Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #21
Asante mkuuVizuri mkuu inatakiwa hata serikali iwe inaleta watu wa kujibu hoja kwa vifungu. Mimi mwenyewe naendelea kuelewa kupitia watu kama nyinyi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuuVizuri mkuu inatakiwa hata serikali iwe inaleta watu wa kujibu hoja kwa vifungu. Mimi mwenyewe naendelea kuelewa kupitia watu kama nyinyi.
Nina ka subaru kangu nahangaika nako. sihitaji kuhongwa ndo mana natumia fake id hapaMleta mada ndo walewale miongoni mwa wapokea zawadi ya v8 kutoka falme za kiarabu.
Amesema kilicho kwenye mkataba. Soma hapoMbona hujasema amesema nini kuhusu Ibara hii?
Kwa sababu wewe una njaa basi unahisi kila mtu yupo kama wewe?Mwanasheria njaa kama wewe umdanganye nani bhana
wana kura ngapi wao kila siku wanazungimzia zanzibar nani huwa anawapinga kama wanaona kura zao za maana waache kuipa chadema kura zenyewe hazizidi hata kura za mkoa wa simiyu..Hili jambo limebebwa na wanasiasa kwa hiyo tegemea lolote tu lakini Hawa chadema 2025 hawatataka kura za hiyo sehemu wanayoibagua na kuikejeli?
Usitudabganye ndg, kadanganye wana Lumumba wenzio... kweli wee ni mwana sheria??? Duuuh [emoji44] [emoji44][emoji44]Kwenye HGA ndo kuna kila kitu hadi muda wa ukomo kwenye project husika
Hata mkataba umeusoma kweli?Usitudabganye ndg, kadanganye wana Lumumba wenzio... kweli wee ni mwana sheria??? Duuuh [emoji44] [emoji44][emoji44]
Kwn ni siri kwamba nisiusome??? Unafikiri tunapinga tusichokijua???Hata mkataba umeusoma kweli?
Una hamu ya kunijua eeeh?Hujashiriki na Lisu kwenye kazi yeyote ile acha uongo.
Wewe unapinga nini?Kwn ni siri kwamba nisiusome??? Unafikiri tunapinga tusichokijua???
UkomoWewe unapinga nini?
We jamaa muongo sana Lisu unamfahamu kupitia media tu.Una hamu ya kunijua eeeh?
Ulitaka IGA iwe na ukomo kwani kwenye IGA mwekezaji kapewa project gani?Ukomo
Haya basi iwe kama unavyosema. Namfahamu kupitia media!We jamaa muongo sana Lisu unamfahamu kupitia media tu.
Hujawahi fanya nae kazi yeyote unajitutumua tu.
Kaongo sana haka kajamaa.
Hujawahi fanya nae kazi.Haya basi iwe kama unavyosema. Namfahamu kupitia media!
Umefurahi sasa?
Punguza kamba.Nimeshakubali wishes zako
Umefurahi sasa?
Bila shaka wewe ni miongoni mwa wale waandishi wa habari 40 mliopelekwa Dubai eti "kwenda kujifunza mambo ya namna ya usimamizi na uendeshaji wa bandari"Kwanza napenda kumpongeza Tundu Antipass Lissu kwa kuwa Mtanzania pekee hadi sasa aliyekuja na uchambuzi wa kihoja kwenye suala la Makubaliano ya Tanzania na Dubai kuhusu masuala ya Bandari.
Namfahamu Tundu Antipass Lissu kama mwanasheria mzuri sana. Nimeshiriki nae kwenye kazi kadhaa hivyo sina mashaka na ujuzi wake kwenye masuala ya Sheria.
Pamoja na haya leo napenda kupingana na Mwanasheria huyu mwenzangu katika uchambuzi wake katika masuala ya Bandari na hii ni kwa sababu najua anajua kuwa amepotosha na ni kweli na hakika kuwa katika suala hili ndugu yangu Lissu amepotosha sana.
Kwa nini Tundu Antipass Lissu amepotosha?
Kuhusu suala la Muda wa ukomo wa Mkataba!!
Lissu amesema kabisa huu mkataba unafuatiwa na Mkataba wa Host Government Agreement ila bado anajichanganya kwa kusema kuwa endapo hakutakuwa na Host Government Agreement mkataba huu utakuwa wa milele. Hapa Wakili wangu amepotosha vibaya sana. Katika Mkataba huu, Ibara ya Kwanza Ibara ndogo ya 2 ( Article 1(2))inaelezea ulazima wa pande zote ikiwemo Tanzania kuingia katika makubaliano ya Host Government Agreement!
