Uchambuzi wa Kiufundi naunga mkono nchi yetu kununua umeme kutoka inje nchi kuliko kusafilisha hadi kaskazini

Nayazungumza haya nikiwa kama fundi mzoefu katika sekita ya umeme!

Nimeona mijadala watu wakilalamika kwanini nchi inataka kununua umeme kutoka inje kwa mikoa ya kaskazini wakati ina umeme wa kutosha?

Ni kweli nchi ina umeme wa kutosha lakini haina maana kwasababu umeme upo wa kutosha basi unaweza kuupeleka popote pasipo kufanya tathmini!

Iko hivi umeme kutoka vyanzo vikuu vya umeme wa uhakika Rufiji na mikoa mingine ukitaka kuusafirisha kwenda mikoa ya kaskazini unakuwa unazungumzia mradi wa wastani wa 800km ~900Km

Gharama za kusafirisha umeme kwa umbali huo ni kubwa mno ukilinganisha na kuuchukulia hapo kenya .
Wanaposema umeme wa Ethiopia haina maana uko huko Ethiopia! Ni uko hapo jilani kenya wastani wa km 250km~300km tu

Hivyo ukichukulia gharama za kuusafirisha umeme kwa wastani 50mil kwa kila span moja ( nguzo moja hadi nyingine) hapa tutazungumzia wastani wa span elf 8000 hadi 9000 endapo utaamua kuutoa Rufiji

Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini

Mbali na gharama hizo mradi mkubwa kama huo unahitaji kulipa watu fidia na kuchepusha miundombinu itayoingiliana hapo katikati ya mradi!

Miradi ya mabomba ya mafuta yaliyopita ardhini yatalazimisha kubadilisha span badala ya kupitisha umeme juu ya bomba ushushwe chini (underground) ili kuepusha muingiliano wa frequency za umeme na zile za bomba la mafuta! Yote hayo yanapaisha gharama za mradi!

Muda wa kuujenga mradi mkubwa kama huo unaweza kuchukua miaka siyo chini ya mitano!

Upotevu wa umeme hapo katikati (power losses) kwa umbali huo ni Mkubwa ukilinganisha na faida utayovuna ukiuufikisha mikoa husika ya kaskazini!

Yote tisa hata kama umeme upo lakini kama jilani ana bei rahisi kuliko za nchi yetu kwanini kujichosha ilihali kwa jilani anao umeme karibu na ni bei nafuu zaidi?

Ambao hawajaelewa naomba kutoa mfano huu!

Mfano una nyumba yako dar salaam na umechimba kisima na unayo maji ya kutosha hata kusamabaza! Ukajenga nyumba nyingine Dodoma ambako huko kuna mtu ana kisima cha maji ya bei rahisi zaidi kuliko hata wewe unavyowauzia maji dar!

Je utalaza mabomba ya maji uunganishe maji yako kutoka Dar upeleke hadi Dodoma kisa una maji ya kutosha hapo DAR?

Kama mtu hajaelewa na anaswali kwanini serikali inampango wa kununua umeme kutoka jilani niko tayali kumwelewesha zaidi kiufundi ;
mimi naitwa fundi samico, napatikana kwa namba 0711756341 na huko Instagram Samico Tanzania
Natumia ka msemo ka dar star search "UMEUA MBAYA" umemaliza kila kitu.
 
Kufanya matengenezo ya kudumu katika bwawa la nyumba ya mungu linahitaji si chini ya misimu miwili ya mvua!
Msimu wa kwanza nikuondoa maji yote katika bwawa ili kuongeza kina cha maji na kufanya matengenezo na kuongeza transfoma!

Msimu wa pili ni kujaza maji kabla ya kuwasha mitambo!

Unataka serikali iwakatie umeme wananchi miaka yote hiyo miwili ya matengenezo?

Inaposema inaleta umeme kutoka inje inataka kuboresha kiwango cha umeme wa ndani kiwe super zaidi kwa gharama nafuu!

