Uchambuzi wangu kuhusu hoja za Tundu Antipass Lissu kwenye suala la Bandari

Ina maana wanaojua kusoma huu mkataba ni ccm pekee? Maana akichambua mwingine mnasema amepotosha, acheni hizo!!!
Mnakaza mafuvu, mnajizima data eh
 
Ina maana wanaojua kusoma huu mkataba ni ccm pekee? Maana akichambua mwingine mnasema amepotosha, acheni hizo!!!
Mnakaza mafuvu, mnajizima data eh
Ukija na hoja hautakataliwa. Ukija na upotoshaji hapo utakataliwa
 
Mkuu umemkumbusha ukweli ambao yeye hawezi ukumbuka, Humu kuna wanaofaidika na issue ya bandari eidha ndugu zao ndy wenye kuhongwa ama wenye maslahi dili likitiki. Sasa lazma waje humu watapike ugholo ili wenye ufahamu mdogo wawaelewe. Hapo wamechemsha kabsaaa.
 
Kwani Gas ya Mtwara haijaleta faida? Unajua viwanda vingi Dar sasa vinatumia Gas kuzalisha?
 
Popote utakapomuona GUSSIE na Lord denning ujue Kuna umatemate
Your browser is not able to display this video.

Huwezi wakosa hao mapacha kwenye dili zenye na mpunga
Masikini Tanganyika na watu wake 59,000,000...! Asilimia 21% ya wajiriwa wa TPA wanatoka nchi jirani ya Zanzibar yenye watu 1,800,000 sawa na asilimia 3% ya Watanzania!

Kwa ZPC asilimia 100% ni Wazanzibar...chako chetu, changu changu!
 
View attachment 2662888

Masikini Tanganyika na watu wake 59,000,000...! Asilimia 21% ya wajiriwa wa TPA wanatoka nchi jirani ya Zanzibar yenye watu 1,800,000 sawa na asilimia 3% ya Watanzania!
Hili la muundo wa muungano hata mimi nimelisemea sana humu. Kama tuliungana ilitakiwa tuwe nchi moja yenye serikali moja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…