Katika ibara hii kuanzia vipengele a, but hadi c vimeelezea wazi kabisa kuhusu HGA zitakazoingiwa kuhusu maeneo husika.
Sasa swali langu kwa Lissu tuseme hakuona hiki kifungu cha mkataba? Anapotosha kwa maslahi gani?
Kuhusu Mkataba kutosema faida tunazopata na uwekezaji unaofanyika ni wa kiasi gani?
Kusema kweli hapa Wakili msomi Lissu kama hafanyi upotoshaji wa makusudi basi atakuwa ameanza kuzeeka.
Article 1(2) c ya Mkataba huu inasema wazi na nakinukuu hapa,
" Tanzania agrees each relevant HGA and each relevant project agreement to which it or state authority is a party shall be the contractual framework for Tanzania and the State Authority's contractual rights, obligations and undertakings under or in connection with the relevant project"
Maana ya hiki kifungu ni kwamba kutika makubaliano ya HGA kuhusu mradi husika mfano iyo sehemu ya Bandari atakayopewa mwekezaji haki zote na wajibu wote ndo vitaelezwa humo ikiwemo uwekezaji ni kiasi gani, faida kwa Tanzania kuhusu uwekezaji huo ni kiasi gani na kila kitu kingine.
Logic behind kifungu hiki ni kuwa kabla pande mbili hazijaingia mkataba wa HGA hapo lazima wataalamu wa actuary wakae wapige hesabu kuhusu gharama za uwekezaji , faida zitakuwaje na mgawanyo wa kodi na malipo mengine yaweje. Haya yote kimsingi hayawezi kuwekwa katika mkataba huu ila yanapaswa kuwekwa kwenye HGA husika. Sasa Lissu kama mwanasheria najua anajua kuwa haya mambo hayapaswi kuwa katika IGA maana IGA inakuwa general ila HGA inakuwa specific katika mradi husika.
Kuhusu masuala ya Kodi!!
Hapa Wakili msomi Tundu Lissu kusema kweli amekosea kwa sababu anadai itakuwa kama kwenye masuala ya madini wakati hata hajajua kwenye HGA husika wajibu wa mwekezaji utawekwaje na ushiriki wetu kwenye huo uwekezaji utakuwaje??? Ibara ya 18 ya Mkataba huu imesisitiza kuzingatiwa na Sheria na masharti kama yalivyowekwa kwenye HGA. Sasa hapa zijaelewa kabisa hoja za Lissu?
Kwenye kipengele hiki hoja za Lissu zingekuwa na mashiko kama HGA zingekuwa zimeshakamilika na wataalamu wa Actuary hawajahusika katika kuweka hesabu za uwekezaji na faida vizuri. Hivyo sioni kama ana hoja ya msingi kwenye hili
Kuhusu kwenye Bandari za kuuzwa ingawa nakubaliana na Lissu kuwa muungano wetu una changamoto kwa kuwa naamini kama kweli ni muungano basi ulitakiwa kuwa wa serikali moja ila bado sikubaliani na Lissu kuhusu kusema Bandari zetu zimeuzwa.
Nimesoma mkataba wote, nimepitia kifungu kwa kifungu na kusema kweli hakuna sehemu mkataba huu umewapa watu wa Dubai Bandari. Mkataba huu umeonesha kuwa tutashirikiana katika masuala ya Bandari katika maeneo yatakayokubaliwa kwenye mkataba mwingine wa HGA ambapo sisi tutasema tushirikiane nao katika Bandari ipi au eneo lipi la uwekezaji na kwa masharti yapi. Hakuna sehemu imesemwa Bandari zote wamepewa au wanapewa. Lissu amepotosha sana.
Kuhusu Uzanzibari wa Samia na Prof Mbarawa hapa napo naona Lissu ameongea kama mwanasiasa ila sio kama mwanasheria. Unapohoji uraia wa mtu lazima uwe na msingi wa kuhoji. Kwa nini hakuhoji alipoamua alipwe posho zake alizozurumiwa kipindi cha awamu ya 5? Hapo hakuona kama anafanya kwa Uzanzibari wake?
Kwa nini hakuhoji wakati mazungumzo yake na Rais yalifanya afutiwe kesi zote na kupewa passport yake?
Kusema kweli hapa Lissu anapotosha kwa sababu hakuna Bandari yeyote iliyouzwa au kugawiwa hadi sasa. Hizi ni siasa za majitaka