Yale matengenezo ya kila siku huwa ni matengenezo madogo ya nguzo zilizochoka, na dharula ndogo ndogo za masaa kadhaa!

Bwawa siyo bakuli kwamba utaliosha siku moja ukamaliza
Kwahiyo ununuzi wa umeme wa kudumu ni bora kuliko matengenezo ya kudumu?
 
Nayazungumza haya nikiwa kama fundi mzoefu katika sekita ya umeme!

Nimeona mijadala watu wakilalamika kwanini nchi inataka kununua umeme kutoka inje kwa mikoa ya kaskazini wakati ina umeme wa kutosha?

Ni kweli nchi ina umeme wa kutosha lakini haina maana kwasababu umeme upo wa kutosha basi unaweza kuupeleka popote pasipo kufanya tathmini!

Iko hivi umeme kutoka vyanzo vikuu vya umeme wa uhakika Rufiji na mikoa mingine ukitaka kuusafirisha kwenda mikoa ya kaskazini unakuwa unazungumzia mradi wa wastani wa 800km ~900Km

Gharama za kusafirisha umeme kwa umbali huo ni kubwa mno ukilinganisha na kuuchukulia hapo kenya .
Wanaposema umeme wa Ethiopia haina maana uko huko Ethiopia! Ni uko hapo jilani kenya wastani wa km 250km~300km tu

Hivyo ukichukulia gharama za kuusafirisha umeme kwa wastani 50mil kwa kila span moja ( nguzo moja hadi nyingine) hapa tutazungumzia wastani wa span elf 8000 hadi 9000 endapo utaamua kuutoa Rufiji

Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini

Mbali na gharama hizo mradi mkubwa kama huo unahitaji kulipa watu fidia na kuchepusha miundombinu itayoingiliana hapo katikati ya mradi!

Miradi ya mabomba ya mafuta yaliyopita ardhini yatalazimisha kubadilisha span badala ya kupitisha umeme juu ya bomba ushushwe chini (underground) ili kuepusha muingiliano wa frequency za umeme na zile za bomba la mafuta! Yote hayo yanapaisha gharama za mradi!

Muda wa kuujenga mradi mkubwa kama huo unaweza kuchukua miaka siyo chini ya mitano!

Upotevu wa umeme hapo katikati (power losses) kwa umbali huo ni Mkubwa ukilinganisha na faida utayovuna ukiuufikisha mikoa husika ya kaskazini!

Yote tisa hata kama umeme upo lakini kama jilani ana bei rahisi kuliko za nchi yetu kwanini kujichosha ilihali kwa jilani anao umeme karibu na ni bei nafuu zaidi?

Ambao hawajaelewa naomba kutoa mfano huu!

Mfano una nyumba yako dar salaam na umechimba kisima na unayo maji ya kutosha hata kusamabaza! Ukajenga nyumba nyingine Dodoma ambako huko kuna mtu ana kisima cha maji ya bei rahisi zaidi kuliko hata wewe unavyowauzia maji dar!

Je utalaza mabomba ya maji uunganishe maji yako kutoka Dar upeleke hadi Dodoma kisa una maji ya kutosha hapo DAR?

Kama mtu hajaelewa na anaswali kwanini serikali inampango wa kununua umeme kutoka jilani niko tayali kumwelewesha zaidi kiufundi ;
mimi naitwa fundi samico, napatikana kwa namba 0711756341 na huko Instagram Samico Tanzania
Kila mtu ana haki ya kutoa maoni hata bila kuwa fundi wa umeme kwa akili ya kawaida hauwezi kukubali kwamba kununua umeme kutoka Ethiopia ninafuu kuliko kujenga miiundo mbinu ya moja kwa moja kusafirisha umeme ambao tayari tunao. Umeongelea kuhusu muda wa kujenga miundo mbinu na ukasema kipindi cha ujenzi umeme utaendelea kuwa unapotea. Na vipi kipindi ambacho utakuwa unasubiri Ethiopia wajenge hiyo miundo mbinu yao?
Mimi nadhani hili ni wazo la kutatua changamoto kwa muda mfupi lakini kwa kipindi kijacho hili litakuwa halina tija tena. Tunazalisha umeme mpaka wa ziada tunakubali kuupoteza kwa sababu tu watu wameshachora ramani ya 10% ? Basi hakukuwa na haja kuwekeza zaidi ya 10 trilioni kwenye mradi wa bwawa la Mwalimu Nyerere
 
