Weka data hapa zinazosapoti unachosema.Exactly yule Mama pamoja na kutumia sympathy ya uindi na uafrica Ila watu bado wanataka Trump aingie pale kwa mara nyingine
Maisha ya wananchi wa usa yalikuwa mabaya sana kipindi cha Trump kiongozi.
Ukubali ukatae hakuna mtu mwenye akili timamu akamchagua Trump. Ni vile kwenye siasa huwezi kupata mtu sahihi. Ila akili ya trump hapna aisee bora huyo mumama japo naye anamapungufu yake
Hakika kabisa wewe ndo wa kuhurumia. Inasikitisha mtu kushinda mtandaoni lakini hana taarifa. Kwa hiyo wewe huwa unapata wapi data zako? Nenda leta hapa comparative data za inflation wakati wa Trump Vs Biden-Harris. Kazi kwa watu wa rangi ziliongezeka kwa blacks na hispanics. US ikaanza kutotegemea nishati kutoka nje, hqkuna vita mpya iliyoanzishwa na wanajeshi wa US wakaondolewa maeneo mengi.Kwa kawaida sijibu upuuzi kama huu wako lakini nakuomba kama utakuwa na muda ufuatilie yanayojiri kwenye Convention mjini Chicago.
Hilo la kwanza, la pili subiri yatakayofuata siku kampeni rasmi inazinduliwa baada ya Kamala kuteuliwa rasmi siku ya Ijumaa.
Kwa muda mfupi nimefuatilia machapisho yako ya karibuni humu ndani na ghafla nimejikuta nakuhurumia na nakusikitikia sana tu!
Naihurumia nchi yangu Tanzania na nafadhaika na kuumia kweli moyoni kwamba watu kama ninyi mmetamalaki ndani ya taifa letu!
Katika miaka mia mbili ajira mpya 51,000,000 zilianzishwa nchini Marekani na kati ya hizo 50,000,000 zilianzishwa na Democrats...nakutakia siku njema.
Dakika hii Oprah Winfrey anaongea, ngoja nimsikilze! Americans are not going back, In 75 days Trump, the enigma, will disappear!
Na sasa... Wakati Iran wako katika majaribio ya kumuua Trump.... Ndoalimuua Soleiman yule, alijitoa mkataba wa Nuclear wa Iran nk... Iran inamchukia Trump kufa. Inawataka wadhaifu kama Obama, Biden na sasa huyo Kamara.
Mkuu, I hope unafuatilia kinachoendelea kwenye kampeini na jinsi honey moon kwa Harris inavoishaKwa kawaida sijibu upuuzi kama huu wako lakini nakuomba kama utakuwa na muda ufuatilie yanayojiri kwenye Convention mjini Chicago.
Hilo la kwanza, la pili subiri yatakayofuata siku kampeni rasmi inazinduliwa baada ya Kamala kuteuliwa rasmi siku ya Ijumaa.
Kwa muda mfupi nimefuatilia machapisho yako ya karibuni humu ndani na ghafla nimejikuta nakuhurumia na nakusikitikia sana tu!
Naihurumia nchi yangu Tanzania na nafadhaika na kuumia kweli moyoni kwamba watu kama ninyi mmetamalaki ndani ya taifa letu!
Katika miaka mia mbili ajira mpya 51,000,000 zilianzishwa nchini Marekani na kati ya hizo 50,000,000 zilianzishwa na Democrats...nakutakia siku njema.
Dakika hii Oprah Winfrey anaongea, ngoja nimsikilze! Americans are not going back, In 75 days Trump, the enigma, will disappear!
Nimekaa paleeee, kamala hatoboi. Trump anashinda.Kwa ninayolijua taifa kubwa USA, lilikuwa ni kosa kubwa kumpa uongozi felon na ex-convict kama Trump mwaka 2016. Pia kwa ninavyoifahamu Marekani hilo kosa haliwezi kurudiwa.
Trump wannabe dictator ambaye ndoto yake ni kuitawala USA kwa mkono wa chuma kama Putin nchini Urusi, Kamala Harris ataizima hiyo ndoto ya Trumo mapema asubuhi mwezi November!
Kuna watu wana wasiwasi kwa vipi mwanamke anaweza kuwa Rasi wa wa Marekani. Naomba niwaondoe wasi wasi, kwa taifa la kidemokrasia kama USA hilo lawezekana sana tu.
Natazama convention ya DEMOCRATS ikiendelea mjini Chicago na nawaambia ile ya Trump wa REPUBLICANS ilikuwa cha mtoto! Kamala Harris hana mpinzani, anashinda mapema asubuhi.
