Tutaifuta kwenye ramani ya Dunia iyo Burundi,ijaribu ujinga wakeTukisema mnakimbikilia Amani wakati mjui mnachokifanya.
Sasa JWTZ endeleeni kulinda CCM
View attachment 3515731
View attachment 3515735
Tangu jwtz wageuke kuwa migambo ya uvccm majirani sahivi wameanza kuiona Tanzania kama mwanamke wa bar tu. Kila mtu anajipanga kujipigia.Tukisema mnakimbikilia Amani wakati mjui mnachokifanya.
Sasa JWTZ endeleeni kulinda CCM
View attachment 3515731
View attachment 3515735
Utakuwa chini ya ITELAHAMWENiko tayari kujiunga na jeshi la burundi kuwasaidia waichukue kigoma ili niishi mbali na CCM
Ni Wapumbavu wenzako tu pekee ndiyo watakuelewa na kukuamini ila wenye Akili na tunaoijua vyema Tanzania hasa Kijeshi na Kiusalama bado sijaona nchi jirani ya kuweza kuchukua eneo lolote lile la Tanzania. Kama Rwanda linalosifika kuwa na Jeshi Imara na Idara imara ya Usalama iliitaka Kagera kwa kutumia Mbinu nyingi, ila ikashindwa ndiyo leo ije kuwa kwa Burundi ambayo hadi sasa ina Jeshi dhaifu kuliko nchi zote na Idara zake za Usalama.Tukisema mnakimbikilia Amani wakati mjui mnachokifanya.
Sasa JWTZ endeleeni kulinda CCM
View attachment 3515731
View attachment 3515735
Kijana bilionea unahangaika na jeshi na wewe una pesa...si uende ukaishi ulaya wewe si una pesa ? 🤣🤣🤣🤣Ccm wafe haraka ili vijana tukajiunge na jeshi tukawaangamize hao wapuuzi.
Cha ajabu machawa mnaishia kupewa bando tu.Ni Wapumbavu wenzako tu pekee ndiyo watakuelewa na kukuamini ila wenye Akili na tunaoijua vyema Tanzania hasa Kijeshi na Kiusalama bado sijaona nchi jirani ya kuweza kuchukua eneo lolote lile la Tanzania. Kama Rwanda linalosifika kuwa na Jeshi Imara na Idara imara ya Usalama iliitaka Kagera kwa kutumia Mbinu nyingi, ila ikashindwa ndiyo leo ije kuwa kwa Burundi ambayo hadi sasa ina Jeshi dhaifu kuliko nchi zote na Idara zake za Usalama.
Kama hawa Waburundi wako wanataka nchi yao ya Burundi iwe sehemu kamili ya Tanzania kisha uongeze katika Idadi ya Mikoa iliyopo Tanzania waambie wathubutu na waendelee kwani huenda wengi wenu hadi leo hamjui kwanini Tanzania inaitwa The Sleeping Giant ina inaogopwa mno Kijeshi na Kiusalama japo baadhi yenu Mnabeza.
Popoma kwenye kuchangia hojaNi Wapumbavu wenzako tu pekee ndiyo watakuelewa na kukuamini ila wenye Akili na tunaoijua vyema Tanzania hasa Kijeshi na Kiusalama bado sijaona nchi jirani ya kuweza kuchukua eneo lolote lile la Tanzania. Kama Rwanda linalosifika kuwa na Jeshi Imara na Idara imara ya Usalama iliitaka Kagera kwa kutumia Mbinu nyingi, ila ikashindwa ndiyo leo ije kuwa kwa Burundi ambayo hadi sasa ina Jeshi dhaifu kuliko nchi zote na Idara zake za Usalama.
Kama hawa Waburundi wako wanataka nchi yao ya Burundi iwe sehemu kamili ya Tanzania kisha uongeze katika Idadi ya Mikoa iliyopo Tanzania waambie wathubutu na waendelee kwani huenda wengi wenu hadi leo hamjui kwanini Tanzania inaitwa The Sleeping Giant ina inaogopwa mno Kijeshi na Kiusalama japo baadhi yenu Mnabeza.
yaani dec 9 ulivokua umejifungia sasa 🤣Niko tayari kujiunga na jeshi la burundi kuwasaidia waichukue kigoma ili niishi mbali na CCM