Kwahiyo ununuzi wa umeme wa kudumu ni bora kuliko matengenezo ya kudumu?
Bro kuna mnyama anaitwa pimbi huwa anasahau maelezo kila baada ya dakika tano!
Sasa wewe binadam ambacho kinakufanya usielewe ni nini?

Utafanyaje matengenezo ya kudumu pasipo kuwepo na umeme mbadala ili usevu wananchi wakati wa matengenezo?

Kazi ya kutengeneza mabwawa inahitaji siyo chini ya misimu miwili ya mvua!
Wakati huo hao wananchi watatumia nn pasipokuwepo na umeme mbadala?
 
Mkuu Kwema! Baada ya Mwalimu Nyerere kukamilika Zilijengwa transmission Line Msongo wa 400KV kutoka Bwawani mpaka Chalinze ambapo ndio kama Load Center
Sasa Iko Ivi ili Northen Circuit iwe Electrified effectively na Bwawa la Mwalimu Nyerere ambalo lina Generate nearly 2000MW kuna njia Mbili

Ujenge transmission line urefu wa 540KM from Chalinze to Arusha Via Tanga ya Ukubwa 400kV hapo utakuwa umepiga ndege wawili kwa jiwe Moja kwasababu kwanza utaimarisha sana hali ya Umeme Tanga (Industrial zone) na Arusha na Moshi

Pili Serikali nadhani imeanza Ujenzi wa Line ya msongo wa 400KV kutoka Chalize mpaka dodoma, Umeme ukishafika dodoma wa Bwawa la Mwalimu Nyerere basi itakuwa rahisi kujenga line 400KV kutoka Dodoma hadi Singida umeme wa Mwalimu nyerere ukifika Singida tu basi umefika Arusha mana Arusha na Singida tayari ziko Connected kwa line ya msongo wa 400Kv ambayo ndio ile line inatoka isenye kenya na destination yake illkuwa Singida japo ili Via Arusha
 
1. Mabwawa ya kaskazini (nyumba ya Mungu n.k) unafahamu yanazalisha megawatts ngapi na kuna upungufu wa megawatts ngapi?

Mikoa ya kaskazini ni miongoni mwa mikoa ambayo ina upungufu wa umeme na ndiyo maana serikali inataka kulimaliza hilo kwa kuingiza umeme wa bei rahisi kutoka inje!.
2 &3 Hswali la pili na la tatu majibu yake yapo kwenye mada naomba ukasome nimejibu!
Sasa wewe si ndio umesema ni mtaalamu! Ndio useme sasa kwenye hayo mabwawa ya Kaskazini kunazalishwa megawati ngapi na kuna upungufu wa megawati ngapi!
 
Nayazungumza haya nikiwa kama fundi mzoefu katika sekita ya umeme!

Nimeona mijadala watu wakilalamika kwanini nchi inataka kununua umeme kutoka inje kwa mikoa ya kaskazini wakati ina umeme wa kutosha?

Ni kweli nchi ina umeme wa kutosha lakini haina maana kwasababu umeme upo wa kutosha basi unaweza kuupeleka popote pasipo kufanya tathmini!

Iko hivi umeme kutoka vyanzo vikuu vya umeme wa uhakika Rufiji na mikoa mingine ukitaka kuusafirisha kwenda mikoa ya kaskazini unakuwa unazungumzia mradi wa wastani wa 800km ~900Km

Gharama za kusafirisha umeme kwa umbali huo ni kubwa mno ukilinganisha na kuuchukulia hapo kenya .
Wanaposema umeme wa Ethiopia haina maana uko huko Ethiopia! Ni uko hapo jilani kenya wastani wa km 250km~300km tu

Hivyo ukichukulia gharama za kuusafirisha umeme kwa wastani 50mil kwa kila span moja ( nguzo moja hadi nyingine) hapa tutazungumzia wastani wa span elf 8000 hadi 9000 endapo utaamua kuutoa Rufiji

Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini

Mbali na gharama hizo mradi mkubwa kama huo unahitaji kulipa watu fidia na kuchepusha miundombinu itayoingiliana hapo katikati ya mradi!