Unafikiri mafuriko ya lowasa ndio yanaamua urais wa America!!?Kwa ninayolijua taifa kubwa USA, lilikuwa ni kosa kubwa kumpa uongozi felon na ex-convict kama Trump mwaka 2016. Pia kwa ninavyoifahamu Marekani hilo kosa haliwezi kurudiwa.
Trump wannabe dictator ambaye ndoto yake ni kuitawala USA kwa mkono wa chuma kama Putin nchini Urusi, Kamala Harris ataizima hiyo ndoto ya Trumo mapema asubuhi mwezi November!
Kuna watu wana wasiwasi kwa vipi mwanamke anaweza kuwa Rasi wa wa Marekani. Naomba niwaondoe wasi wasi, kwa taifa la kidemokrasia kama USA hilo lawezekana sana tu.
Natazama convention ya DEMOCRATS ikiendelea mjini Chicago na nawaambia ile ya Trump wa REPUBLICANS ilikuwa cha mtoto! Kamala Harris hana mpinzani, anashinda mapema asubuhi.
Kama hawana Tume ya Uchaguzi, ni chombo gani sasa kinaratibu na kusimamia zoezi zima la uchaguzi? Au mfumo wao wa uchaguzi uko vipi?Shabiki kwa nani? Kwa taarifa mimi si Mmarekani
Taarifa ya uchambuzi...Kwa taarifa huko Marekani hakuna tume ya taifa ya uchaguzi!
Hatuna haja kubishana, siku 4 zijazo zitaongea..Trumph hana mpinzaniWeka data hapa zinazosapoti unachosema.
Eti “Watu wanataka Trump aingie pale”
We ndo umesema na unapigiwa makofi kabisa!🤦🏾♂️
Tatizo la Hawa wahamiaji haramu wamejawa na hofu, wanajua mabadiliko ya immigration policies yatakayofanywa na serikali ya Trump yatawarudisha huku mavumbini...Mkuu, I hope unafuatilia kinachoendelea kwenye kampeini na jinsi honey moon kwa Harris inavoisha
It's three days away before Tuesday, November 5th...While I am for her winning it is not as easy as you think. Trump still has a chance to 270 votes comes November. She need to lock in Pennsylvania, Wisconsin, Michigan while holding her ground in traditional Democrats states. She still need to campaign hard.
In 2016 Clinton thought she had the presidency only losing it at the last day!
It's challenging to predict an election outcome with certainty, especially with so many factors at play: voter turnout, economic conditions, key debates, and campaign strategies all have a strong impact. Polling data and historical trends provide some insight, but elections are dynamic and sometimes unpredictable.Kwa ninayolijua taifa kubwa USA, lilikuwa ni kosa kubwa kumpa uongozi felon na ex-convict kama Trump mwaka 2016. Pia kwa ninavyoifahamu Marekani hilo kosa haliwezi kurudiwa.
Trump wannabe dictator ambaye ndoto yake ni kuitawala USA kwa mkono wa chuma kama Putin nchini Urusi, Kamala Harris ataizima hiyo ndoto ya Trumo mapema asubuhi mwezi November!
Kuna watu wana wasiwasi kwa vipi mwanamke anaweza kuwa Rasi wa wa Marekani. Naomba niwaondoe wasi wasi, kwa taifa la kidemokrasia kama USA hilo lawezekana sana tu.
Natazama convention ya DEMOCRATS ikiendelea mjini Chicago na nawaambia ile ya Trump wa REPUBLICANS ilikuwa cha mtoto! Kamala Harris hana mpinzani, anashinda mapema asubuhi.
Kwa ninayolijua taifa kubwa USA, lilikuwa ni kosa kubwa kumpa uongozi felon na ex-convict kama Trump mwaka 2016. Pia kwa ninavyoifahamu Marekani hilo kosa haliwezi kurudiwa.
Trump wannabe dictator ambaye ndoto yake ni kuitawala USA kwa mkono wa chuma kama Putin nchini Urusi, Kamala Harris ataizima hiyo ndoto ya Trumo mapema asubuhi mwezi November!
Kuna watu wana wasiwasi kwa vipi mwanamke anaweza kuwa Rasi wa wa Marekani. Naomba niwaondoe wasi wasi, kwa taifa la kidemokrasia kama USA hilo lawezekana sana tu.
Natazama convention ya DEMOCRATS ikiendelea mjini Chicago na nawaambia ile ya Trump wa REPUBLICANS ilikuwa cha mtoto! Kamala Harris hana mpinzani, anashinda mapema asubuhi.
Tuvute na sigara pia kuisindikizia subraTuvute subra