Uchambuzi wangu kuhusu hoja za Tundu Antipass Lissu kwenye suala la Bandari

Hata kama sikubaliani na baadhi ya majibu yako nimependa uungwana kwenye namna ulivyopinga hoja badala ya kujikita kwenye lugha chafu kama kina nanihii...
 
Pimbi tuu wewe! Unadhani tumelala kama wewe kiazi mamayo!!!!
 
Wewe ni fala tuu hustahili heshima mamayo!
 
Lissu yuko sahihi, huwezi kusign kitu chochote bila kujua mwekezaji atafanya nini, atawekeza kiasi gani, tutapata kiasi gani , tuna faidika vipi, terms na conditions ziko vipi, sisi tunafanya nini na muwekezaji ana fanya nini, haya yote yalitakiwa yafanyike na yawe wazi hat kabla ya IGA / HGA, kwahiyo mkishindwa kukubaliana HGA itakuwaje wakati huo mme sign IGA? Si upuuzi huo mnafanya? , nyie mmechukua pesa ya Mwarabu, kawapigeni pesa nadhani karibu wabunge wote wenye kuongea ongea ili kupitisha aibu hii, maana mimi sioni kipi mnawahi , hata kipofu hawezi kufanya mnayofanya kwakweli.
 
Hili jambo limebebwa na wanasiasa kwa hiyo tegemea lolote tu lakini Hawa chadema 2025 hawatataka kura za hiyo sehemu wanayoibagua na kuikejeli?
Kwani Mbarawa na katibu wake ndiyo wanabeba kura z Wazanzibari wote?
 
Kwenye HGA ndo kuna kila kitu hadi muda wa ukomo kwenye project husika
Kama na wewe ni msomi mwanasheria, basi kweli hii nchi, ndiyo maana wengi wanasema elimu yetu ni duni sana. Labda kama umetoa hizi hoja kwa sababu ya unafiki, lakini siyo ndicho ulicho nacho kichwani.

Mkataba huu ndiyo mkataba mkuu, unaotoa mwongozo kwa mikata mingine yote midogo itakayofuata ambayo haitajadiliwa kama huu.

Hakuna mkataba mdogo utakaokuja kwenda kinyume na mkataba huu mkubwa.

Ni dhahiri mkataba huu mkubwa unaowezesha ile mikataba midogo, hauna muda. Hii inaufanya mkataba huu na mingine yote itakayofuata kuwa ya kishenzi.

Mkataba huu kwa kuwa ndio pekee uliofika bungeni, ndio uliotakiwa kutamka ukomo wa mkataba, na kueleza kuwa mikataba mingine yote midogo itakuwa ndani ya muda wa mkataba mkuu, maana yake muda unaweza kuwa ule wa mkataba mkuu au pungufu. Hilo halikusemwa kwenye mkataba mkuu.

Mkataba huu ni kama uliandaliwa na DP, na akina Mbarawa walipewa tu kwaajili ya kusaini. Maana ni mkataba ulioegemea kuilinda DP na kuoangamiza nchi.
 
Kwanza napenda kumpongeza Tundu Antipass Lissu kwa kuwa Mtanzania pekee hadi sasa aliyekuja na uchambuzi wa kihoja kwenye suala la Makubaliano ya Tanzania na Dubai kuhusu masuala ya Bandar...
Natamani angetoka mwanasheria mkuu wa serekali akaeleza mbivu na mbichi za mkataba huu
 
Kwanza napenda kumpongeza Tundu Antipass Lissu kwa kuwa Mtanzania pekee hadi sasa aliyekuja na uchambuzi wa kihoja kwenye suala la Makubaliano ya Tanzania na Dubai kuhusu masuala ya Bandar...
Nilichogundua hujui kingereza hivyo tafsiri imekushinda. Sasa sijui ulipitaje na ukawa mwanasheria
 
Lissu yuko sahihi, huwezi kusign kitu chochote bila kujua mwekezaji atafanya nini, atawekeza kiasi gani, tutapata kiasi gani , tuna faidika vipi, terms na conditions ziko vipi, sisi tunafanya...
Kwa iyo IGA ndo iseme uwekezaji kwenye kila Bandari? Unajua hata maana ya IGA? Sasa HGA itakuwa na kitu gani?
 
Nilichogundua hujui kingereza hivyo tafsiri imekushinda. Sasa sijui ulipitaje na ukawa mwanasheria
Kuna kiingereza kama lugha ya kuongea na kiingereza cha kisheria!! Unamaanisha sijui kipi?
 
Kama na wewe ni msomi mwanasheria, basi kweli hii nchi, ndiyo maana wengi wanasema elimu yetu ni duni sana. Labda kama umetoa hizi hoja kwa sababu ya unafiki, lakini siyo ndicho ulicho nacho kichwan...
Kwa hiyo unamaanisha HGA hazitakuwa na ukomo wa muda? Samahani wewe ni mwanasheria?
 
Waandishi wa habari 40? Fikiria humu Jf wapo wote. Sasa hoja kama hizi zako zitapingwa kila dk kwa mabandiko mapyaaaa
 
Sehemu pekee unayoweza mjibu Lissu Kwa utulivu ni nyuma ya keyboard tu.

Zaidi ya hapo, Lumumba hawana mtu wa kumjibu Lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…