Miradi ya mabomba ya mafuta yaliyopita ardhini yatalazimisha kubadilisha span badala ya kupitisha umeme juu ya bomba ushushwe chini (underground) ili kuepusha muingiliano wa frequency za umeme na zile za bomba la mafuta! Yote hayo yanapaisha gharama za mradi!

Muda wa kuujenga mradi mkubwa kama huo unaweza kuchukua miaka siyo chini ya mitano!

Upotevu wa umeme hapo katikati (power losses) kwa umbali huo ni Mkubwa ukilinganisha na faida utayovuna ukiuufikisha mikoa husika ya kaskazini!

Yote tisa hata kama umeme upo lakini kama jilani ana bei rahisi kuliko za nchi yetu kwanini kujichosha ilihali kwa jilani anao umeme karibu na ni bei nafuu zaidi?

Ambao hawajaelewa naomba kutoa mfano huu!

Mfano una nyumba yako dar salaam na umechimba kisima na unayo maji ya kutosha hata kusamabaza! Ukajenga nyumba nyingine Dodoma ambako huko kuna mtu ana kisima cha maji ya bei rahisi zaidi kuliko hata wewe unavyowauzia maji dar!

Je utalaza mabomba ya maji uunganishe maji yako kutoka Dar upeleke hadi Dodoma kisa una maji ya kutosha hapo DAR?

Kama mtu hajaelewa na anaswali kwanini serikali inampango wa kununua umeme kutoka jilani niko tayali kumwelewesha zaidi kiufundi ;
mimi naitwa fundi samico, napatikana kwa namba 0711756341 na huko Instagram Samico Tanzania
Unachoeleza ni kitu kidogo sana bro, Kagera inanunua umeme kutoka UG kwa miaka mingi, sababu haipo kwenye grid yq Taifa,
Kwa mfano uliotoa, fikiria, umeishawaambia wana familia wako kuwa Una mpango wa kuuza maji yako ya Dar kwenda Singida, Harafu Leounasema, hapana Kwa Dodoma kupeleka, maji ni gharama Ila kuyauza Singida, ni sawa!
Arusha, kwa, Leo, inatumia umeme kutoka wapi? Kwanini iwe nafuu kutoa umeme kwenye Grid na kuuza Kenya, Ila ni gharama kuupelekaArusha!
 
Iko hivi kituo cha nyumba ya Mungu kinatakiwa kuzalisha umeme wa megawatts 8 lakini hadi sasa kinazalisha megawatts 4~5 na wakati mwingine megawatts 3 ambayo ni sawa na asilimia 40%

Hii yote ni kutokana na ukame pamoja na uchakavu kwa maana bwawa linahitaji matengenezo makubwa .

Kituo cha New pangani kinatakiwa kuzalisha Megawatts 68 lakini hadi sasa kinatoa megawatts 7~10 na wakati mwingine chini ya megawatts 7.
Hii ni wastani wa Asilimia 10 tu.

Ili kuweza kuzalisha umeme kwa uhakika inahitajika matengenezo makubwa ikiwemo kuongeza kina cha maji katika hayo mabwawa!

Na ili ufanye hivyo lazima utoe maji yote ujenge, ufunge na transfoma then uwashe mitambo! Hili linahitaji muda siyo chini ya miaka miwili

Je huo muda wananchi utawakatia umeme wakae gizani?

Ndiyo maana ya kununua umeme kutoka hapo jirani ili utakafungwa vyanzo vya ndani vipate kuzimwa na kufanyiwa matengenezo makubwa pasipo kuathili wananchi wa kaskazini.

