Uchambuzi na upelelezi wa tukio la kifo cha padri Francis uanzie hapa

Kuna baadhi ya mambo hayawezi kuthibitika kwa macho hadi yajidhihilishe yenyewe!
Kuna wakati tetesi huja na ukweli mwingine kuliko uongo!
Kumbuka kila mwanzo wa jambo huwa ni fikra juu ya jambo hilo!
Kwa hiyo, kwako wewe speculation ndiyo unaona ndiyo njia sahihi ya kupata ukweli, eti? Mimi siwezi kuanza kumhisi vibaya mtu just for the sake la kutafuata ukweli. Kama ukweli utapatikana ni vizuri zaidi, kuliko kuanza kupika hadithi hii na ile na ile tena na ingine na ingine tena.
 
Reactions: Cyb
Hapa ndipo kanisa linapopataka wakati mgumu,lipotezee habari ipite,au lifuatilie ukweli ujulikane lipate aibu?kwa nini hawa jamaa wasiluhusiwe tu kuoa?
Hata wachungaji waliooa wanatafuna wake za watu. rejea kesi za 2018 KKKT Iringa makamu wa askofu na mchungaji aliyerekodiwa ndani ya gari akinyanduana na mwanafunzi wa sekondari. Hata tuliopo kwenye ndoa bado tunamichepuko pembeni
 
Ni chanzo cha uchunguzi
Speculations haziwezi kuwa chanzo cha uchunguzi. Chanzo huwa ni inquiry - kuuliza kilichotokea na jinsi kilivyoanza na hapo ndipo vyanzo vinaweza kusema 'tuliona hivi au vile au tulisikia hivi au vile'. Speculations zinaonyesha tu mambo yale ambayo mara nyingi tunayawaza kichwani mwetu - ya kichawi kichawi na kupiga ramli - huyu kaanguka na ungo, huyu kafanya hivi na mwisho wa siku hakuna kinachotusaidia.
 
Reactions: Cyb
Sasa ushawahi kuona wapi tetesi zinaanza pasipo kuona? Kinachotakiwa ni kuchunguzwa kilichoona na kusemwa kama tetesi
 
Hata wachungaji waliooa wanatafuna wake za watu. rejea kesi za 2018 KKKT Iringa makamu wa askofu na mchungaji aliyerekodiwa ndani ya gari akinyanduana na mwanafunzi wa sekondari. Hata tuliopo kwenye ndoa bado tunamichepuko pembeni
Kwa hiyo heri wasioe?
 
Hayo ni mambo ya mtu binafsi Padre ni binadamu kama binadamu wengine so akijisikia anambato tu swala ni heshima na busara Roman katoliki hutumia kuhandle mambo yake huwezi kulinganisha na mambo ya Konde huko
Askofu Koda alifukuzwa kwa kuwa eti alikuwa member wa secret society.
 
Yesu hakuanzisha kanisa. Makanisa yapo mengi. Nawaonea huruma sana mnapotumia nguvu kujiaminisha visivyoaminika
 
kwahiyo huyo padri alitomba mke wa mtu halafu akajitupa kwenye tank la maji
 
Yesu hakuanzisha kanisa. Makanisa yapo mengi. Nawaonea huruma sana mnapotumia nguvu kujiaminisha visivyoaminika
Yesu hakuanzisha makanisa! Yesu alianzisha Kanisa na alimwambia Petro na juu ya mwamba huu nitajenga KANISA langu! Sasa kajifunze maana ya Kanisa maana wengi mnafikiri kumuamini Kristo tu ndio Kanisa.
 
Kumekuwepo na maneno ya chinichini kwamba anatembea na wanawake.

Hapa ndio pakuanzia
 
Umejishushua hapo hapo Yeye alitoa maagizo Petro akayafanyia kazi,acheni kujimilikisha ukristo huo ni udikteta. Kumuamini Mwenyezi Mungu ndio mpango mzima.
Yesu hakuanzisha makanisa! Yesu alianzisha Kanisa na alimwambia Petro na juu ya mwamba huu nitajenga KANISA langu! Sasa kajifunze maana ya Kanisa maana wengi mnafikiri kumuamini Kristo tu ndio Kanisa.
 
You have spoken the truth. Nimekuwa na Missionaries of Africa kwa miaka 4 now. Shirika lina wapatia allowance, transport, food and medications.
 
Huenda kaamua kujiua, kaingia mwenyewe ndani ya tanki...hilo lawezekana pia
 
Vipi kama viongozi wake wameamua kumzima baada ya kuona anaichafua parokia na kanisa kwa ujumla!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…