Uchaguzi 2020 Uchambuzi: Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya Kugombea Urais - Juni 8, 2020

Uchaguzi 2020 Uchambuzi: Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya Kugombea Urais - Juni 8, 2020

Labda ashinde urais wa WCB
Usimlinginishe ndugu Diamond na tundu.
WCB ni vijana wanaofanya kazi kubwa kutangaza nchi vizuri kwa upande wao wa Music.
Hivyo huyo tundu labda akashinde uraisi wa mashoga
 
Hata Jammeh Gambia alikuwa na wafuasi. Nakuhakikishia maajabu yanaenda kutokea October.

Hofu walikuwa nayo wazee wa CCM ila Lissu amehakikishia kuwa hatolipa kisasi. Ni bora wamkubalie Lissu wana uhakika na usalama wao na mali zao na za watoto wao kuliko kumkubalia mtu anayetishia usalama na maisha ya mali zao na familia zao anayepanga utukufu binafsi ili badae abadili katiba na kujiongezea muda. Usifikiri wazee hawajayaona hayo
Maajabu yatakuwa ni kwa watu kama akina Kinana, Makamba,Jr. na Sr., akina Nape, na hata akina Kikwete na wazee kama Warioba, Butiku na Wenzao wakiendelea kukumbatia kiongozi huyu aliyevuruga nchi kwa kiasi ambacho hakikitegemewa kabisa.

Miaka mitano mingine ya Magufuli, atakuwa na ujasiri zaidi na hata akiamua mwenyewe kuondoka baada ya hapo, nchi hii itakuwa imepata dhoruba kubwa itakayoigharimu sana kuirekebisaha tena.
 
Amani iwe nanyi Wadau.

kama wote mnavyojua leo ndo siku ile ambayo watanzania kwa pamoja wameweza kushuhudia hotuba ya kwanza kutoka kwa gwiji la upinzani, ndugu Tundu Antipas Lissu. Hotuba iliyokuwa imejaa utulivu, akili, busara na hekima iliyotukuka.

Kama kawaida CCM walipanga yao, kwanza walipanga vijana wao kushambulia kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo facebook na Youtube ili tu kujaribu kuonesha umma na dunia kuwa Lissu hakubaliki ila kiukweli Lissu kwa hotuba ya leo ameonesha kuwa amejiandaa vizuri na amejipanga vizuri kuwa Raisi wa Tanzania mwaka 2020...
Chadema mna mbwembwe. Ila siku ya kupiga kura sijui huwa mnapotelea wapi.
 
Amani iwe nanyi Wadau.

kama wote mnavyojua leo ndo siku ile ambayo watanzania kwa pamoja wameweza kushuhudia hotuba ya kwanza kutoka kwa gwiji la upinzani, ndugu Tundu Antipas Lissu. Hotuba iliyokuwa imejaa utulivu, akili, busara na hekima iliyotukuka.

Kama kawaida CCM walipanga yao, kwanza walipanga vijana wao kushambulia kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo facebook na Youtube ili tu kujaribu kuonesha umma na dunia kuwa Lissu hakubaliki ila kiukweli Lissu kwa hotuba ya leo ameonesha kuwa amejiandaa vizuri na amejipanga vizuri kuwa Raisi wa Tanzania mwaka 2020...
Kila akiongea hakuna la maana ni kuzungumzia risasi 16, Azory Gwanda Ben Saanane mawazo na wengine watatu hivi. Anamalizia na kudai kuna watu walitupwa baharini kwa viroba. Hao hatambui hata mmoja.
 
Namhurumia Sana Tundu Lissu anapelekeshwa na Mbowe kuuchukua mzigo asioweza kubeba,,,Ni hivi hawezi kuwa Rais wa Nchi hii ninayojivunia labda wa VICOBA.
 
Huo upuuzi wa kutetea wahujumu uchumi? Yaani serikali inapambana na wahujumu uchumi. Yeye anadai wanaonewa. Huyo hafai hata kutangaza nia. Chadema imekwisha.

Wahujumu uchumi ambao hawahukumiwi! Hivi bado mnadhani tunaishi kwenye dunia ya kuamini afanyacho rais bila kupima uhalisia? Tunajua watu waliokamatwa na kuporwa fedha zao bila kupatikana na hatia, na wakalazimishwa, kutoa pesa ili waachiwe. Hata akina Ruge na Seth kama sio msimamo, wangelipa hela ili waachiwe. Lisu kaongea mengi yenye ukweli wa wazi.
 
