Kwa maono hayo Iko siku utaota mbawa. Mpe hongera!
Kuna ujanja wa aina fulani. Wanajua hawawezi kupata urais hivyo anasukumiwa mtu ambaye hawezi rudi Bungeni. Wale wenye uwezekano wa kurudi Bungeni, wanajaribu kuomba tena Ubunge. Lissu hapati kitu jimboni sasa naona anasukumiwa urais. Sawa lakini tunataka azungumzie matatizo ya nchi: elimu, uchumi, sayansi, afya, miundombinu, nk. siyo mambo ya risasi zake 30s.
Ni rai kwamba vyombo vyote vya dola mwaka huu vijiandae kufanya kazi na yeyote. Kuside na aliyeshindwa mwaka huu kutawapa doa kubwa sana.
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23]Jiue tu utapunguza matumizi mabaya ya oxygen hapa duniani.
Wasalaam, Makamanda,
Kwa Jinsi ninavyoona Tundu Lissu atashinda Uchaguzi Mkuu 2020.
Hotuba ya lisu tayari imeshawachanganya CCM.
Sijamsikia leo akiongelea jambo la ushoga. Labda useme ni wakati gani kwenye hotuba ya leo aliongelea ushoga?Vp na hoja ya Ushoga nayo ni Mule mule???
Endapo nidhamu ya Fifa ikitumika "Fair play" inawezekana, wananchi wengi wapo taabani.Waweza ainisha kwa makundi ya jamii.Hata ndani ya ccm wengi wamechoka except wanufaika wachache.
Magufuli atashinda kwa kishindo just watch and learn
Lisu hawezi kuwa rais..
Na yeye analijua hilo ameamua kupoteza muda tu
Badilika sasa maana bado hujachelewaNilishaapa sitakuja kuipigia Kura CCM.....Jamaa wanatuchezea Akili kana kwamba sisi ni mazuzu!
Ujinga wetu ndio silaha Yao muhimu ya ushindi
Nasikitika kwa kuwa pamoja na ukweli wote kwenye hotuba ya Lisu, na pamoja na ukweli kuwa atapigiwa kura na wananchi wengi wahanga wa mambo aliyoyataja, bado hatatangazwa mshindi. Mshindi keshapangwa na ni Magufuli.Uchaguzi ungekuwa wa HURU na HAKI mchuano ungekuwa mkali.
Tume ya uchaguzi - sisiemu
Mahakama - sisiemu
Vyombo vya dola - (wakuu wa mikoa/wilaya)makada wa sisiemu
Kaka jibu hoja za Lissu!! Madesa ni madesa tu!! Uchumi wa nchi unajengwa kwa sera thabiti na si matamko ya kukomoa watu hasa wakosoaji wako!! Kushikilia Bunge na Mahakama kama nyumba ndogo zako huo ni udhaifu mkubwa!!Ndio mnavyodanganywa na huyo tundu, watu wengi hawafaulu o level sababu nyingi ikiwemo mazingira magumu, kukosa ada kwa wakati, shule kukosa walimu n.k hivyo huo upumbavu wako usiulete hapa.
Nipo home boy usisahau mwaka wa uchaguzi huu tumuunge mkono Mh Magufuli hao wengine ni vibaraka wa Mabeberu tu.Mkuu upo? Kitambo hujaonekana jamvini
Lisu akishinda uchaguzi mkuu na kuwa rais mwaka huu. Nahamia Marekani siku hiyo hiyoWasalaam, Makamanda,
Kwa Jinsi ninavyoona Tundu Lissu atashinda Uchaguzi Mkuu 2020.
Unasikitisha sana, hivi ninyi ndio mnaaminiwa kusambaza propaganda mfu kwa akili za namna hiyo.
Hivi unawezaje kuanza kujadili picha na jina la mtu usiyemjua?
Pumba kabisa wewe pamoja na hilo tundu tuliloliziba