Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dunia ya sasa inahitaji watu wababe wanao jitegemea,hasa kiuchumi na kijeshi. Congo wametegemea wanajeshi wa msaada leo wanahaha,zelensky alimtegemea Biden leo ana haha…wazungu waliitegemea gas ya Russia baada ya mtifuano wakahaha,richa ya kuwa na uwezo wa kifedha. Leo una chanzo cha nishati ya umeme,hutaki kukisambaza eti unakwepa gharama.Unataka kuniambia wewe unaakili kuliko wizara waliotathimini wakaona wakachukulie kenya!
Wakati mwingine Vijana tunahoji vitu vingine havina hata msingi!
Nimekutolea mfano ungekuwa wewe ungesafilisha maji kutoka Dar upeleke dodoma wakati Dom kuna mtu anatafta wateja kwa gharama nafuu?
Nyumba ya Mungu na Hale haya mabwawa yalikwisha kauka kutokana na mabadiliko ya tabia nchi. Hebu jaribu ku update ubongo wako.Nitakujibu hapa hapa.
1. Unazungumzia Kaskazini yenye mabwawa ya umeme ya Nyumba ya Mungu, Hale na Pangani yenye uwezo wa kuzalisha umeme wa kutosha mikoa ya mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Manyara na Tanga. Kwanini uende nje ya nchi kununua umeme?
2. Umeme unaosema kunakwenda kuuchukua Kenya ni umeme unaozalishwa kwenye mabwawa kule Ethiopia na kusafirishwa kupitia Kenya na baadaye ndio uingie Tanzania. Kama unasema Rufiji ni mbali basi tuambie ni vipi Ethiopia patakuwa karibu. Hupaswi kuupima umbali kutoka hapo Kenya umeme unapopitishwa bali kule kule unapozalishwa yaani Ethiopia.
3. Katika mazingira ambayo tunazalisha umeme mwingi kupitiliza, na tunaupata bure kutoka Rufiji, ni vipi unataka tuumie huo upotevu unapotokea wakati tukiusafirisha kuuleta mikoa ya kaskazini kiasi tuamue tutoe pesa zetu kwenda kuununua umeme kutoka nje ya nchi?
Una mawazo mgando sanaDunia ya sasa inahitaji watu wababe wanao jitegemea,hasa kiuchumi na kijeshi. Congo wametegemea wanajeshi wa msaada leo wanahaha,zelensky alimtegemea Biden leo ana haha…wazungu waliitegemea gas ya Russia baada ya mtifuano wakahaha,richa ya kuwa na uwezo wa kifedha. Leo una chanzo cha nishati ya umeme,hutaki kukisambaza eti unakwepa gharama.
Huko tunako nunua siku yakitokea machafuko basi hata sisi tutahaha,iwe mtifuano wetu na wakenya ama waethiopia wenyewe,tutakatiwa umeme.
Kwahiyo ukiwa na mke aliye mfanyakazi,ikitokea amehamishiwa kigoma nawe upo mbeya utafanyaje siku ukihitaji sex. Utamtokea mke wa jirani akusave?
Au utapaswa kukuza uchumi wako uwe unapanda ndege kumfuata faster.
Ujamaa/upepari wa sasa ni Kujitegemea kwa supply ya vyanzo vya UCHUMI
Mpumbavu uchwara wewe…tengeneza network ya huduma na njia za uchumi maji,umeme na barabara
Kwa nguvu zote.
* 50,000 x 600 = 30,000,000 (Milioni thelathini).50000 x 600 ni 3,000,000 x 2400 ni 720Bil....nilikosea kidogo..
Homgeraaaaaa.....* 50,000 x 600 = 30,000,000 (Milioni thelathini).
* 3,000,000 x 2400 = 7,200,000,000 (Bilioni saba milioni mia mbili)
Kumbe kuimbishwa kote kwamba bwawa la Rugiji likikamilika matatizo ya umeme itakuwa mwisho ilikuwa ni siasa tu!Mkuu shukrani kwa Ufafanuzi, Ila Investment ya Rufiji basin cost us an arm and a leg..
Tungeingia permanent supply contract na hizo nchi mbona hizi kelele zinazotoka sasa zisingekuwepo?
1Milion trees and wildlife, Ecosystem disturbance and Bilions of USD, may be 4?
Just to be told we cant be self sufficient...
Nadhani Rais Samia kaamua kumfichia JPM mapungufu yake big time.
Its always cheaper to rent than to own...lakini yanakuja na gharama zake, vitu kama political instability... Ethiopia isnt that stable.
Tunatokaje hapa tulipo, dead stuck if at all Rufiji wasn't a permanent power solution.
