mitindo huru
JF-Expert Member
- Apr 26, 2016
- 1,610
- 1,601
Usimlinginishe ndugu Diamond na tundu.Labda ashinde urais wa WCB
Maajabu yatakuwa ni kwa watu kama akina Kinana, Makamba,Jr. na Sr., akina Nape, na hata akina Kikwete na wazee kama Warioba, Butiku na Wenzao wakiendelea kukumbatia kiongozi huyu aliyevuruga nchi kwa kiasi ambacho hakikitegemewa kabisa.Hata Jammeh Gambia alikuwa na wafuasi. Nakuhakikishia maajabu yanaenda kutokea October.
Hofu walikuwa nayo wazee wa CCM ila Lissu amehakikishia kuwa hatolipa kisasi. Ni bora wamkubalie Lissu wana uhakika na usalama wao na mali zao na za watoto wao kuliko kumkubalia mtu anayetishia usalama na maisha ya mali zao na familia zao anayepanga utukufu binafsi ili badae abadili katiba na kujiongezea muda. Usifikiri wazee hawajayaona hayo
Chadema mna mbwembwe. Ila siku ya kupiga kura sijui huwa mnapotelea wapi.Amani iwe nanyi Wadau.
kama wote mnavyojua leo ndo siku ile ambayo watanzania kwa pamoja wameweza kushuhudia hotuba ya kwanza kutoka kwa gwiji la upinzani, ndugu Tundu Antipas Lissu. Hotuba iliyokuwa imejaa utulivu, akili, busara na hekima iliyotukuka.
Kama kawaida CCM walipanga yao, kwanza walipanga vijana wao kushambulia kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo facebook na Youtube ili tu kujaribu kuonesha umma na dunia kuwa Lissu hakubaliki ila kiukweli Lissu kwa hotuba ya leo ameonesha kuwa amejiandaa vizuri na amejipanga vizuri kuwa Raisi wa Tanzania mwaka 2020...
Kila akiongea hakuna la maana ni kuzungumzia risasi 16, Azory Gwanda Ben Saanane mawazo na wengine watatu hivi. Anamalizia na kudai kuna watu walitupwa baharini kwa viroba. Hao hatambui hata mmoja.Amani iwe nanyi Wadau.
kama wote mnavyojua leo ndo siku ile ambayo watanzania kwa pamoja wameweza kushuhudia hotuba ya kwanza kutoka kwa gwiji la upinzani, ndugu Tundu Antipas Lissu. Hotuba iliyokuwa imejaa utulivu, akili, busara na hekima iliyotukuka.
Kama kawaida CCM walipanga yao, kwanza walipanga vijana wao kushambulia kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo facebook na Youtube ili tu kujaribu kuonesha umma na dunia kuwa Lissu hakubaliki ila kiukweli Lissu kwa hotuba ya leo ameonesha kuwa amejiandaa vizuri na amejipanga vizuri kuwa Raisi wa Tanzania mwaka 2020...
Huo upuuzi wa kutetea wahujumu uchumi? Yaani serikali inapambana na wahujumu uchumi. Yeye anadai wanaonewa. Huyo hafai hata kutangaza nia. Chadema imekwisha.
Kila akiongoe hakuna la maana ni kuzungumzia risasi 16, Azory Gwanda, Ben Saanane mawazo na wengine watatu hivi. Anamalizia na kudai kuna watu walitupwa baharini kwa viroba. Hao hatambui hata mmoja.
Namhurumia Sana Tundu Lissu anapelekeshwa na Mbowe kuuchukua mzigo asioweza kubeba,,,Ni hivi hawezi kuwa Rais wa Nchi hii ninayojivunia labda wa VICOBA.
Ulichokiandika umekielewa laknKatumwa na mabeberu 😇😀😀
Wahujumu uchumi ndio wamepeleka mswada wa kurekebisha sheria ili wasishitakiwe hata wakiporaWahujumu uchumi ambao hawahukumiwi! Hivi bado mnadhani tunaishi kwenye dunia ya kuamini afanyacho rais bila kupima uhalisia? Tunajua watu waliokamatwa na kuporwa fedha zao bila kupatikana na hatia, na wakalazimishwa, kutoa pesa ili waachiwe. Hata akina Ruge na Seth kama sio msimamo, wangelipa hela ili waachiwe. Lisu kaongea mengi yenye ukweli wa wazi.
Hakuna anaeharibu hotuba ya huyo tundu ila wanawaelezea wananchi watanzania waelewe zaidi upumbavu wa huyo tundu aliyechanganyikiwa.
Hii nchi sio kichaka cha mashoga na mabeberu
Unamkufulu Mungu. Naomba tu uombe msamaha kwa haya manenoThubutuuu. Lisu anaisaidia tu CCM KUWA USHINDI wake ulikuwa na upinzani mkali. Na hivyo kuonekana kuwa uchaguzi ulikuwa wa haki na kikatiba.
Kama atakuwa Rais wa JMT Mimi nitajiua kwa kula sumu siyo kwa jiwe ninalolijua Mimi.
Mkuu hawa watu huwa wanapenda kujifarijiThreat! How?
Jamii forum ni sehem ya ku relax mkuu baada ya kuchapa kazi siku nzimaKama wewe unavyo poteza muda wako hapa jf
Kodi si kula ugali mkuu hivi angalia hata mwenyewe mkuu unavyomuona Lisu can he be a president ha ha ha ha ha ha atakua kutwa kwenye speech zake ana quote vifungu vya katiba tuMdomo ni mali yako na sidhani kama umesha qualify kuanza kuulipia kodi
Mkuu kuwa serious kusema ukweli lisu unamuona ana noga kweli kuwa rais yeye level zake ni rais wa wanasheria huku kwingine hakuitaji kichwa cha moto kama LisuLissu atashinda ndani ya nusu saa, tunachoomba ni Polisi wasihusike kuiba kura!
Mkuu CCM utamaduni wetu ukija uchaguzi wote letu linakua moja baada ya uchaguzi tunaendelea kutifufuana kama kawaidaKwa ushawishi wa Makundi yepi Hali ameyaumiza yote
Kodi si kula ugali mkuu hivi angalia hata mwenyewe mkuu unavyomuona Lisu can he be a president ha ha ha ha ha ha atakua kutwa kwenye speech zake ana quote vifungu vya katiba tu
Kafie Mali hu na maanThubutuuu. Lisu anaisaidia tu CCM KUWA USHINDI wake ulikuwa na upinzani mkali. Na hivyo kuonekana kuwa uchaguzi ulikuwa wa haki na kikatiba.
Kama atakuwa Rais wa JMT Mimi nitajiua kwa kula sumu siyo kwa jiwe ninalolijua Mimi.
Nakuombea upate sumu ambayo haija expireThubutuuu. Lisu anaisaidia tu CCM KUWA USHINDI wake ulikuwa na upinzani mkali. Na hivyo kuonekana kuwa uchaguzi ulikuwa wa haki na kikatiba.
Kama atakuwa Rais wa JMT Mimi nitajiua kwa kula sumu siyo kwa jiwe ninalolijua Mimi.