Uchambuzi wa Kiufundi naunga mkono nchi yetu kununua umeme kutoka inje nchi kuliko kusafilisha hadi kaskazini

Wewe ni Fundi wa nini unasema frequency ya umeme itaingiliana na frequency ya bomba la mafuta?!

Mikoa ya kaskazini imekuwa ikitumia umeme kutoka Dar na Morogoro tangu zamani na ina umeme stable zaidi kuliko kanda nyingine nchini.
 
Umejinadi ccm na lucas mwamshamba hakupe point.

Wewe ni fundi lipua nyumba
 
Wewe ni Fundi wa nini unasema frequency ya umeme itaingiliana na frequency ya bomba la mafuta?!

Mikoa ya kaskazini imekuwa ikitumia umeme kutoka Dar na Morogoro tangu zamani na ina umeme stable zaidi kuliko kanda nyingine nchini.
Yani hapa nacho mshauri kufuta namba yake tu.Maana anacho kiongea nimeshindwa kumuelewa
 
Wewe ni Fundi wa nini unasema frequency ya umeme itaingiliana na frequency ya bomba la mafuta?!

Mikoa ya kaskazini imekuwa ikitumia umeme kutoka Dar na Morogoro tangu zamani na ina umeme stable zaidi kuliko kanda nyingine nchini.
Ndugu kwahiyo unataka nikujibu kipi hapo?
Unaelewa kwanini umeme mkubwa hautakiwi kupita juu ya bomba kubwa la mafuta? Unaelewa ni kwa nn?

Unafaham mikoa ya kaskazini inapokea megawatts ngapi na ina upungufu wa megawatts ngapi?
 
Kumuelewesha mtanzania ni kazi sana utakuta wanakaa vijiweni wanakaza shingo zao
 
Yani hapa nacho mshauri kufuta namba yake tu.Maana anacho kiongea nimeshindwa kumuelewa
Utakuwa na kichwa kigumu sana kuelewa ndugu! Kama hesabu ndogo kama hizi huelewi utakuwa na mchango mdogo sana kwenye hili taifa
 
Kutoka rufiji kuja musoma iliwezekana vipi, ije kushindikana kwenda kaskazini? Haya rufiji mbali sawa kwani pia haiwezekani kuuchukulia mikoa ya jirani kama mara(musoma) ambapo ni jirani sawa na Kenya hapo unapotaka kuchukulia?
 
Wewe ni miongoni mwa waTanzania wajinga kabisa kuwahi kutokea yaani unaamini wizara ina watu wenye akili kuliko yeyote ambaye hayupo wizarani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Mtu kama wewe ni rahisi sana kuamini Rais wa nchi akaakili kuliko watu wote anaowaongoza (Wananchi)

Inawezekana ulichoandika kwenye uzi wako kinaeleweka ila hakiko kitaalamu kama unavyojinadi wewe ni fundi.

Ununuzi wa umeme huo wa nje sidhani kama ni sustainable plan hata kama ni bei rahisi, plan nzuri ingekuwa kuimarisha mabwawa yaliyopo ukanda wa Kaskazini.

Ila pia kama hawa watu wanafikiri for future basi uimarishaji wa mabwawa ungekuwa kwa kanda ili kupunguza gharama za usafirishaji.
 
Kwa mradi huu serikali kama serikali ingechutama kwanza kupisha aibu.........ile pesa ya stiglers ni nyingi mno.........hao kasikazini miaka yote walikuwa wanatumia nini???..... nawaomba kwanza mmalizane na matundu ya choo hacheni ujanja ujanja.........na hapo kinachotafutwa ni kukopa tu ili deni la taifa lipae tena .......TANZANIA MY COUNTRY
 
Wanaongelea gharama za kusafirisha umeme as if umeme unabebwa kwenye visalfeti au kwenye ndoo
 
Nikushukuru kwa kuelewa! Lakini nikushangae kama huamini wizarani kuna wasomi!

Nikushauri wizara huwa ina mipango mingi inayohitaji bajeti, Hawawezi kutumia fungu lote la fedha kwenda kumaliza kero ambayo inaweza kutatuliwa kwa njia mbadala kwa gharama nafuu!

Kuchukua umeme huko jilani hakuzuii hayo mengine kuendelea!

Sioni hasara ya serikali kuchukua umeme kutoka nchi jilani! Labda uniambie wewe hiyo hasara iko wapi.

Kama hoja ni kukopa hata kama umeme wakiamua kuutoa rufiji watakopa vilevile!

Kwahiyo kipi bora, wakope kikubwa zaidi kujenga rufiji, au wakope kidogo kujenga kutokea nchi jilani ?
 
Matatizo yanaweza kuwa yapo mengi likiwemo hilo la matundu ya choo! Lakini hapa tunajadili umeme!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…