Uchaguzi ujao, Kanda ya Ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais

Hivi hujiulizi unakosea wap kila mtu anakutukia anakuacha badala uende MMU njaa hadi unawaza kura za wasukuma
Ignored kuanzia sasa kwa uhai thread hii, ningeweza kubishana na nyie wapuuzi all day long, ila naona uzuzu wenu umepitiliza kiwango!
 
kanda ya ziwa sasa tumeamka, mpende msi pende sisi ndiyo tunao amua mustakabali wa hiki ki nchi kinachoitwa Tz, tumenyanyaswa kwa miaka mingi kwa visingizio mbali mbali, enough is enough...……...
 
Lini mshawahi kudetermine nani awe Rais akawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ignored kuanzia sasa kwa uhai thread hii, ningeweza kubishana na nyie wapuuzi all day long, ila naona uzuzu wenu umepitiliza kiwango!
Tafuta kazi za kufanya uache kuteseka ...wewe maisha yamekupiga kila kona ..kaanga hata miogo..nadhani umenikumbuka
 
Sio tu ushamba , ali pia na ubinafsi, hawa jamaa inaonekana kuna mengi walipewa favour na kuna uwezekano kulikuwa na mikakati ya kutawala milele , kanda ya ziwa kwa sasa inaweweseka sana na uwepo wa mama
Inaweza kuwa pi mada zinazohusu kanda ya ziwa si za watu wa huko ila za kundi maalum lenye mlengo maalum hasa kutengeza chuki dhidi ya watu wa huko na watanzania wengine na leo waweza kuwa kanda ya ziwa kwa kuwa raisi aliyetoka alikuwa wa huko ipo siku itakuwa upande wa kanda nyingine tahamaki nchi nzima tumegawanyika na hapo ndipo utakuwa mwisho wa taifa letu tujifunze kwa Ethiopia
 
Sitaki kuamini kama kweli 33% ya pato letu lote linatoka kanda hiyo!!
 
Rais ni Samia sasa hao watatuamuliaje?
 
Tafuta kazi za kufanya uache kuteseka ...wewe maisha yamekupiga kila kona ..kaanga hata miogo..nadhani umenikumbuka
Mkuu, kama wewe ni Me hem achana na malumbano ya ajabu. Its not fair ku attack personalities coz sisi kama tungetaka kumfahamu huyu bidada tungeenda chemba kuongea nae.
 
Nimeipenda hii, ni kweli inaweza kutugawanya,lakini hii nchi ina watu sio makini wengi, narejea point ya Mkuu Ncha Kali Rais anasema siwaletei maendeleo hamkunichagua, sasa huyo si alikuwa anatu divide, matokeo yake kaacha watu wako bitter wanaongea vibaya kuhusu yeye (Mwendazake), and as a reaction na wasukuma hawakubali mtu wao kusemwa vibaya....
 
Thanks mkuu kwa kuniweka kwenye mstari, nawa ignore kuanzia sasa...
Mstari ushauseti tangu ulipoanza kwa kusema “hello great thinkers” ni kwamba ulialika wenye akili timamu tu, hivyo jikite hapo jiepushe na hizo kenge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…