Nchi yetu siyo ya kwanza hata nchi zilizoendelea hununua umeme kutoka inje kwa baadhi ya miji iliyo pembezoni. Marekani wenyewe wananunua umeme kwa baadhi ya miji
 
Mipango ya muda mfupi huwa siyo mbadala wa mipango ya muda mrefu!
Gridi ipo ya kutosha lakini siyo dhambi kama kuna chanzo kingine kutoka inje kwa gharama nafuu zaidi!
 
........kujenga miundo mbinu ni muda na gharama baasa miaka 15 to 20 wataweza kutawanya kooote .....sio project miezi 6 mkuuu oohhh sikia tuuu....kulipa fidia tu njia kupitisha....bado cost kusafirisha....umbali huo.....feasabilitu study zipo ukiwa access utaziona miradi yote na expansipn zake....hapo hakuna siasaa mkuu
Acha uwongo,,miundo mbinu ilijengwa kutokea singida to Namanga tayari kwa kutumia African development Bank kwa makubaliano ya nchi na nchi kuuziana umeme inapotokea sehemj moja inaupungufu
 
Iko hivi kituo cha nyumba ya Mungu kinatakiwa kuzalisha umeme wa megawatts 8 lakini hadi sasa kinazalisha megawatts 4~5 na wakati mwingine megawatts 3 ambayo ni sawa na asilimia 40%

Hii yote ni kutokana na ukame pamoja na uchakavu kwa maana bwawa linahitaji matengenezo makubwa .

Kituo cha New pangani kinatakiwa kuzalisha Megawatts 68 lakini hadi sasa kinatoa megawatts 7~10 na wakati mwingine chini ya megawatts 7.
Hii ni wastani wa Asilimia 10 tu.

Ili kuweza kuzalisha umeme kwa uhakika inahitajika matengenezo makubwa ikiwemo kuongeza kina cha maji katika hayo mabwawa!

Na ili ufanye hivyo lazima utoe maji yote ujenge, ufunge na transfoma then uwashe mitambo! Hili linahitaji muda siyo chini ya miaka miwili

Je huo muda wananchi utawakatia umeme wakae gizani?

Ndiyo maana ya kununua umeme kutoka hapo jirani ili utakafungwa vyanzo vya ndani vipate kuzimwa na kufanyiwa matengenezo makubwa pasipo kuathili wananchi wa kaskazini.

Nchi yetu siyo ya kwanza hata nchi zilizoendelea hununua umeme kutoka inje kwa baadhi ya miji iliyo pembezoni. Marekani wenyewe wananunua umeme kwa baadhi ya miji
Kuanzia leo usiitwe Fundi Samico wakuite tu professor!
 
Bwana wewe naomba takwimu mkuu

Hizo ni data za 2023 peak ya matumizi ya umeme ilikua ni 1400MW, na capacity 1900MW

Mpaka January 2025 capacity ishaongezwa 3000+ MW na inategemea kufika mwisho wa mwaka kufika 4000MW.

Umeme ni mwingi sana, kuusambaza ni issue nyengine
 
Mimi binafsi nimekuelewa mkuu,

Kuhusu mabwawa ambayo yapo kaskazini kama Hale, Nyumba ya Mungu ni wazi megawatts hazitoshi kulingana na mahitaji husika , kumbuka miji inakuwa,viwanda vidogovidogo vinaongezeka.

Kuwa na umeme bwawa la Rufiji haina maana kama ndiyo uupeleke mbaaali huko, yaani kwakuwa unadukq la vifaa vya ujenzi Rufiji ndiyo ukachukue na kupeleka Arusha unakojenga kwakuwa unatoa dukani kwako.

Maisha ni mahesabu madogo tu
 
Jil
Nayazungumza haya nikiwa kama fundi mzoefu katika sekita ya umeme!

Nimeona mijadala watu wakilalamika kwanini nchi inataka kununua umeme kutoka inje kwa mikoa ya kaskazini wakati ina umeme wa kutosha?