Nakazia mkuu huyo fundi mchundo wa veta asipokuelewa basi apige magotiKama miaka yote hatuna umeme huko kaskazini, hiyo haraka ya kununua umeme kutoka nje ya nini au kuna nini hasa mpaka muone leo kuna haja ya kununua umeme kutoka nje ya nchi?
Kama kujenga miundo mbinu kuusambaza umeme itachukua miaka 5 hadi 10, kwanini tusifanye hivyo kwa kutumia hizo pesa za kutaka kuagiza umeme kutoka nje?
Sisi wadanganyika hatuna haraka, tumeishi maisha haya ya bila umeme na maji miaka yote na tupo, kwanini leo nyie watu wachache mjifungie huko mtoke na majibu rahisi kama haya, kwamba tununue umeme kutoka nje kwa sababu gharama za kusambaza umeme wetu ni ghali sana.
Kwani gharama za kujenga hilo bwawa Rufiji ni ndogo?
Mbona tuliamua kulijenga?
Malengo ilikuwa ni tujitosheleze sisi kwanza, kwa nishati humu ndani, kisha ziada ndio tuuze nje.
Mimi sijali wewe ni Engineer au Fundi mchundo, mimi sioni kama hiki unachokisema kiko sawa.
Hakuna mradi rahisi, hata SGR siyo rahisi lakini tulijenga na tunaendelea kujenga, kuna mradi wa UDART sio rahisi lakini bado tunaujenga.
Aliyekwambia sisi hatujui kujenga miundombinu kuusambaza huo umeme ni ghali ni nani?
Kama umeme umeshazalishwa wa kutosha na hauna pa kwenda, tusifunge mashine zote au tusimamishe uzalishaji tuanze kutengeneza miundo mbinu ya kuusambaza humu nchini kwanza.
Sidhani kama Magufuli alitaka kujenga bwawa lile ili tufanye biashara, alichoka na vilio vya shirika letu la umeme Tanesco, kusema umeme hautoshi, mara bwawa la Mtera limekauka, mara IPTL mafuta, na upuuzi kama huo, na ndio maana walikuwa wanatupa nishati hiyo kwa mgao.
Kwanini leo muanze kutupanga na kutufundisha biashara badala ya kutafuta njia za kutusambazia umeme?
Kule Kagera, kuna kampuni ya ABB walijenga zile nguzo kutoka uganda sidhani hata kama miaka sita ilifika. Tuwaite hawa watujengee miundombinu ya kuusambaza.
Miaka ile IPTL inaanzishwa tuliambiwa hadith kama hizi, kwamba IPTL itazalisha umeme wa kutosha na utakuwa ni muarobaini kwa tatizo letu la umeme nchini, kumbe ilikuwa miradi ya wezi wachache. Kila siku hesabu zinabadirika.
Wakaja wajanja wengine Richmond, SONGAS yale yale.
Kuna Mbunge mmoja anajiita Dr. Kasheku Musukuma, anasema kuna wapigaji nchi hii, wakitaka kupiga wanakunja na gia za usomi. Wana kuja na maelezo meeengi, kutafuta namna ya kujustfy upigaji wao, kisha wanatokomea gizani.
Kuhitimisha hoja yangu, Sisi hatuna haraka, kama kujenga miundo mbinu ni miaka 5 au 10, jengeni tutasubiri umeme wetu wenyewe.
Huo mnaotaka kuuleta wenyewe auhitaji miundo mbinu ya kuuingiza nchini?
Ikiwa huo nao utahitaji miundombinu, basi nashauri tujenge miundombinu yetu, iwe ya juu au aridhini lakini tuwe na mfumo wetu, tutumie umeme wetu, hatuna haraka.
Tena hizi zilijengwa mwaka 1996 na kampuni ya Denmark kama sijakosea jina ilikuwa ikiitwa Danish Rules bila shaka, na pia miaka ya hivi karibuni ulifanyika ujenzi wa njia nyingine tena na kampuni ya kihindi, sasa unajiuliza hizi zilijengwa kwa malengo yapi ambayo kwa sasa yatupasa kuacha kuzitumia njia hizi??SWALI DOGO: Kuna transmission lines (400kv) zilizojengwa toka Iringa kupitia Singida Babati hadi Arusha katika mradi wa East Africa Power Pool; hizo hazitoshi kufikisha umeme kaskazini?
Sociology na umeme wapi na wapi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nayazungumza haya nikiwa kama fundi mzoefu katika sekita ya umeme!
Nimeona mijadala watu wakilalamika kwanini nchi inataka kununua umeme kutoka inje kwa mikoa ya kaskazini wakati ina umeme wa kutosha?
Ni kweli nchi ina umeme wa kutosha lakini haina maana kwasababu umeme upo wa kutosha basi unaweza kuupeleka popote pasipo kufanya tathmini!
