Anigrain
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 1,680
- 4,204
Mkuu Vipi mbona unaji quote wewe mwenyewe, unatumia ID mbili tofauti kutetea hoja zako mwenyeweKwanza nikushukuru,,ila kwa hii lugha ya kigeni Kuna waliokariri wengi hawajaelewa ndio maana wanajua Marko,yohana wagalatia nk nk,,na watoto wao Huwafundisha kukariri alifu be te se nk ila hawajui maana yake,,ndio maana muda mwingi husoma Biblia wajue mapungufu yake bila kujua kitabu Chao kina sura ya nge/spider,,sura ya radi,,sura ya buibui,,sura ya kichuguu surat Al maidah =sura ya meza nk nk hizi hawazielewi maana ziko kwa kiarabu na kwa kweli tafsiri huwasumbua sana,,Sasa wakileta ujuaji wao wa kukariri na sisi tuvuke mto tuwape ilimu maana wameyataka wenyewe wakidhani hatujui dini Yao waliocrem
Yani ni sawa na mtu aliesema unajitekenya na kucheka wewe mwenyewe, we shusha Nondo zako na ujiamini kisha tuachie wasomaji