Kila akiongoe hakuna la maana ni kuzungumzia risasi 16, Azory Gwanda, Ben Saanane mawazo na wengine watatu hivi. Anamalizia na kudai kuna watu walitupwa baharini kwa viroba. Hao hatambui hata mmoja.

Kaongea mengi, ila hayo ndio yanayokuumiza sana.
 
Namhurumia Sana Tundu Lissu anapelekeshwa na Mbowe kuuchukua mzigo asioweza kubeba,,,Ni hivi hawezi kuwa Rais wa Nchi hii ninayojivunia labda wa VICOBA.

Hii ni sawa na kusema mtibwa sugar isishiriki ligi, kisa Simba au Yanga ndio wanaweza kubeba kombe!
 
Wahujumu uchumi ambao hawahukumiwi! Hivi bado mnadhani tunaishi kwenye dunia ya kuamini afanyacho rais bila kupima uhalisia? Tunajua watu waliokamatwa na kuporwa fedha zao bila kupatikana na hatia, na wakalazimishwa, kutoa pesa ili waachiwe. Hata akina Ruge na Seth kama sio msimamo, wangelipa hela ili waachiwe. Lisu kaongea mengi yenye ukweli wa wazi.
Wahujumu uchumi ndio wamepeleka mswada wa kurekebisha sheria ili wasishitakiwe hata wakipora
 
Hakuna anaeharibu hotuba ya huyo tundu ila wanawaelezea wananchi watanzania waelewe zaidi upumbavu wa huyo tundu aliyechanganyikiwa.
Hii nchi sio kichaka cha mashoga na mabeberu

Duuu leo kazi kweli kweli, hii ndio id iliyokuwa likizo, leo imetokea kusema ukweli. Lakini ukweli wenyewe ni propaganda mfu ya ushoga na lugha ya karne iliyopita ya ubeberu.

Lisu kaongea mengi yenye ukweli wa wazi, nilitarajia kusikia kwamba hili ni uongo na ukweli ni huu. Lakini msemakweli ambaye haonyeshi ukweli, ila anakuja na propaganda mfu ya ushoga ni kichekesho cha mwaka. Sishangai hiyo ni tabia ya kawaida kabisa ya mtu aliyepanic.
 
Thubutuuu. Lisu anaisaidia tu CCM KUWA USHINDI wake ulikuwa na upinzani mkali. Na hivyo kuonekana kuwa uchaguzi ulikuwa wa haki na kikatiba.

Kama atakuwa Rais wa JMT Mimi nitajiua kwa kula sumu siyo kwa jiwe ninalolijua Mimi.
Unamkufulu Mungu. Naomba tu uombe msamaha kwa haya maneno
 
Mdomo ni mali yako na sidhani kama umesha qualify kuanza kuulipia kodi
Kodi si kula ugali mkuu hivi angalia hata mwenyewe mkuu unavyomuona Lisu can he be a president ha ha ha ha ha ha atakua kutwa kwenye speech zake ana quote vifungu vya katiba tu
 
Lissu atashinda ndani ya nusu saa, tunachoomba ni Polisi wasihusike kuiba kura!
Mkuu kuwa serious kusema ukweli lisu unamuona ana noga kweli kuwa rais yeye level zake ni rais wa wanasheria huku kwingine hakuitaji kichwa cha moto kama Lisu
 
Amakweli kuna watu mnaweza mambo fulani
Kodi si kula ugali mkuu hivi angalia hata mwenyewe mkuu unavyomuona Lisu can he be a president ha ha ha ha ha ha atakua kutwa kwenye speech zake ana quote vifungu vya katiba tu
 
Thubutuuu. Lisu anaisaidia tu CCM KUWA USHINDI wake ulikuwa na upinzani mkali. Na hivyo kuonekana kuwa uchaguzi ulikuwa wa haki na kikatiba.

Kama atakuwa Rais wa JMT Mimi nitajiua kwa kula sumu siyo kwa jiwe ninalolijua Mimi.
Kafie Mali hu na maan
 
Nakuombea upate sumu ambayo haija expire
 
Back
Top Bottom