Iko hivi umeme kutoka vyanzo vikuu vya umeme wa uhakika Rufiji na mikoa mingine ukitaka kuusafirisha kwenda mikoa ya kaskazini unakuwa unazungumzia mradi wa wastani wa 800km ~900Km
Gharama za kusafirisha umeme kwa umbali huo ni kubwa mno ukilinganisha na kuuchukulia hapo kenya .
Wanaposema umeme wa Ethiopia haina maana uko huko Ethiopia! Ni uko hapo jilani kenya wastani wa km 250km~300km tu
Hivyo ukichukulia gharama za kuusafirisha umeme kwa wastani 50mil kwa kila span moja ( nguzo moja hadi nyingine) hapa tutazungumzia wastani wa span elf 8000 hadi 9000 endapo utaamua kuutoa Rufiji
Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini
Mbali na gharama hizo mradi mkubwa kama huo unahitaji kulipa watu fidia na kuchepusha miundombinu itayoingiliana hapo katikati ya mradi!
Miradi ya mabomba ya mafuta yaliyopita ardhini yatalazimisha kubadilisha span badala ya kupitisha umeme juu ya bomba ushushwe chini (underground) ili kuepusha muingiliano wa frequency za umeme na zile za bomba la mafuta! Yote hayo yanapaisha gharama za mradi!
Muda wa kuujenga mradi mkubwa kama huo unaweza kuchukua miaka siyo chini ya mitano!
Upotevu wa umeme hapo katikati (power losses) kwa umbali huo ni Mkubwa ukilinganisha na faida utayovuna ukiuufikisha mikoa husika ya kaskazini!
Yote tisa hata kama umeme upo lakini kama jilani ana bei rahisi kuliko za nchi yetu kwanini kujichosha ilihali kwa jilani anao umeme karibu na ni bei nafuu zaidi?
Ambao hawajaelewa naomba kutoa mfano huu!
Mfano una nyumba yako dar salaam na umechimba kisima na unayo maji ya kutosha hata kusamabaza! Ukajenga nyumba nyingine Dodoma ambako huko kuna mtu ana kisima cha maji ya bei rahisi zaidi kuliko hata wewe unavyowauzia maji dar!
Je utalaza mabomba ya maji uunganishe maji yako kutoka Dar upeleke hadi Dodoma kisa una maji ya kutosha hapo DAR?
Kama mtu hajaelewa na anaswali kwanini serikali inampango wa kununua umeme kutoka jilani niko tayali kumwelewesha zaidi kiufundi ;
mimi naitwa fundi samico, napatikana kwa namba 0711756341 na huko Instagram Samico Tanzania
Bwana wewe naomba takwimu mkuuTuna umeme mwingi kuliko matumizi, tunatumia kama nusu tu ya tunachozalisha.
The failed stateNayazungumza haya nikiwa kama fundi mzoefu katika sekita ya umeme!

Nikweli mkuu Tanesco watapeleka Ngunzo za mchongo mpaka mpakani na Transfoma mbovu zitafungwa Ili kuonyeshwa Umeme unatoka Kenya uku pesa zinaingia mifukoni kwa Mafisadi, Na huyu Mama alivyomzito kufatilia Mambo yete atakua ana Safari za kwenda Ulaya na Uarabuni.Kuna ufisadi utafanyika hapo. Hela za kununulia umeme zitatiwa mfukoni na Kaskazini watapata umeme wa humu humu ndani.
😂😂😂😂 Nimecheka sana! MKUU usikute anaamini Rais anaakili kupta watanzania wote....Wewe ni miongoni mwa waTanzania wajinga kabisa kuwahi kutokea yaani unaamini wizara ina watu wenye akili kuliko yeyote ambaye hayupo wizarani 😂😂😂.
Mtu kama wewe ni rahisi sana kuamini Rais wa nchi akaakili kuliko watu wote anaowaongoza (Wananchi)
Inawezekana ulichoandika kwenye uzi wako kinaeleweka ila hakiko kitaalamu kama unavyojinadi wewe ni fundi.
Ununuzi wa umeme huo wa nje sidhani kama ni sustainable plan hata kama ni bei rahisi, plan nzuri ingekuwa kuimarisha mabwawa yaliyopo ukanda wa Kaskazini.
Ila pia kama hawa watu wanafikiri for future basi uimarishaji wa mabwawa ungekuwa kwa kanda ili kupunguza gharama za usafirishaji.
Serikali haijasema ina bomoa miundombinu iliyopo itaendelea kutumika!Tena hizi zilijengwa mwaka 1996 na kampuni ya Denmark kama sijakosea jina ilikuwa ikiitwa Danish Rules bila shaka, na pia miaka ya hivi karibuni ulifanyika ujenzi wa njia nyingine tena na kampuni ya kihindi, sasa unajiuliza hizi zilijengwa kwa malengo yapi ambayo kwa sasa yatupasa kuacha kuzitumia njia hizi??