Ni kweli nchi ina umeme wa kutosha lakini haina maana kwasababu umeme upo wa kutosha basi unaweza kuupeleka popote pasipo kufanya tathmini!

Iko hivi umeme kutoka vyanzo vikuu vya umeme wa uhakika Rufiji na mikoa mingine ukitaka kuusafirisha kwenda mikoa ya kaskazini unakuwa unazungumzia mradi wa wastani wa 800km ~900Km

Gharama za kusafirisha umeme kwa umbali huo ni kubwa mno ukilinganisha na kuuchukulia hapo kenya .
Wanaposema umeme wa Ethiopia haina maana uko huko Ethiopia! Ni uko hapo jilani kenya wastani wa km 250km~300km tu

Hivyo ukichukulia gharama za kuusafirisha umeme kwa wastani 50mil kwa kila span moja ( nguzo moja hadi nyingine) hapa tutazungumzia wastani wa span elf 8000 hadi 9000 endapo utaamua kuutoa Rufiji

Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini

Mbali na gharama hizo mradi mkubwa kama huo unahitaji kulipa watu fidia na kuchepusha miundombinu itayoingiliana hapo katikati ya mradi!

Miradi ya mabomba ya mafuta yaliyopita ardhini yatalazimisha kubadilisha span badala ya kupitisha umeme juu ya bomba ushushwe chini (underground) ili kuepusha muingiliano wa frequency za umeme na zile za bomba la mafuta! Yote hayo yanapaisha gharama za mradi!

Muda wa kuujenga mradi mkubwa kama huo unaweza kuchukua miaka siyo chini ya mitano!

Upotevu wa umeme hapo katikati (power losses) kwa umbali huo ni Mkubwa ukilinganisha na faida utayovuna ukiuufikisha mikoa husika ya kaskazini!

Yote tisa hata kama umeme upo lakini kama jilani ana bei rahisi kuliko za nchi yetu kwanini kujichosha ilihali kwa jilani anao umeme karibu na ni bei nafuu zaidi?

Ambao hawajaelewa naomba kutoa mfano huu!

Mfano una nyumba yako dar salaam na umechimba kisima na unayo maji ya kutosha hata kusamabaza! Ukajenga nyumba nyingine Dodoma ambako huko kuna mtu ana kisima cha maji ya bei rahisi zaidi kuliko hata wewe unavyowauzia maji dar!

Je utalaza mabomba ya maji uunganishe maji yako kutoka Dar upeleke hadi Dodoma kisa una maji ya kutosha hapo DAR?

Kama mtu hajaelewa na anaswali kwanini serikali inampango wa kununua umeme kutoka jilani niko tayali kumwelewesha zaidi kiufundi ;
mimi naitwa fundi samico, napatikana kwa namba 0711756341 na huko Instagram Samico Tanzania[/USER
[/QUOTE]
Kusafilisha

, Jilani hii tosha inatafsiri namna ubongo wako ulivyo huwezi chochote kijana kupress keyboard sio kufanya kazi, sasa ni fundi gani unashinda kwa mitandao kazi wafanya muda gani?
 
Hata hii nayo ni moja ya kazi kama una kazi nyingine pia naomba mkuu!
 
Anabwabwaja tu bila takwimu huyo.

Anasema ni gharama sana, ila hasemi ni kiasi gani!!!

Pole sana Tanzania!
Nchi hii sasa majizi yanatandikiwa mazulia na kupigiwa makofi iliyapite kwenda kutuibia RIP Mwendazake..
 
Unawez

Unawezeje kuandika neno Rufiji then unashindwa kuandika neno Jirani?
Sijui kiswahili vizuri, kama umeelewa Rufiji hayo mengine nisaidie pia!

Tatizo la nchi yetu ujuaji; Pasipo kuangalia kipaumbele!

Tumekuwa watu wa kukosoa, nakumbuka hata Rais magufuli mlimwambia hajui kiswahili wala kingereza.

Lakini sahivi mnamsifia! Hii ni kutokana hamjui kutazama vipaumbele!
 
Back
Top Bottom