Uchambuzi wa Kiufundi naunga mkono nchi yetu kununua umeme kutoka inje nchi kuliko kusafilisha hadi kaskazini

Mkuu umejitahidi sana kueleza wenye kuelewa tushaelewa ...achana na watakupasua kichwa tayali kichwani mwao hawana mpango wa kuelewa unapoteza muda wako bure
 
Ni hoja nyepesi yakujitetea pasipo faida.

Rudi katika.muktadha wa dhamira na lengi la kuzalisha umeme lilikuwa nini?"kuhakikisha nchi inakuwa na umeme wa kutosha ili kukabiliana na adha ya mgao na kuongeza uzalishaji"

Huo mkakati kabla yakufikia lengo la uzalishaji haukuwepo licha ya kwamba ilikuwa tija.


Kwenye power engineering kitu cha kwanza ni demands capacity,pili generation tatu transmission.


Transmission ni step ambayo inapaswa kuwa effective sababu tulisha jithibitishia demand.

Currently Kuna power technologies za kusafirisha umeme with a minimal loss maana wao wanahofia power loss hivyo hasara ,kuna capacitors embedded cables ,na teknonolijia ya kusafirisha voltage na kupunguza current katika usafirishaji ili kupunguza power loss.

Bado haiingii akilini kama TAIFA (sio taasisi binafsi) kuzalisha umeme halafu mshindwe kusambaza.


I am not a layman in power engineering.
 
Mama yangu wee! Hayo mabomba ya mafuta yaliyopo ni yapi! Inawezekana haujui kuwa lipo bomba la mafuta linaloanza Kigamboni Dar linapita Mbagala, Pugu, Chalinze, Morogoro, Mikumi, Iringa, Mbeya, Songwe na kuingia Zambia, njia yote hiyo kuna nguzo za umeme zinazokwenda Chalinze kutoka Mtera, Kidatu, bwawa la Mwalimu zinavuka hilo bomba la TAZAMA.
Tanga inapata umeme toka Chalinze wangeweza kuuchukua huko bila kuvusha juu ya bomba ukaenda Korogwe, Same na mikoa wa Kilimanjaro na Arusha.
Najua tunajadili hapa huku dili liliksisha pigwa siku nyingi ili kujiweka sawa kwa uchaguzi, tukumbukane siku ya Idi na Pasaka.
 
Sawa wewe ni power engineer ila sio mfanyabiashara, Tanesco leo hii Ikiingiza Hasara nani ananlipa? Si kodi zetu ndio itabidi ziweke Ruzuku hapo?

Kama inawezekana sisi kuuza Nje kwa Bei nzuri na kununua Umeme kwa bei rahisi ni practical approach mtu yoyote mwenye idea ya biashara analijua hili.

Unajua kipindi cha Vita vya Ukraine Saudi Arabia alikua ananunua Mafuta Urusi? UNAFKIRI Saudia hana mafuta? Anayo kibao, ila Mafuta ya Urusi yalivyoshuka bei kwake ilikua ni Opportunity aliyanunua na kutumia kwake, ya Kwake akauza Ulaya.
 
Mnapenda kutumia mifano ya kijinga kuhalalisha upigaji ? Nyakati za Uwaziri wa Makamba aliomba Trilion 1 na Ushee kukarabati miundombinu ya umeme aliyodai imeharibiwa na Magufuli, matokeo yake akaanza kuunda mtandao wa kumuondoa madarakani mteuzi, sasa hivi majizi yanatandikiwa zulia na kushangiliwa wakati yakienda kufanya ufisadi...
 
Nachochea kuni mpe mpe
 
Hii ligi naifuatilia
 
Kama kusafirisha toka vyanzo vya ndani ni hasara, Tanesco watasafirisha vp kupeleka nje au kwa Bluetooth? Feasibility study ilifanyika kabla ya ujenzi?

Umeme unatoka Ethiopia sio Kenya, Kenya ni njia tu ndo maana wamesema watanunua toka Ethiopia, hela inaenda kwa producer sio mtu wa njiani. Hoja yako kwamba umeme unatoka Kenya ni mfu.

