Uchambuzi wangu kuhusu hoja za Tundu Antipass Lissu kwenye suala la Bandari

Hili jambo limebebwa na wanasiasa kwa hiyo tegemea lolote tu lakini Hawa chadema 2025 hawatataka kura za hiyo sehemu wanayoibagua na kuikejeli?
wana kura ngapi wao kila siku wanazungimzia zanzibar nani huwa anawapinga kama wanaona kura zao za maana waache kuipa chadema kura zenyewe hazizidi hata kura za mkoa wa simiyu..
 
Hujashiriki na Lisu kwenye kazi yeyote ile acha uongo.
 
We jamaa muongo sana Lisu unamfahamu kupitia media tu.

Hujawahi fanya nae kazi yeyote unajitutumua tu.

Kaongo sana haka kajamaa.
Haya basi iwe kama unavyosema. Namfahamu kupitia media!

Umefurahi sasa?
 
Bila shaka wewe ni miongoni mwa wale waandishi wa habari 40 mliopelekwa Dubai eti "kwenda kujifunza mambo ya namna ya usimamizi na uendeshaji wa bandari"

Loooh!.... Watawala wa nchi hii ni wajinga sana aisee.!!

Yaani badala ya wataalamu na wafanyakazi wanao manage na ku operate bandari zetu ndio wapelekwe huko wakajifunze namna njema ya ku develop, manage na ku operate bandari zetu wao hawajaliwi na wanaachwa hivyo hivyo walivyo na badala yake wanapelekwa waandishi wa habari wa vyombo vya propaganda za uongo ili kuja kuandika uongo na kutangaza propaganda za kijuha kama ufanyavyo wewe hapa..!!

Halafu hawahawa kina Samia na Prof. Mbarawa wanasema kuwa bandari hazina ufanisi Kwa sababu wafanyakazi ni wazembe na hawawezi kusimamia uendeshaji wa bandari zetu ndio maana lazima wapewe waarabu!!... Really? Really?

Na unafanya hili kijinga sana bila ufahamu wa kutosha kwa sababu pengine hata umejisahau kujua kuwa, statement yote aliyoitoa Tundu Lissu ya zaidi ya masaa mawili ktk mfumo wa sauti na video hatua kwa hatua ya maelezo yake iko wazi katika social media platforms kama YouTube, TikTok, Instagram, FB nk na kila mtu anaweza kumtazama na kumsikiliza wakati wowote..

Shukrani Kwa hata nyie waandishi wa habari wote waliofika kwenye PC hiyo na Kila mmoja aliuliza kila swali lililokuwa linamkereketa na kujibiwa kwa ufasaha..

Wewe kama hukuelewa, kwanini hukuuliza maswali yako hapo? Bila shaka ninyi ndiyo mlioandaliwa kwa propaganda ili kuipigia debe DP WORLD kupewa Tanganyika iwe koloni la mfalme wa Dubai Emirate.,

KWA KWELI RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KATUKOSEA NA KATUDHARAU SANA WATANGANYIKA...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…