Uchambuzi: Uyahudi alizaa watoto wawili, mkubwa aliitwa Ukristo na mdogo akaitwa Uislam

Mkuu Vipi mbona unaji quote wewe mwenyewe, unatumia ID mbili tofauti kutetea hoja zako mwenyewe

Yani ni sawa na mtu aliesema unajitekenya na kucheka wewe mwenyewe, we shusha Nondo zako na ujiamini kisha tuachie wasomaji
 
Kama Nina Id mbili na nimejiquote mwenyewe itakuwa ni kweli kuhusu Mimi kujitekenya na kujichekesha,,Lakini kama sio kweli na wewe umeongea ujinga kama huo ni either uko short sited au huna hoja ya kukanusha hoja yangu..
 
Wote wajinga si waabudu uislam au ukristo kwani nani ambaye hakutoka kwa Mungu hadi aje awe yesu na muhamad tu?
 
Jinga uliyetukuka kwa kuaminishwa upumbavu pasipo kujifikiria au kujiongeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…