Nyie mafundi vishoka hamna kitu mnajua.
 
Wewe ndo akili kisoda! Unaambiwa umeme wanachukulia hapo Namanga lakini bado umekaza fuvu!

Hata kama umeme ungetokea Morocco hiyo gharama ya usafirishaji kutoka Huko Haituhusu Tanzania! Ni hasara yao.

Tanzania inauziwa umeme wa bill ambapo mita itafungwa hapo mpakan!...

Pili kama huna hoja usiwe unaropoka unauwezo mdogo sana wa kubishana na mm! Hakuna unachonizidi

Kama wewe ni msomi nipigie simu tubishane kwa kingereza 0711756341
 
K wa ni huu umeme unaotoka Rufiji mpaka Tabora au Mara ni karibu? Mbona ni mbali tu.
 
Wewe ndo akili kisoda! Unaambiwa umeme wanachukulia hapo Namanga lakini bado umekaza fuvu!

Hata kama umeme ungetokea Morocco hiyo gharama ya usafirishaji kutoka Huko Haituhusu Tanzania! Ni hasara yao.

Hakuna biashara ya hivyo duniani kote. Fundi Juma hamnaga akili hata mkipewa magari mnaanza kusema hiki mjapan kaweka tu hakina kazi gari linatoka gereji bovu kuliko lilivyofika.

Swali dogo tu, hiyo gharama ya hadi Namanga nani analipa wewe fundi kishoka akili kisoda?
 
Kuwa fundi sio swala, ishu ni logic. Nyumba ya Mungu limefungwa? Hale je? Pangani?
 
Kuwa fundi sio swala, ishu ni logic. Nyumba ya Mungu limefungwa? Hale je? Pangani?
Nimeshaeleza narudia tena! Nyumba ya Mungu inatakiwa kuzalisha megawatt 8 lakini kutokana na uchakavu na ukame inazalisha 4~5 MW ambayo ni nusu ya mahitaji!

New pangani vile vile inazalisha asilimia 10% tu ya lengo!

Ni lazima nchi itafte umeme mbadala kwasababu hayo mabwawa yanahitaji matengenezo makubwa

Na katika hizo njia mbadala ni hizo mbili, moja kuchukua hapo mpakani au kuchukulia Rufiji!

Unafuu umeonekana ni bora kuchukulia hapo Namanga inasave 60%~70% ulilinganisha na gharama ya kuchukulia Rufiji
 
Nikuulize wewe huo umeme unaotumia hapo nyumbani kwenu! Zile gharama za kuutoa kwenye transfoma mlilipa nyinyi au Tanesco waliwasogezea hadi hapo jilani ndo mkalipia huduma ya kuunganishiwa?

Gharama za kutoka Ethiopia hazituhusu watanzania!

Sisi gharama zetu zitaanzia hapo kenya mpakani itakapofungwa mita!.
 
Unajisikiliza unachoongea lakini? Kama unazalishwa chini ya uwezo wake, hilo nalo linahitaji degree kulipatia ufumbuzi?
 
Umeme ulisafirishwa kutoka Ethiopia haupotei njiani?
Je kununua gari Kenya iliyotoka Japan ni nafuu kuliko kuagiza Japan?
Kuna mtaalamu nimemsiliza yeye anadai umeme haupotei, unasafirishwa katika mfumo wa direct current (HVDC)
 
unajuwa gharama za uhuru ? hv umesikia huko Marekan , Canada katia spana kwenye umeme anauza Marekani , hv hatuez survey kweny mikoa ya kaskazin kuona wap panaweza zalisha umeme ?

IFIKE MUDA TUACHE KUPENDA MSELELEKO , MATOKEO YA KUPENDA VYA DEZO NI KULIWA TAKLO , TUJIULIZE ETHIOPIA KAWEZAJ KUUVUSHA UMEME WAKE KUTOKA ETHIOPIA MPK KENYA KISHA AJE AULETE MPK TZ .

VICHWA VYENU VIMEKUWA VYA KUTUNZIA MUVI ZA KITURUKI TU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…