7 huwa tunawafukuza piaMe na ww nani anaandika ujinga....unafungulia thread upuuzi wako
Ukiachwa achika move on sio Unabaki kuandika patheticEti unanijua, kushinda ninavyojijua??? nani kaniacha...mtaje hapa kama una ubavu!!!!!?????!!!!
Ukiendelea soon ntakuabisha ndo utajua Mimi nakujua in-out na utashangaa take care hizo depression zitakuponza soonNimekuambia specific mtaje alieyeniacha, umeshindwa kumtaja, huna balls, funga bakuli lako....
Lakin umeachwa eb kubarAGAIN MTAJE ALIYENIACHA, HUNIJUI NA HUTONIJUA KAMWE...usitishe watu hapa!Mxiewwwwwwwwwwww
Ukiendelea soon ntakuabisha ndo utajua Mimi nakujua in-out na utashangaa take care hizo depression zitakuponza soon
Wanawake wajuaji much know mtaendelea kuachwa daily kwa Upumbavu kama huu badala ufanye Kaz kutwa umbea tuAGAIN MTAJE ALIYENIACHA, HUNIJUI NA HUTONIJUA KAMWE...usitishe watu hapa!Mxiewwwwwwwwwwww
Huyo Mwanamke Mwenzio nn au na wewe umeachwa na mme wako hapa unaona kaandika Mada gani ya maana dats shit.Kaacha/kaachwa inahusiana nini na hii mada?
Watu wengine mazwazwa sana nyie. Unamjua unapata faida gani? Ushamba mwingine mzigo kweli.
Tatizo hakufahamu na utakuta ni wale watu walikunywa maji ya kifuu cha nazi anamtafuta Rebecca. Rebecca ni issue nyingine mkuuNimekwambia nani kaniacha??? mbona unaogopa kumtaja?? siku nyingine tafuta mtu wa kumbully sio Rebecca..Mjinga wewe...