Kenya 2022 Uchaguzi wa Kenya ulianza vizuri ni nini kimeusibu?

Kenya 2022 General Election
Kenya wamejitahid sana mapungufu lazima yawepo Ila huwez fananisha integrity ya unchaguz wa Kenya na Tanzania ni mbingu na ardhi wako mbali san
Hayo tuyazungumze baada ya kutangazwa matokeo na kufanikiwa kumaintain status quo. Ni mazuri yamefanyika lakini tutunze beat
 
Sasa kulikuwa na haja gani ya uchaguzi? Na hizo sifa mlizotoa kuwa wana demokrasia sijui ,ilikuwa za nn ikiwa haya mnayajua?
 
Kenya wamejitahid sana mapungufu lazima yawepo Ila huwez fananisha integrity ya unchaguz wa Kenya na Tanzania ni mbingu na ardhi wako mbali san
Mapungufu ambayo yanapanga mshindi awe nani? Alafu unasema ni yaa kawaida.

Uchaguzi mzuri ni kuacha aliyeshinda ashinde. Hizi zingine ni ngonjera za kutaka kuhalalisha nia ovu
 
Kuna vitu vya Kisheria kama huelewi utakuwa unaongea tu kama kasuku.
Inawezekana ni kweli hata IEBC inamjua mshindi ni nani na hata wagombea wanajua kura zao zote, lakini bila zile fomu husika kuwa uploaded kwenye mfumo wa tume, huwezi kutangaza eti kisa wakala au msimazi amekuambia kwa simu, utapingwa Kisheria mahakamani na utakuwa umeharibu uchaguzi kipumbavu. Hayo mambo yanawezekana tu TZ ref Jecha wa ZNZ.
Tuwaache wakenya wamalize kwa Amani na kidemokrasia kama walivyoanza.
TZ haina cha kuifunza Kenya juu ya uchaguzi, sisi bado tuko enzi za ujima
 
Naona UMEFIRWA mpaka unavunja damu zinatokea mdomoni.
Hadi hapo nimeshakupiga na kitu kizito kichwani[emoji1787], ulitaka kuleta upumbavu wako wa kuzuia unayempenda wewe asisemwe alafu unayemchukia ndio asemwe. NEVER hii ndio JF, pole sana
 
Tume inadai inaendelea kujumlisha kura za Urais, hivyo bado wanazo siku kadhaa kutangaza mshindi wa kiti cha Rais.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…